Mume wangu kaniruhusu nichepuke

Mume wangu kaniruhusu nichepuke

Kila mtu anamlia timing mwenzie, wakati wewe unamfanya mlinzi yeye anakufanya chuma ulete usije ukasema ni bwege no yupo makini, hakuna agongae nyagi akawa poyoyo!
Hii ni kweli sana, na hizo rounds anazonyimwa Bushmamy kuna mnyaturu mahali anapewa mpaka anaomba msamaha.

Ajira hakuna, na akili ikosekane kweli?
 
Sikiliza mamiloo utakuwa umefanya mambo ya kindaki ndaki ukiachana na huyo chalii umezaa nae wototo kosa Lake nini au kwa sababu akufikishi huko maniaje
Acha usoro chalii unataka watoto wakose malezi ya mzazi mmoja wawe hawaeleweki Kama manjeree kata rasta hizo halafu jaribu kuwa demu ulivoandika tu inaonyesha huyo dingilii hana noma

Haikatai najua umenimanya ngoja nizame hapo kwa fasi aduasi nipate kitu baridi
 
Kwani bangi unayovuta unaitumiaje sigara , kiko au ,, ?
 
Uzi wa kiume kabisa huu, ama kweli rasta zilikuharibu, mixer na ganja ndo baaasi kabsa.

Huyo mwanaume inabidi akuache tu maana unaonekana unamletea nyodo sana sababu ya pesa na kazi zako.
 
we na yeye nani mkubwa k'umri ?

halafu mbona we kama muhuni flan ambaye hafai kua wife material ?

au mlikutana wote ni walevi kama unavosimulia ?
Ivi ulikuwa unaliza au unakazia uzi
 
Wakuu niandikayo hapa ni ya kweli kabisa ninayopitia ndani ya nyumba.

Tunaishi pamoja ila nyumba haina furaha mwanzo mwisho. Kila mtu sasa hivi anachepuka atakavyo, upendo hamna kila leo kwa nyumba ni ugomvi.

Kwanini hatujaachana?

Sababu inayotufanya tusiachane ni hawamachalii wetu wawili wadogo.

Sababu ya pili namtumia kama mlinzi maana hapa nilipo ni kwangu na mimi ni mtu wa shughuli za hapa na pale so wakati mwingine sipo home kwahiyo na kuwa na uhakika kuwa nyumbani yupo mtu na watoto wapo salama.

Pia nikiwa mwenyewe home usiku kama mwanamke kwa mazingira ya Arachuga ni balaa. Majambazi usiku si wa kusogelea, vijana huku kuua ni kawaida.

Kwanini karuhusu niwe na mwanaume mwingine?

Nimekuwa nahitaji mizigo mara kwa mara na mwezangu hayupo hivyo. Sijajua ni uvivu au asili yake na mara nyingi hupenda kulala chumba kingine alone.


Enzi tunakutana

Miaka 6 nyuma tulikutana nae kitaa kimoja. Siku ya pili tukakutana nae kwenye kigrosari cha hapo kitaa mimi napiga kilimanjaro yeye nyagi anachanganya na safari. Akazungusha rounds nimeshiba nikasepa, kesho yake anakuja anamuuliza mhudumu ”vipi Ras hajatinga leo?” Akajibiwa “bado”. Akasema “fanya basi Mchakato aje”.

Sina hili wala lile mimi naenda zangu grosari kupiga maji nakutana nae ananichangamkia. Tukapiga maji akachukua namba basi tukajenga urafiki mwisho wa siku mahusiano.

Sijui alinipendea nini ila pamoja na yote nilikuwa simsimbui na chenji chenji maana nilikuwa njema sana kwenye cash na yeye alilitambua hilo mapema na style yangu ya maisha pia alijua ni msomi kiasi maana hayo yote sikumuambia ila aligundua tu siku zilivyozidi kwenda.

Kwa upande wangu mwili wa mazoezi, urefu na upole wake ulinimaliza.

Anaanza kuniogopa sababu alichotegemea sicho, upole wangu wa nje haukuwa hivyo kitandani maana sio kwa Sarakasi zile maana nikianza ni hadi panakuchwa. Kiuhalisia rounds kumi kwangu ni kawaida na sioni tatizo, jamaa kaona sio kawaida kuachana anataka, kuendelea anataka,.
Basi bwana kuniambia ukweli a nashindwa Kuwa hiyo mambo hajazoea, na hata kuniangalia a Naona noma vile akikumbuka hanipi nkashiba mambo yetu Yale, Basi mi navumilia tu vile MI ni mtu wa shughuli za hapa na pale so na kuwa bize bize tu, baada ya kupitia majarida na mitandao Tofauti. Nagundua Rasta zangu ndo tatizo:

Nakata Rasta zangu
Kwanini niliamua kuzinyoa Rasta zangu niligundua ndo asili ya nguvu zote hizo, (nikikumbuka X wangu nae alikuwa Rasta bila rounds kumi Natano hatujalala bado,) Nilikuwa na Rasta ndefu halafu nyingi sana kichwani, kweli baada ya kunyoa hakukuwa na mabadiliko sana wala, na baada ya hapo sikunyoa tena hadi leo nikabaki na Afro style hadi sasa,

Namtimua jamaa home maana nilichoka na life style yake nikaweka ngumu baadae Nikaona mimi ndo napata hasara hasa kwa upande wa hao machalii wangu maana muda wote akili yangu ipo kwao,

Anarudi anakuta nimeongeza miradi mingine miwili.

Inaendelea
Achana na umalaya dyudyu yako sugu. Round kumi unafikiri unakojoa mkojo?pumbavu
 
kama sio dume basi sagajjj ,et round kumi hamnakitu kama hicho
 
Kuna wanaume wa Dar hapo juu naona wameandika vitu kama loshoroo hawana tofauti na madada poa naomba wapite hivi👉
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom