Mume wangu katembea na mke wa rafiki yake

Mume wangu katembea na mke wa rafiki yake

Siwezi kuliwa kabisa na huo mpango Sina na hata aliyenipigia simu anajua mie ni mwanamke wa aina gani am not that much cheap, haliwi mtu hapa my dear

Pole sana, ila usitukane mamba kabla hujavuka mto, unaeza kuliwa vizuuuri kama anasukuma mlevi vile
 
Mtoa mada umeshajipanga kuachana na mumeo, nimefatilia reply zako zote, nawewe tayari unamchepuko ila unataka public justification hapa jf
 
Sikiliza nikwambie madame, ujue humu kuna watoto hadi wa form two hivo usipate shida.

Jambo la msingi huyo mwanaume sio mstaraabu kama angekuwa na staha asingetembea na mke wa mtu tena mke wa rafiki yake, usikae kimya eti kwasababu yeye hajakuonyesha, muulize na akueleze kinaga ubaga wala asilete mbwembwe kwa hilo.

Ukikaa kimya wewe ukimwi utakuongelea na utajutia, maana ndoa haitakiwi kuvunjwa ila kwa sababu ya uasherati na uzinzi inavunjwa tu hasa zama hizi za magonjwa, kwanini ufe eti tu kwasababu hakuonyeshi??? tetea nafsi yako ili ulee watoto wako masuala ya kupanga folemi kwenye vidonge ni fedheha sana na inauma kama mtu kakusababishia, haiishi sio sabuni ila inabeba virus asipobadilika akili kichwani mwako.

Nimemaliza usiniquote kijinga nimeongea na mleta uzi sio wewe.

mmmmmh mkuu na wewe kumbe mkali
 
Kumbuka aliyenipigia simu ana hasira za kuchapiwa mke wake maana majibu yako naona no rahisi sana Kwa swali gumu lakini asante kwa mtazamo wako huo

Huyo aliekupigia anataka mfanye revenge.
 
Mzinzi utamjua tu

Ndoa ni tendo takatifu hutakiwi kulinajisi na habari nyepesi nyepesi za kusikia, huenda kweli jamaa ametembea na huyo mwanamke, je, ina justify kuvunja ndoa? acheni kuchunguzana chunguzana haisaidii kwenye ndoa zenu.

Unaweza kuniita mzinzi, sawa, lakini kama hilo linaweza kuinusuru ndoa ya dada yangu huyu, sitajali hata kidogo!!
 
Maneno ya kuambiwa usiyaamini utajuwaje kama pengine ni uongo?
make binadamu hatutakiani mema
 
Habari wana Jf, Mume wangu anaishi nje ya nchi, leo nimepigiwa simu na rafiki wa mume wangu akilalamika kuwa mume wangu katembea na mke wake na kwa msisitizo ameniambia amewaconfront mume wangu na mke wake na wote wamesema kuwa walikuwa na mahusiano ila sasa wameacha. Ndugu zangu naomba ushauri ktk hali hii nifanyeje? Ndoa imenichosha kabisaaaa na Haya matakataka ya mume wangu ndio nazidi kuchokaaaaa

Kumbe huyu rafiki yangu n mpuuzi hivi,haya mambo tuliyaongea yakaisha kumbe kaamua kukufikishia,ngoja atanikoma sasa na mke wake simwachi ng' o!!!
 
Sikiliza nikwambie madame, ujue humu kuna watoto hadi wa form two hivo usipate shida.

Jambo la msingi huyo mwanaume sio mstaraabu kama angekuwa na staha asingetembea na mke wa mtu tena mke wa rafiki yake, usikae kimya eti kwasababu yeye hajakuonyesha, muulize na akueleze kinaga ubaga wala asilete mbwembwe kwa hilo.

Ukikaa kimya wewe ukimwi utakuongelea na utajutia, maana ndoa haitakiwi kuvunjwa ila kwa sababu ya uasherati na uzinzi inavunjwa tu hasa zama hizi za magonjwa, kwanini ufe eti tu kwasababu hakuonyeshi??? tetea nafsi yako ili ulee watoto wako masuala ya kupanga folemi kwenye vidonge ni fedheha sana na inauma kama mtu kakusababishia, haiishi sio sabuni ila inabeba virus asipobadilika akili kichwani mwako.

Nimemaliza usiniquote kijinga nimeongea na mleta uzi sio wewe.

Uchoyo uo
 
Back
Top Bottom