Mume wangu katembea na mke wa rafiki yake

Mume wangu katembea na mke wa rafiki yake

Huyo rafiki Wa mumeo ni mbea na anakutega ili urevenge atembee na wewe! Wanaume huwa hatusolve mambo ya aina hii namna hiyo! Hiyo ni stailo ya wanaume wakware, mpuuze kwanza upate nafasi umkabili mumeo with some blunt hard talk ili ujiridhishe Kama kweli hayo yametokea na myazungumze kwa kina na uwazi mkubwa kabla hujafanya maamuzi yoyote, mnayo nafasi ya kuyamaliza na kusonga mbele na maisha yenu, usimuhukumu kabla ya kumsikiliza basing on umbea Wa shemejio mkware! Usimfanye mumeo shetani kwa kumbatiza umalaika shemejio. Pole sana, kuwa mtulivu uchambue ushauri mbali mbali unaopewa hapa jamvini, baadhi ni Wa kihuni na ulevi tu, usidanganyike, unayo nafasi ya kuvuka salama. Ubarikiwe busara na uvumilivu.

Asante sana Kwa ushauri wako ubarikiwe sana sana ndugu yangu
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Kumbuka aliyenipigia simu ana hasira za kuchapiwa mke wake maana majibu yako naona no rahisi sana Kwa swali gumu lakini asante kwa mtazamo wako huo

Wanaume wajanja sana..atakutafun bila kukutongoza.. hadi sasa ameshakulainisha kwa 50%
 
Kwanza Una Uhakika Gani Kama ni Kweli Amewafuma? Isije Ikawa Anahitaji Kupiga Deki Kwenye Tiles
 
Kwa majibu yako haya, mimi nafikiri u're not serious kupata ushauri - kwa akili za kawaida mtu uwezi kupata taarifa kama hii na wewe ukaleta mambo ya utani!
Wakati mwingine najibu kulingana na swali nililoulizwa sasa mtu anauliza kama haifanyi kazi unategemea nijibu nini niko serious na issue ni ukweli mtupu kwa nini ni nidanganye ili kiweje?
 
hiyo ni janja anataka akukule tu; umeongea na wote ukawauliza ama umekurupuka na kufanya hitimisho

Ha ha ha huenda aise maana katika sekta hiyo watu wanagia nyiingi na uanzia mbaali sana.
 
Habari wana Jf, Mume wangu anaishi nje ya nchi, leo nimepigiwa simu na rafiki wa mume wangu akilalamika kuwa mume wangu katembea na mke wake na kwa msisitizo ameniambia amewaconfront mume wangu na mke wake na wote wamesema kuwa walikuwa na mahusiano ila sasa wameacha. Ndugu zangu naomba ushauri ktk hali hii nifanyeje? Ndoa imenichosha kabisaaaa na Haya matakataka ya mume wangu ndio nazidi kuchokaaaaa

Huyo njemba wa rafiki yako aliyekwambia anakutaka tuu!!
 
Back
Top Bottom