Mume wangu katembea na mke wa rafiki yake

Mume wangu katembea na mke wa rafiki yake

Sikiliza nikwambie madame, ujue humu kuna watoto hadi wa form two hivo usipate shida.

Jambo la msingi huyo mwanaume sio mstaraabu kama angekuwa na staha asingetembea na mke wa mtu tena mke wa rafiki yake, usikae kimya eti kwasababu yeye hajakuonyesha, muulize na akueleze kinaga ubaga wala asilete mbwembwe kwa hilo.

Ukikaa kimya wewe ukimwi utakuongelea na utajutia, maana ndoa haitakiwi kuvunjwa ila kwa sababu ya uasherati na uzinzi inavunjwa tu hasa zama hizi za magonjwa, kwanini ufe eti tu kwasababu hakuonyeshi??? tetea nafsi yako ili ulee watoto wako masuala ya kupanga folemi kwenye vidonge ni fedheha sana na inauma kama mtu kakusababishia, haiishi sio sabuni ila inabeba virus asipobadilika akili kichwani mwako.

Nimemaliza usiniquote kijinga nimeongea na mleta uzi sio wewe.

ww nani kakuambia mzungu ana ukimwi!???
 
Eti!! kwanza yuko mbaliii na amefanyia mambo yake huko, hajakuonyesha, hajakudharau, hajakwambia kitu chako sio kitamu, hajakwambia hakupendi sasa tatizo lako nini? Mwambie huyo anayekuletea maneno asikuzoee tena kaa naye mbali!!!

Kweli kabisa hilo neno na yeye kwani achepuki 😫😫😫😫😫😫😫😫😫
 
Huyo rafiki Wa mumeo ni mbea na anakutega ili urevenge atembee na wewe! Wanaume huwa hatusolve mambo ya aina hii namna hiyo! Hiyo ni stailo ya wanaume wakware, mpuuze kwanza upate nafasi umkabili mumeo with some blunt hard talk ili ujiridhishe Kama kweli hayo yametokea na myazungumze kwa kina na uwazi mkubwa kabla hujafanya maamuzi yoyote, mnayo nafasi ya kuyamaliza na kusonga mbele na maisha yenu, usimuhukumu kabla ya kumsikiliza basing on umbea Wa shemejio mkware! Usimfanye mumeo shetani kwa kumbatiza umalaika shemejio. Pole sana, kuwa mtulivu uchambue ushauri mbali mbali unaopewa hapa jamvini, baadhi ni Wa kihuni na ulevi tu, usidanganyike, unayo nafasi ya kuvuka salama. Ubarikiwe busara na uvumilivu.

👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👍👍👍👍
 
humu kuna majbu ya kla namna..na kuna wa2 wa umr tofaut..nakuomb uwatafute wa2 ulionao karbu unaowaamin uwaeleze..maana majbu ya humu hayatakupa mwanga wa kutoxha kutatua tatzo lako
 
Mtoa mada umeshajipanga kuachana na mumeo, nimefatilia reply zako zote, nawewe tayari unamchepuko ila unataka public justification hapa jf

Umenenà maana amesema ndoa ameichoka hivyo taarifa ya mumewe kutembea na mke wa rafiki yake imekuja wakati yeye akiwa amesha ichoka ndoa yake. Amekuja ilitubariki avunje ndoa na usikute huyo mlalamikaji hamjui na hajawahi hata muona kwake kajitambulisha tu.
 
Kikulacho ki nguoni mwako...habari hii ni mwendelezo wa semi za kale...twambie na wewe umegegedwa na nani au we hutumii haya makitu...?

Ndoa yenu itadumu endapo mtakuwa ma effective comminication tofauti nahapo nawe jiandae kusaliti zaidi.
 
Hey mamy hebu fkiria kila jambo unalotaka fanya coz kila hatua utakayo chukua leo ni all your life ndo itakavyokuwa so kama unataka kuachana na mumeo fkiria juu ya wanao na ww kama unaweza kuwatunza bas sawa na kama kweli mumeo ana makosa ni toka mwanzo au ni fununu tu na huna uhakika usichukue maamuz ya haraka sawa ndoa cku zote c mteremko kama unavyo fkiri pambanua kila jambo linalosemwa juu yenu...
 
Tayari ni ku PM

huko pm unapoenda hapatakusaidia kitu hahaha kesi ya ngedere unampa nyani...Rolshi jifunze siku zote kutokuamin maneno ya kuambiwa..maana asilimia kubwa ni uzushi na uongo..tumia hekima na busara kuamua kesi hii we ndo unamjua mumewe ni mtu wa namna gani hadi mkafunga ndoa...
 
Wanaume ambao hawatoki nje ya ndoa ni wachache dadangu .cha muhimu kama anakuheshim na anatimiza kila kitu kama Mme wa familia bas make utaacha wangap ...
 
Rolshi, una jina zuri. ....
Pole kwa yaliyokukuta, kabla hujafanya maamuzi jaribu kusubiri kidogo, subiri kwa mwezi mmoja kabla hujafikia hitimisho.
Turudi kwenye hoja.
Ni ngumu kukushauri ufanyeje katika hali uliyonayo.
Ni rahisi kukushauri kama ungekuwa umefikia maamuzi ya kwako mwenyewe.
Labda nikuulize maswali machache
1. Uliwahi kuwaza hatua utakazochukua iwapo utagundua mumeo ana "cheat"?!
2. Vipi kama mumeo angetembea na mwanamke mwingine tofauti na huyo mke wa rafiki yake, je ingeleta tofauti katika maamuzi yako? !
3. Hujawahi kuwa na mahusiano au kumcheat mumeo?
4. Kama jibu la swali la tatu ni NDIYO, kwa nini ulicheat? ! Kama jibu HAPANA kwanini umebaki kuwa mwaminifu? !
5. Let's assume ni kweli kuwa mumeo alikuwa na mahusiano na mke wa rafiki yake lakini kwa sasa ameacha, je hiyo inaleta tofauti katika maamuzi yako? !

Nitarudi baada ya majibu.
 
hao nao wamezidi sa kutembea na mke wa rafiki yako ndo nn kwani mkeo hana miguu
 
Bado tu wataka ushauri, wewe na huyo mwanaume aliyeibiwa nyote hamnazo, lakini pole
 
Wala usimuache, wanaume wote malaya tena sana::::: ukisema uende kwa mwingine ndo balaa::::::
 
Back
Top Bottom