Mume wangu katembea na mke wa rafiki yake

Rolshi

Member
Joined
Apr 12, 2015
Posts
17
Reaction score
10
Habari wana Jf, Mume wangu anaishi nje ya nchi, leo nimepigiwa simu na rafiki wa mume wangu akilalamika kuwa mume wangu katembea na mke wake na kwa msisitizo ameniambia amewaconfront mume wangu na mke wake na wote wamesema kuwa walikuwa na mahusiano ila sasa wameacha. Ndugu zangu naomba ushauri ktk hali hii nifanyeje? Ndoa imenichosha kabisaaaa na Haya matakataka ya mume wangu ndio nazidi kuchokaaaaa
 
Eti!! kwanza yuko mbaliii na amefanyia mambo yake huko, hajakuonyesha, hajakudharau, hajakwambia kitu chako sio kitamu, hajakwambia hakupendi sasa tatizo lako nini? Mwambie huyo anayekuletea maneno asikuzoee tena kaa naye mbali!!!
Kumbuka aliyenipigia simu ana hasira za kuchapiwa mke wake maana majibu yako naona no rahisi sana Kwa swali gumu lakini asante kwa mtazamo wako huo
 
Eti!! kwanza yuko mbaliii na amefanyia mambo yake huko, hajakuonyesha, hajakudharau, hajakwambia kitu chako sio kitamu, hajakwambia hakupendi sasa tatizo lako nini? Mwambie huyo anayekuletea maneno asikuzoee tena kaa naye mbali!!!

Mzinzi utamjua tu
 
Huyo mmeo ana bahati sana ningemkamata mimi ndio anamla mke wangu ningemkata dushe lake
 
Habari wana Jf, Mume wangu anaishi nje ya nchi, leo nimepigiwa simu na rafiki wa mume wangu akilalamika kuwa mume wangu katembea na mke wake na kwa msisitizo ameniambia amewaconfront mume wangu na mke wake na wote wamesema kuwa walikuwa na mahusiano ila sasa wameacha. Ndugu zangu naomba ushauri ktk hali hii nifanyeje? Ndoa imenichosha kabisaaaa na Haya matakataka ya mume wangu ndio nazidi kuchokaaaaa

Huyo rafiki Wa mumeo ni mbea na anakutega ili urevenge atembee na wewe! Wanaume huwa hatusolve mambo ya aina hii namna hiyo! Hiyo ni stailo ya wanaume wakware, mpuuze kwanza upate nafasi umkabili mumeo with some blunt hard talk ili ujiridhishe Kama kweli hayo yametokea na myazungumze kwa kina na uwazi mkubwa kabla hujafanya maamuzi yoyote, mnayo nafasi ya kuyamaliza na kusonga mbele na maisha yenu, usimuhukumu kabla ya kumsikiliza basing on umbea Wa shemejio mkware! Usimfanye mumeo shetani kwa kumbatiza umalaika shemejio. Pole sana, kuwa mtulivu uchambue ushauri mbali mbali unaopewa hapa jamvini, baadhi ni Wa kihuni na ulevi tu, usidanganyike, unayo nafasi ya kuvuka salama. Ubarikiwe busara na uvumilivu.
 
Ulipomention nje ya nchi tayar nikajua ni shida na ukiongeza masomoni uwiiiii huko tatizo kama unabisha nenda ishi huko uone pole ndugu ndoa na iheshimiwe na watu wote.
 
Habari wana Jf, Mume wangu anaishi nje ya nchi, leo nimepigiwa simu na rafiki wa mume wangu akilalamika kuwa mume wangu katembea na mke wake na kwa msisitizo ameniambia amewaconfront mume wangu na mke wake na wote wamesema kuwa walikuwa na mahusiano ila sasa wameacha. Ndugu zangu naomba ushauri ktk hali hii nifanyeje? Ndoa imenichosha kabisaaaa na Haya matakataka ya mume wangu ndio nazidi kuchokaaaaa

Sasa wewe tatizo lako nini? Mwenye mke katulia.
 
Habari wana Jf, Mume wangu anaishi nje ya nchi, leo nimepigiwa simu na rafiki wa mume wangu akilalamika kuwa mume wangu katembea na mke wake na kwa msisitizo ameniambia amewaconfront mume wangu na mke wake na wote wamesema kuwa walikuwa na mahusiano ila sasa wameacha. Ndugu zangu naomba ushauri ktk hali hii nifanyeje? Ndoa imenichosha kabisaaaa na Haya matakataka ya mume wangu ndio nazidi kuchokaaaaa

Ni Pm Rolshi
 
Back
Top Bottom