KITAULO
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 1,926
- 2,843
Matatizo tumeumbiwa binadamu...
Matatizo tumeumbiwa binadamu...
Mwana umevuta fegi za wapi...mwenzio anamatatizo wewe unawaza vitu vya ajabuPole sana.
Vipi kwa sasa jinbo liko wazi au lina mgombea
Pole dada lakini unachokosea ni kumfanya huyo jamaa kama mungu mtu. Yeye asipoona thamani yako, kwa mtoto au ndugu zako una thamani sana. Kusanya mtaji wako, mpe jamaa nafasi ya kujitanua fanya mambo yako. Unaye mtoto mmoja. Kuna watu hawana kabisa hata mmoja. Acha kukumbatia tatizo. Jihesabu umekosea, fanya maisha mengine. Binadamu muda wowote wanakufa, hatuna haja ya kuwekeza furaha zetu kwao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Matatizo ya kutengenezewa na binadamu mwenzio?Matatizo tumeumbiwa binadamu...
Na ndo inavyokuwa siku zote...matatizo yote tunayopitia husababishwa na sisi binadamu mwenyewe
Pole sana. Maisha yanachangamoto nyingi. Je huko anakokwenda kutafuta mtoto amefanikiwa kuwapata?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana jf mmebadilika, kila mtu kaingiwa na huruma, hakuna comments za kejeli tena. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]. Mtarudi tu mule mule soon. Ngoja na mimi nishushe uzi wangu kuhusu marehemu mpauko. Huko aliko anawachora tu kwa unafiki wenu

[emoji3516]
Anadai mpaka nizae