Mungu kwenye nyimbo ya Taifa WHY?

Between believing in something that does not exist, just from tradition, and disputing that belief, which is the wrong direction?

your direction....... guilty conscious will haunt
 
your direction....... guilty conscious will haunt

If god knows all, including what we will do, and what god knows mut be, for no human can prevent the will of god, how can I be guilty of not believing in god when god already saw that before I was even born?

If I had no way to change what was to be (because god knew it all at creation) how can I be guilty? What do you want me to do, change the will of god?

There is no room for a personal, omnipotent, omniscient god who grants freewill to humans.
 
Not clever..

Like I said, sina msaada baada ya hapo..nilijaribu kujenga mawazo huru kuhusu suala la hili .. lakini naona hatupo kwenye platform moja.

Good day..
 
You can repent now....God will make you not whine and whiper over things you have no control over.
 
Sisi tulioamini, tunasema M/Mungu ajua yote, human freewill inclusive..sasa naona unarudiarudia hoja hii wakti ilishajibiwa.

Hata hivyo sioni unapata wapi nguvu ya kubishania hili wakti huamini uwepo wa M/Mungu..Is it not another fallacious futile argument?
 
I did.
Selective vision may be?
No comment on Tazama Ramani either?

Dude,

Anything on the forum is for all members, if you want a response from only one person use PM.

Netiquette 101 is tuition free, as long as you have a connection, can google and use a little common sense.
 
You can repent now....God will make you not whine and whiper over things you have no control over.

Repenting for what, to who? If I do not believe in the grand larceny that is religiosity do you really expect me to engage in such medieval rites as repenting in this context.
 
Repenting for what, to who? If I do not believe in the grand larceny that is religiosity do you really expect me to engage in such medieval rites as repenting in this context.

I do expect you......to do that, not in public, mumble where you are. It will work believe me, God is love.
 
Not clever..

Like I said, sina msaada baada ya hapo..nilijaribu kujenga mawazo huru kuhusu suala la hili .. lakini naona hatupo kwenye platform moja.

Good day..

I wasn't even trying to be clever, just drawing a logical rationale.Now you are exposing your own ambition - to appear clever-

Sihitaji msaada, mawazo yako hayawezi kuwa huru as long as umepewa mipaka ya kuwaza, kwamba huwezi kumchunguza mungu.

Of course hatupo kwenye platform moja, wewe una mipaka wakati mimi niko boundless.
 
Hellow Pundit, how are you my friend. I am Sorry to interrupt, but I have seen a video on the net and I really wish to share with my brothers and sisters. I will post a link below for you to watch. Can you do that please. Thank you, be blessed.

[media]http://www.youtube.com/watch?v=Q0HKViNSKD0[/media]

SteveD.
 
Dude,

Anything on the forum is for all members, if you want a response from only one person use PM.

Netiquette 101 is tuition free, as long as you have a connection, can google and use a little common sense.

Mhhh...
Not exactly the direction I had in mind.
What I actually meant was the fact that,I quoted what she/he wrote and replied to that.You thinking that was meant for every response given on the post is what I don't get but again,can't control perceptions now,can we?
 
Wewe unaamini au unajua kwamba mungu yupo? Maana kuamini kuna watu wanaamini vitu vingi, kuna wengine wanaamini dunia si duara, wengine wanaamini ukifa unazaliwa kama mnyama, wengine wanaamini wanaweza kupaa etc, sema unachojua, si unachoamini.

Kama mungu anaijua human freewill, ina maana anajua tutakachofanya, kama anajua tutakachofanya (ameshakiona) hatuwezi kubadili kwani itakuwa kubadili kile mungu alichokiona. Kwa hiyo maisha tumeandikiwa na hamna freewill wala dhami.

Kama kuna dhambi na thawabu na kweli tunaamua mambo yetu, basi hata mungu hajui tutakachofanya.Huwezi ku reconcile vitu viwili hivi.Hii hoja haijajibiwa mpaka leo, na hakuna anayeweza kujibu kwa kuwa mungu hayupo, hivyo advocate wake ana kasheshe kumtetea.

Napata nguivu ya kubishia hili ingawa mungu hayupo kama vile nilivyo na nguvu ya kubishia kuwepo kwa Santa Claus, The tooth fairy na the man on the moon. Wote sawa hawa (Mungu, Santa Claus and the man on the moon) kwa sababu ni fictitious figures.What is so strange about that?

Is this the best you can come up with?
 
Perception, not.

What you can control is the understanding of basic bulletin board netiquette and protocol.

If you want to send an email to person a only, you do not cc your entire company, and yell at whoever replies to you that "This was not intended for you"

Well if it was not intended for me how did it reach my eyes then?

If you are not familiar with the PM feature, or are not well acquinted with it's usage, just ask, this is a user based community and volunteers abound around here.
 
Rationale ya hoja zangu hapo ni kuwa, kama kuna Muumbaji na Muumbwaji, ni wazi hawapo ktk same level.

Now hu is cleva and enlightened?
 
Pundit, punguza jazba mjomba.... Suki hakumaanisha baya lolote mkuu. Daah, usiwe hivyo kwa sababu tu unapata mashambulizi (ambayo kwa ukubwa naona unayahimili ipasavyo) kutoka kila upande kwenye mada.

ONE!
 
It's not like that, just a simple issue of netiquette. Kama unataka responses from the entire forum weka vitu kwenye forum, kama unataka response from SteveD peke yake muandikie PM.

Hii siyo High School Cafeteria.
 
Why so bitter?
If one asks on the relevance of your previous post to the matter at hand,I can bet you'll say it was a response to what I had written earlier.Now,why should my response to Eeka's post be such a faux pas?
And just so you know,I don't need to PM my views...defeats the purpose of the forum.
 
Wewe unaamini au unajua kwamba mungu yupo? Maana kuamini kuna watu wanaamini vitu vingi, kuna wengine wanaamini dunia si duara, wengine wanaamini ukifa unazaliwa kama mnyama, wengine wanaamini wanaweza kupaa etc, sema unachojua, si unachoamini.

I don't see how this is related to what we're discussing here..

Kama mungu anaijua human freewill, ina maana anajua tutakachofanya, kama anajua tutakachofanya (ameshakiona) hatuwezi kubadili kwani itakuwa kubadili kile mungu alichokiona. Kwa hiyo maisha tumeandikiwa na hamna freewill wala dhami.

Nilishakujibu kuwa these two events are independent, and they can go in-parallel without conflicting each other na pia God's perfect knowledge includes human freewill. Lete hoja nyingine.

Like you have verified, umesema huhitaji msaada wa aina yeyote kutoka kwangu, this means also hutakaa ueleweshwe wala kujuzwa kwa sababu uanajua kila kitu..thats good i guess, from an arrogant point of view.

hata hivo umeshindwa kuepa mtego mdogo uliojiwekea wewe mwenyewe kuwa argument yako moja inadepend uwepo wa M/Mungu..hivyo His Perfect Knowledge..

Karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…