Mume wangu kaniruhusu nichepuke

Mume wangu kaniruhusu nichepuke

mdada anakata Kilimanjaro halafu nimsogeleee?

Ntakua naumwa labda
 
Jamaa nae analiwa ndogo sema we hujui, kwa kifupi nyinyi wote mnachepukwa
 
Wakuu niandikayo hapa ni ya kweli kabisa ninayopitia ndani ya nyumba.

Tunaishi pamoja ila nyumba haina furaha mwanzo mwisho. Kila mtu sasa hivi anachepuka atakavyo, upendo hamna kila leo kwa nyumba ni ugomvi.

Kwanini hatujaachana?

Sababu inayotufanya tusiachane ni hawamachalii wetu wawili wadogo.

Sababu ya pili namtumia kama mlinzi maana hapa nilipo ni kwangu na mimi ni mtu wa shughuli za hapa na pale so wakati mwingine sipo home kwahiyo na kuwa na uhakika kuwa nyumbani yupo mtu na watoto wapo salama.

Pia nikiwa mwenyewe home usiku kama mwanamke kwa mazingira ya Arachuga ni balaa. Majambazi usiku si wa kusogelea, vijana huku kuua ni kawaida.

Kwanini karuhusu niwe na mwanaume mwingine?

Nimekuwa nahitaji mizigo mara kwa mara na mwezangu hayupo hivyo. Sijajua ni uvivu au asili yake na mara nyingi hupenda kulala chumba kingine alone.


Enzi tunakutana

Miaka 6 nyuma tulikutana nae kitaa kimoja. Siku ya pili tukakutana nae kwenye kigrosari cha hapo kitaa mimi napiga kilimanjaro yeye nyagi anachanganya na safari. Akazungusha rounds nimeshiba nikasepa, kesho yake anakuja anamuuliza mhudumu ”vipi Ras hajatinga leo?” Akajibiwa “bado”. Akasema “fanya basi Mchakato aje”.

Sina hili wala lile mimi naenda zangu grosari kupiga maji nakutana nae ananichangamkia. Tukapiga maji akachukua namba basi tukajenga urafiki mwisho wa siku mahusiano.

Sijui alinipendea nini ila pamoja na yote nilikuwa simsimbui na chenji chenji maana nilikuwa njema sana kwenye cash na yeye alilitambua hilo mapema na style yangu ya maisha pia alijua ni msomi kiasi maana hayo yote sikumuambia ila aligundua tu siku zilivyozidi kwenda.

Kwa upande wangu mwili wa mazoezi, urefu na upole wake ulinimaliza.

Anaanza kuniogopa sababu alichotegemea sicho, upole wangu wa nje haukuwa hivyo kitandani maana sio kwa Sarakasi zile maana nikianza ni hadi panakuchwa. Kiuhalisia rounds kumi kwangu ni kawaida na sioni tatizo, jamaa kaona sio kawaida kuachana anataka, kuendelea anataka,.
Basi bwana kuniambia ukweli a nashindwa Kuwa hiyo mambo hajazoea, na hata kuniangalia a Naona noma vile akikumbuka hanipi nkashiba mambo yetu Yale, Basi mi navumilia tu vile MI ni mtu wa shughuli za hapa na pale so na kuwa bize bize tu, baada ya kupitia majarida na mitandao Tofauti. Nagundua Rasta zangu ndo tatizo:

Nakata Rasta zangu
Kwanini niliamua kuzinyoa Rasta zangu niligundua ndo asili ya nguvu zote hizo, (nikikumbuka X wangu nae alikuwa Rasta bila rounds kumi Natano hatujalala bado,) Nilikuwa na Rasta ndefu halafu nyingi sana kichwani, kweli baada ya kunyoa hakukuwa na mabadiliko sana wala, na baada ya hapo sikunyoa tena hadi leo nikabaki na Afro style hadi sasa,

Namtimua jamaa home maana nilichoka na life style yake nikaweka ngumu baadae Nikaona mimi ndo napata hasara hasa kwa upande wa hao machalii wangu maana muda wote akili yangu ipo kwao,

Anarudi anakuta nimeongeza miradi mingine miwili.

Inaendelea
Wanawake wa Arusha sio romantic kabisa, yaani umeandika kama dume mvuta bangi vile. Ni ngumi mwanaume kupata mzuka na wewe
 
Eti Round 15 za gemu?.....kwani ni kuku!!! ama ni round za dakika moja moja.....
 
Eti Round 15 za gemu?.....kwani ni kuku!!! ama ni round za dakika moja moja.....
Kondom zenyewe huwa pakiti tatu, kwa sababu utafiti ni "bao" tatu for healthly men. Hao wa bao 15 ni hadithi za kijiweni.
 
Eti Round 15 za gemu?.....kwani ni kuku!!! ama ni round za dakika moja moja.....
Kondom zenyewe huwa pakiti tatu, kwa sababu utafiti ni "bao" tatu for healthly men. Hao wa bao 15 ni hadithi za kijiweni.
Nilitoa sababu hapo juu ni Kwanini huwa hivyo, nyie wanaume wa Dar mtaniambia nini nyie, mento
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom