Mume wangu katembea na mke wa rafiki yake

Siwezi kuliwa kabisa na huo mpango Sina na hata aliyenipigia simu anajua mie ni mwanamke wa aina gani am not that much cheap, haliwi mtu hapa my dear

Okei, basi kubali matokeo! Acha mwenzio ale, ulitaka ule peke yako?? HAIWEZEKANI.
 
Siwezi kuliwa kabisa na huo mpango Sina na hata aliyenipigia simu anajua mie ni mwanamke wa aina gani am not that much cheap, haliwi mtu hapa my dear

Repect kwako kama uyasemayo ni ya kweli kutoka moyoni...

huenda ikawa ni gia ya kutaka kukuzatika maan katika sekta hiyo watu wanagia nyiingi na uanzia mbaali sana.

Hebu jiulize kwanza;-

Mtoa taarifa amefanya nini dhidi ya mke wake?! Ambaye ametembea/anatembea na mume wako?!?

Na amemwambia habari hiyo kwa sababu ipi hasaa!? Je anataka muwe na adhabu ya pamoja kwa hao wagoni ambao ni wenzi wenu?!

Yaaani anamshtaki mke wake kwa kutembea na mume wako tena kwako!! Namashaka na huyo jamaa kwa mwendo huu...

Nijaribu hitimisha tu kwa kusema
Huyo anataka ku-justify gia zake za kugegeda au kukuzatika au kukula wewe!!!
Kaa macho
Kaa chonjo au
Kaa mkao wa kuliwa kama hujapata majibu ya maswali yangu hapo juu!

Sisi twashauri tu ila maamuzi unayo wewe!!!

Ndoa sijui nani aliiita pingu za maisha...hakika neno linaumba, na leo wengi wateseka katika hizo pingu!!
 
Sikiliza nikwambie madame, ujue humu kuna watoto hadi wa form two hivo usipate shida.

Jambo la msingi huyo mwanaume sio mstaraabu kama angekuwa na staha asingetembea na mke wa mtu tena mke wa rafiki yake, usikae kimya eti kwasababu yeye hajakuonyesha, muulize na akueleze kinaga ubaga wala asilete mbwembwe kwa hilo.

Ukikaa kimya wewe ukimwi utakuongelea na utajutia, maana ndoa haitakiwi kuvunjwa ila kwa sababu ya uasherati na uzinzi inavunjwa tu hasa zama hizi za magonjwa, kwanini ufe eti tu kwasababu hakuonyeshi??? tetea nafsi yako ili ulee watoto wako masuala ya kupanga folemi kwenye vidonge ni fedheha sana na inauma kama mtu kakusababishia, haiishi sio sabuni ila inabeba virus asipobadilika akili kichwani mwako.

Nimemaliza usiniquote kijinga nimeongea na mleta uzi sio wewe.
 
Da! Pole saana. Jaribu kufanya uchunguzi kwanza ujue ukweli wa hiyo habari.
 
Siku kotiii kijinga nakupa LIKE tu hahaha!!!
 
Nimefurahi sana Kwa ushauri wako mzuri my dear ni kweli kabisa unayoniambia hata mimi taa nyekundu imewaka kabisa nataka anieleze vizuri lakini yule mwanaume sio mjinga kabisa ameongea kwa uchungu sana kuelezea jinsi inavyomuuma mume wangu kuwa na mahusiano na mke wake . nimekuelewa sana na nitaufanyia kazi ushauri wako Mamiii
 
Habari wana Jf, Mume wangu anaishi nje ya nchi, leo nimepigiwa simu na rafiki wa mume wangu akilalamika kuwa mume wangu katembea na mke wake na kwa msisitizo ameniambia amewaconfront mume wangu na mke wake na wote wamesema kuwa walikuwa na mahusiano ila sasa wameacha. Ndugu zangu naomba ushauri ktk hali hii nifanyeje? Ndoa imenichosha kabisaaaa na Haya matakataka ya mume wangu ndio nazidi kuchokaaaaa

So huyo mwanaume ameniambia ili ufanyaje?umejiuliza hilo mpenzi?
 
Muwe mwakaa na waume zenu na kuongea nao mambo ya kuleta habari za mahusiano yenu hatupendi
 
Siku kotiii kijinga nakupa LIKE tu hahaha!!!

Ungeniquote! weeeeeeeee! ningekurukia kama chui hahahhahahaha!!!!!!!!!!!

Nimefurahi sana Kwa ushauri wako mzuri my dear ni kweli kabisa unayoniambia hata mimi taa nyekundu imewaka kabisa nataka anieleze vizuri lakini yule mwanaume sio mjinga kabisa ameongea kwa uchungu sana kuelezea jinsi inavyomuuma mume wangu kuwa na mahusiano na mke wake . nimekuelewa sana na nitaufanyia kazi ushauri wako Mamiii

Huyo mwanaume sio mjinga hadi akwambie hivo, hata kama ni mchonganishi shukuru amekusaidia lakini pia hata yeye anamaumivu ya kuchapiwa.

Wewe simama na lako, mwisho wa siku hatima ya uhai wako ipo mikononi mwako. hiyo ni cheni tayari.

wewe+mmeo+mke wa rafikiye+rafikiye kilamtu hajui yaliyo ndani mwenzie hapo bado tu mtu uchekelee loh!!!!
 
Bado nafikiria lengo la jamaa kumwambia huyu dada, kama nahisi anataka kusambaratisha ndoa yake vile
 
Back
Top Bottom