Mume wangu katembea na mke wa rafiki yake

Mume wangu katembea na mke wa rafiki yake

Asante sana Kwa ushauri wako ubarikiwe sana sana ndugu yangu

Soldier on Rolshi; when the going gets tough; the tough get going! I will keep you in my prayers all the way, nitafurahi kufahamu maendeleo yako huko tuendako. Pambana dadangu; usife moyo kwani hii dunia na maisha hayako kama vile ambavyo tungependa yawe! life is not exactly what we think it is and life is full of many challenges, na zote hizo tumeumbiwa sisi wana-Adamu; ni lazima kupambana nazo mpaka kieleweke; no matter what it takes!!

Best wishes Rolshi, trust in God; he will see you through all your present tribulations; Wamarekani wana wimbo wao usemao "We shall overcome......!; maana yake TUTAVUKA/TUTASHINDA!!!!!
 
Baby si nimekuambia hizo habari sio za kweli!
Huniamini mpaka unakuja kuomba ushauri huku ukiwaaminisha wanajamvi kuwa nimemgegeda mke wa rafiki yangu.
 
Soldier on Rolshi; when the going gets tough; the tough get going! I will keep you in my prayers all the way, nitafurahi kufahamu maendeleo yako huko tuendako. Pambana dadangu; usife moyo kwani hii dunia na maisha hayako kama vile ambavyo tungependa yawe! life is not vexactly what we think it is and life is full of many challenges, na zote hizo tumeumbiwa sisi wana-Adamu; ni lazima kupambana nazo mpaka kieleweke; no matter what it takes!!

Best wishes Rolshi, trust in God; he will see you through all your present tribulations; Wamarekani wana wimbo wao usemao "We shall overcome......!; maana yake TUTAVUKA/TUTASHINDA!!!!!
Bila shaka ulilenga kuandika exactly mkuu.
No body perfect.
 
Bila shaka ulilenga kuandika exactly mkuu.
No body perfect.

Hiyo inaitwa typographic error! do not read too much in that! it is no big deal; mlengwa nina hakika ana uwezo wa ku-decipher typo ya aina hiyo! go for the content of the message in the post!
 
Umechoka kwa kuambiwa tu kuwa mume wako katembea na mke wa rafiki yako?Je ungeona si ungejiua?Ndio maana ndoa za siku hizi hazidumu yaani mtu unachukua tu habari kama ilivyo bila kufanya uchunguzi,subiri mumeo arudi tulia nae chini na muulize taratibu kuhusu uvumi huo maana hakuna mwenye uhakika kama kweli jambo hilo lilitokea.Wazee wetu zamani walikuwa wakisafiri miaka na miaka lakini hatukusikia mambo kama haya wala mama zetu hawakuwa na shida ya kutafuta vitu ambavyo haviisaidii familia,ukitaka kuwa mama bora basi shughulika na mumeo na familia si watu wa nje.
 
as a boy ninayetaka kuwa baba bora time ikifika nimejifunza kitu through this comment,,,,,asante
 
Umechoka kwa kuambiwa tu kuwa mume wako katembea na mke wa rafiki yako?Je ungeona si ungejiua?Ndio maana ndoa za siku hizi hazidumu yaani mtu unachukua tu habari kama ilivyo bila kufanya uchunguzi,subiri mumeo arudi tulia nae chini na muulize taratibu kuhusu uvumi huo maana hakuna mwenye uhakika kama kweli jambo hilo lilitokea.Wazee wetu zamani walikuwa wakisafiri miaka na miaka lakini hatukusikia mambo kama haya wala mama zetu hawakuwa na shida ya kutafuta vitu ambavyo haviisaidii familia,ukitaka kuwa mama bora basi shughulika na mumeo na familia si watu wa nje.
 
Not true najitambua sana tu
Rolshi hujaambiwa atakubaka,tunaokwambia mambo
haya sisi ni wanaume,tunajua tunachokuambia
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai,usipochukua hatua
najua hutarudi hapa kutuambia ila moyoni utakumbuka ulichoambiwa.

Ya nini kumwamini rafiki wa mmeo kuliko mme wako?
Wakati mmeo anakuoa,huyo rafiki yake ambaye ni mwaminifu hukumuona?
kama unaipenda ndoa yako tulia fanya maamuzi sahihi,ila kama imekuchosha,
uamuzi unao wewe usitutwishe dhambi bure.

Wanaokuchangamkia sasa hivi ni kwa sababu una mji,
ukiishaachika kuolewa tena ni majaariwa,
na usipobahatika kuolewa watakaokucheka wa kwanza
ni waliokushauri vibaya.Hivyo chukua hatua
 
Last edited by a moderator:
Je wewe umedhibitisha? kuwa makini na maneno ya watu....fanya utafiti yakinifu kabla ya lolote......ndoa tamu ujue...ila inauma mno...
 
Akupe ushahid wa picha au sauti au video kabisa my dear
 
kumbe umeambiwa mi nilizani umeona mwenyewe kwa macho yako tulia na mumeo bibi
 
Ninachokijua mimi ni kwamba ni raisi sana kumuacha mke ila sio raisi kumuacha hawala. Jiongeze - hao hawawezi kuachana kabisa - watabadirisha staili ya kukutana na kupeana mautamu tu. Andika maumivu hapo.
 
Back
Top Bottom