subiri uone
JF-Expert Member
- Sep 12, 2024
- 736
- 598
Mungu hajakataza starehe ila anataka uzingatie nistarehe ya halaliTulia bwashee ,now nataka nile pombe tu nakuwasiliana na watoto wazuri tu ,hivyo tunza energy yako ya kesho🤔
Thibitisha Mungu yupo?Mungu hajakataza statrehe ila anataka uzingatie nistarehe ya halali
Qur'an 2:172
"Enyi mlioamini kuleni katika vitu vizuri tulivyokupeni na mumshukuru Allah ikiwa niyeye mnayemwabudu".
Kupatikana na kubadilika kwa usiku na mchana mwanga na giza ni ishara tosha za kuthibitisha kuwepo Mwenyezi Mungu (s.w) kwa wenye akili.Thibitisha Mungu yupo?
Sisomi gazeti bwashee 🚮Kupatikana na kubadilika kwa usiku na mchana mwanga na giza ni ishara tosha za kuthibitisha kuwepo Mwenyezi Mungu (s.w) kwa wenye akili.
"Hakika katika kuumbwa kwa mbingu na ardhi, na kukhitalifiana usiku na mchana, na marikebu ambazo hupita baharini kwa viwafaavyo watu, na maji anayo yateremsha Mwenyezi Mungu kutoka mbinguni, na kwa hayo akaihuisha ardhi baada ya kufa kwake, na akaeneza humo kila aina ya wanyama; na katika mabadiliko ya pepo, na mawingu yanayo amrishwa kupita baina ya mbingu na ardhi, bila shaka zimo Ishara kwa watu wanao zingatia". (Qur'an 2:164)
"Hakika katika kuumbwa mbingu na ardhi na kukhitalifiana usiku na mchana ziko Ishara kwa wenye akili"Qur'an 3:190.
Rejea Qur’an (17:12) na (28:71-72)
Sasa unadhani kama dunia ni mviringo na source ya mwanga ni jua inawezekana vipi kusiwe na usiku na mchana / mwanga na giza ?Kupatikana na kubadilika kwa usiku na mchana mwanga na giza ni ishara tosha za kuthibitisha kuwepo Mwenyezi Mungu (s.w) kwa wenye akili.
Unasema siajabu kwasababu tumezowea kuliona kwenye hali hiyo je kwanini hali toki magharibi kwenda mashariki hii nayo siajabuSasa unadhani kama dunia ni mviringo na source ya mwanga ni jua inawezekana vipi kusiwe na usiku na mchana / mwanga na giza ?
Ingekuwa ajabu kama jua lingeweza ku-penetrate kutokea upande mmoja na kuingia kwenye core na kutokea upande wa pili kwenye ardhi lakini haya ya usiku na mchana yalishangaza kipindi watu walipokuwa hawana uelewa
Kwani dunia inavyozunguka huwa inabadilisha muelekeo ?Unasema siajabu kwasababu tumezowea kuliona kwenye hali hiyo je kwanini hali toki magharibi kwenda mashariki hii nayo siajabu
Huo ni mpangilio wakiesabu unahitaji tafakuri tena huko nimbali angalia aya katikaKwani dunia inavyozunguka huwa inabadilisha muelekeo ?
Hata ukishangaa kwanini dunia inazunguka na inazunguka vipi takwambia tupia chombo chochote kwenye orbit na kitazunguka