Mungu nisifikie kukata tamaa

Kwann usiwashirikishe wazaz wako kwanza kabla ya kutushirikisha sisi, unaamini kuwa sisi tunaweza kuwa n msaada mkubwa kushunda wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona michango mingi inasema Rudisha mpira kwa kipa i.e rudi nyumbani. Usije ukafanya huo ujinga mkuu.
Hapo hapo ulipo kuna fursa, hata vibarua fanya. Kwenda nyumbani ni kwenda kuongeza intesty ya maradhi- depression.

Watu kule watapata cha kukusema na kukunyapaa kwingi. Ila kama una uhakika kuna suluhisho la kudumu na sahihi rudi.
Ni rahisi sana na ni amani kuosha vyombo vya mama ntilie ugenini kuliko nyumbani.

Pole mkuu. tupo wengi
 
Iyo sim ya smart unayo tumia una samani ya shiling ngapi?? Pamoja na mb unazotumia na iyo sim inaweza ikatatuwa matatizo yako yote ..mkuuu acha kuliyaliya kama demu .. fight for ur life .. wengine tunamatatizo ata zaidi ya ayo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kodi hii ni dhahili unaishi chumba cha elfu 30,



'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Kodi ni 60000 kwa mwezi kasema anadaiwa miezi mitatu sawa na 180000. Kikubwa asikate tamaa. Mimi nadaiwa kodi 680000, na madeni mengine km laki 5, ila najifariji nitasonga. Usiombe udaiwe hlf ukawa huna msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwa yote uliyoyaandika ni sawa na mimi mwenyewe ila nami najipanga upya kwa mashambulizi ila kwaakili nyingine zaidi.
 
Pole sana, nicheki DM
 
Miaka 24 una mademu wa kutosha afu unakuja na stori mara nimeishiwa, mara sijala, ....Kwa mademu hao wote na matumizi ya bata lzm uishiwe tu. Issue sio kurudi home, issue ni kupunguza mademu na gharama za maisha zisizo za lazima. Kupiga papuchi na hela huna lazima udate tu

Sent from my SM-T231 using JamiiForums mobile app
 
Bring on na David Scott yaani ni ngoma inayotia moyo sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Okey nimefurahi kusoma comment yako maana ni nzuri na kiupande fulani imenigusa...

Mimi ni mtu ambaye sio social sana na ninajivunia hilo.. Yaani sina hook ya kunikutanisha na watu sana ila huwa nina kitu kimoja "Ninapokuwa na rafiki bhasi anakuwa rafiki kweli ".. Nina cycle ndogo sana ya watu lakini loyal kinyama kiasi kwamba huwa napata hata ramani ya kuanzia business hadi kazi lakini ni mimi tu mwenyewe nimekaa kwenye mstari wangu.. Ila nimekaa na hawa watu kama brothers na tunasaidiana sana

Unajua ni rahisi kumshauri mtu ajichanganye lakini kwa nature aliyonayo kama yangu sio rahisi ila ndio hivyo hana option..

Kwanza kabisa mimi huwa sipati sehemu kupitia watu ila huwa naset targets zangu tu mkuu.. Huwa naangalia ni kitu gani nataka na ninatakiwa kuwa na nini ili nikipate je, ni skills ama uwezo fulani ????...

Baada ya hapo huwa naangalia ni wapi naweza kuzipata yaani hapo huwa siangalii pesa kabsaaa maana najua hiyo pesa nitapata tu pale ntakapofikia lengo.. Tatizon letu vijana wengi wa 20's ni kutokuwa na targets na kuiangalia sana pesa kuliko outcome utakayopata.. its not working kabisaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
asante kaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…