Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 12,977
- 27,553
Mnahangaika sana kumtetea huyo Mungu as if yeye hana uwezo wa kujiongelea na kujitetea mwenyewe.Kwa hyo ulitaka akufungie maspika masikioni.?amwambie Mimi NDO MUNGUUUUUUUU!?.ametuma nitume na manabii kuja kumtangaza kupitia DINI
🤣🤣🤣.Mungu Hana shida ya kutetewa aliyoyafanya yanamtetea.alikuumba wewe kwenye tumbo la mama yako.Mnahangaika sana kumtetea huyo Mungu as if yeye hana uwezo wa kujiongelea na kujitetea mwenyewe.
Huyo Mungu kama yupo na ana uwezo ajitetee mwenyewe sio wewe unahangaika kumuelezea na kumtetea.
Wewe uko hapa unahangaika kumtetea huyo Mungu, halafu unasema hana shida ya kutetewa.🤣🤣🤣.Mungu Hana shida ya kutetewa aliyoyafanya yanamtetea.alikuumba wewe kwenye tumbo la mama yako.
Mimi kazi yangu ni kukumbusha tu.Wewe uko hapa unahangaika kumtetea huyo Mungu, halafu unasema hana shida ya kutetewa.
Kama Mungu hana shida ya kutetewa mbona unahangaika kumwelezea hapa?
Si aje yeye mwenyewe ajieleze kama anaweza!!
Huyo Mungu alikutuma uje ukumbushe watu?Mimi kazi yangu ni kukumbusha tu.
Hata hapo ulipo mbona yupoHuyo Mungu alikutuma uje ukumbushe watu?
Si aje yeye mwenyewe kama ana huo uwezo..!!
Kama yupo, Unachohangaika kumtetea ni nini?Hata hapo ulipo mbona yupo
kumtetea ndo kukoje?.Kama yupo, Unachohangaika kumtetea ni nini?
Maneno yana tabia ya kujenga illusion, ipo siku neno Sababu litakuwa mtu pia, usishangae wajukuu wako wakipiga goti kumuomba Sababu awalinde, kama tuu neno Mungu lilivyobadilika na kuwa mtu, Leo Imani limekuwa mtu, msalimie upendo na baraka, ahsanteKaka mshana, kwanza kabisa nikupinge, kimwili hatujaumbwa na Mungu Kwa maana Mungu ni mwili, ila kinadharia mtu ni kweli ameumbwa na Mungu, na Mungu ni neno, consider dualism, man and animal.
Kimwili sisi ni wanyama, na wanyama wote wanatokana na asili ambayo ndani yake imejaa njama ya kuangamiza maisha, ndio maana sisi wanyama tuna silka ndani yetu kwaajili ya kulinda uhai,
Baada ya mnyama mtu kuzungumza, alijuwekea utaratibu wa kuiheshimu lugha anayozungumza kwakua ndio yenye kumpa ukuu nguvu na ndoto, au Mungu
Wakristo walimuwua Mungu Kwa kumpa Mungu utu, ndio maana Leo utawasikia wakitamba kuwa mbinguni ndipo alipo baba, huku wakinyoosha vidole mawinguni, ila Mungu ni neno kama yalivyo maneno mengine,
Mfano, Plato aliunda neno gap ambalo ndani yake Kuna guardian auxiliary na producer ndivyo ilivyo na neno God ambalo ndani yake Kuna Greatness power na dream
Maneno yana tabia ya kujenga illusion, ipo siku neno Sababu litakuwa mtu pia, usishangae wajukuu wako wakipiga goti kumuomba Sababu awalinde, kama tuu neno Mungu lilivyobadilika na kuwa mtu, Leo Imani limekuwa mtu, msalimie upendo na baraka, ahsante
Kama utanielewa ntashukuru, wako mpendwa zaidi ya mtu
Jua limetulia ila Dunia inajizungusha na kuzunguka,inatosha kusema.Unasema siajabu kwasababu tumezowea kuliona kwenye hali hiyo je kwanini hali toki magharibi kwenda mashariki hii nayo siajabu
😁😁😁 Sawa MkuuJua limetulia ila Dunia inajizungusha na kuzunguka,inatosha kusema.