Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,308
- 27,084
Shida ya binadamu tunapenda kujumuisha mambo ndoa yake ikimshinda anachukulia ndoa zingine ni kama ya kwakeila ukifata mrejesho wa ndoa za watu wa humu hutakaa uitaman ndoa kamwe
Hivi ni kwanini wanawake wanapenda waume za watu?Huyo Dem atamla wanawakw wanapenda sana waume za watu siku hizi