Mungu siyo mmoja, kuna Mungu wengi. Why?

Mungu siyo mmoja, kuna Mungu wengi. Why?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,136
Reaction score
96,161
Mungu wa CCM na Mungu wa Mwenyekiti wa CCM, siyo sawa na Mungu wa CHADEMA na Lissu. Hawa ni Mungu tofauti.

Mungu wa Mafwele, Wambura na Mkunda, Mulilo siyo sawa na Mungu wa wengine.

Na inawezekana Mungu wa Waislamu siyo sawa na Mungu wa Wakristo
 
Mungu wa CCM na Mungu wa Mwenyekiti wa CCM, siyo sawa na MUNGU wa Chadema na Lisu. Hawa ni MUNGU tofauti.

Na inawezekana MUNGU wa Waislamu siyo sawa na MUNGU wa Wakristo
Kwa Wakrsto na Waislamu, Mungu ni mmoja aliyeumba mbingu na nchi, na vitu vyote vinavyoonekana na visivyo onekana, sheria yake ni moja, zile amri kumi za Mungu alozopewa Mussa kwenye Torati

Mungu amemruhusu shetani kuwavuna watu wake hivyo wanamfuata shetani na kumtumikia shetani!. Japo Wakristo na Waislamu ni Watoto wa Baba Mmoja, Nabii Ibrahim na Mungu ni Mmoja, Kati ya Ismail na Isaka ni nani aliyetolewa Sadaka ya Kuchinja?

P
 
Mbona

Samuya ameuwa watu elfu 23 plus,lakini anasurvive,je ni kweli kuna Mungu mmoja kwa scenario hii???
 
Je wajua wakati Mungu anawatoa wana wa Israel utumwani Misri, aliuwa watu wangapi wasio na hatia?.
P
Je Mungu wa Samuya yeye anabariki dhuruma, kuuwa ,kuteka, kufira, kulawiti,na kufanya mauaji ya haraiki zaidi ya watanzania zaidi ya elfu 23 plus waliuawa kinyama kama kuku waliokufa na kideli,watanzania walinyimwa kuzika miili ya wapendwa wao,miili ilichomwa ,miili ilisimangwa ,miili ilifukiwa kama ng'ombe waliokufa na kimeta(anthrax),kweli mzee kwa umri wako huu unaamini kuna Mungu mmoja?? ,je unakumbuka hata speech ile ya kiburi msipo piga kura hata mawe na majini yatapiga kura,kweli unaamini Mungu mmoja kwa umri ulionao??
 
Je Mungu wa Samuya yeye anabariki dhuluma, kuuwa ,kuteka, na kufanya mauaji ya halaiki ya watanzania
kweli mzee kwa umri wako huu unaamini kuna Mungu mmoja?? ,je unakumbuka hata speech ile ya kiburi msipo piga kura hata mawe na majini yatapiga kura,kweli unaamini Mungu mmoja kwa umri ulionao??
Yes Mungu ni mmoja, na ni Mungu ndie pekee huweka serikali za mataifa, hivyo Rais Samia amewekwa na Mungu, ila Je, wajua japo Mungu huweka Serikali za Mataifa kuna Serikali/Viongozi wa Mungu na Shetani? Tusiruhusu Ushetani kwa kuchagua mashetani

P
 
Yes Mungu ni mmoja, na ni Mungu ndie pekee huweka serikali za mataifa, hivyo Rais Samia amewekwa na Mungu, ila

P
Yes Mungu ni mmoja, na ni Mungu ndie pekee huweka serikali za mataifa, hivyo Rais Samia amewekwa na Mungu, ila

P
Je Mungu huyo unaye mwabudu na unayesema mmoja je anabariki dhuruma??
 
Mbona

Samuya ameuwa watu elfu 23 plus,lakini anasurvive,je ni kweli kuna Mungu mmoja kwa scenario hii???
Kila kitu mnakipima kwa uzito wa mauaji, yapo mengi sana yenye kupaswa kuongelewa.

Kila mnapowaongelea waliotangulia mbele za haki tareh 29 October mnawaumiza nafsi jamaa zao wa karibu, inakuwa too much.

Punguzeni nongwa.
 
Je unakubaliana na mimi Samuya hakuwekwa na Mungu zaidi amewekwa na shetani, kwa hiyo amekataliwa mbinguni na duniani??
Hapana, ni Mungu tuu pekee ndiye huweka serikali zote za mataifa yote, hata Iddi Amini Dada aliwekwa na Mungu, hata Hitler aliwekwa na Mungu, ila Mungu humruhusu shetani kuwaingilia na kufanya vitendo vya kishetani.
P
 
Kila kitu mnakipima kwa uzito wa mauaji, yapo mengi sana yenye kupaswa kuongelewa.

Kila mnapowaongelea waliotangulia mbele za haki tareh 29 October mnawaumiza nafsi jamaa zao wa karibu, inakuwa too much.

Punguzeni nongwa.
Lazima tuongee ukweli ili watu wasilale wajue kuna watu hawasitahiri kushika nafasi hizo walipo maana wamezipata kwa kuuwa kikatili wapendwa wetu,na kama wangekuwa na busara wangejivua gamba na kutubu madhambi waliyoyafanya
 
Mlipoamua kuchoma moto mali za watu wasio na kosa lolote mlijitengenezea hatari ya vifo, siku nyingine msije mkarudia tena.

Mliipima serikali kitoto sana, sio busara kuongelea hao marehemu ndugu zetu mwaka hadi mwaka, hakuna kitu unaweza kufanya ukawarudisha.

Utaamsha hasira na kujiletea matatizo ya kiafya mbele ya safari.
 
Hapana, ni Mungu tuu pekee ndiye huweka serikali zote za mataifa yote, hata Iddi Amini Dada aliwekwa na Mungu, hata Hitler aliwekwa na Mungu, ila Mungu humruhusu shetani kuwaingilia na kufanya vitendo vya kishetani.
P
Je Mungu hubariki,kufira, kulawiti, kubaka kuteka na kuua zaidi ya neno ukatili??,na bado Mungu huyu huyu ubariki hadi kukejeli maiti na kuwakejeli watu waliopoteza wapendwa wao???
 
Mlipoamua kuchoma moto mali za watu wasio na kosa lolote mlijitengenezea hatari ya vifo, siku nyingine msije mkarudia tena.

Mliipima serikali kitoto sana, sio busara kuongelea hao marehemu ndugu zetu mwaka hadi mwaka, hakuna kitu unaweza kufanya ukawarudisha.

Utaamsha hasira na kujiletea matatizo ya kiafya mbele ya safari.
Je kuuwa kwenu ni ibada???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom