Huyu ana sexual mania aafu anajiona Yuko sawa.Wakuuniandikayo hapa ni ya kweli kabisa nayo PITIA ndani ya nyumba,
Tunaishi Pomoja ila nyumba haina furaha mwanzo mwisho, kila mtu sahiv anachepuka atakavyo, upendo hamna kila leo kwa nyumba ni ugomvi.
Kwanini hatujaachana :
Sababu Inayo tufanya tusiachane ni Hawa machalii wetu wawili wadogo,
Sababu ya pili namtumia kama mlinzi maana. Hapa nilipo ni kwangu mimi ni mtu wa shughuli za hapa na pale so wakat mwingine na kuwa Sipo home kwa hiyo na kuwa na uhakika kuwa nyumbani yupo mtu na watoto wapo salama,
Pia nikiwa mwenyewe home usiku kama mwanamke kwa mazingira ya Arachuga ni Balaa, majambazi usiku si wa kusogelea vijana huku kuua ni kawaida.
Kwanini Karuhusu niwe na mwanaume mwingine :
Nimekuwa nahitaji mizigo mara kwa mara na mwezangu hay upo hivyo Sijajua ni uvivu au asili yake, na mara nyingi hupenda Kulala chumba ingine alone,
Enzi tunakutana:
Miaka 6 nyuma tulikutana nae Kitaa kimoja, siku ya pili tu kakutana nae kwenye kigrosasry cha hapo kitaa Mi napiga kilimanjaro yeye nyagi anachanganya na safari, kazungusha rounds nimeshiba nikasepa, kesho yake anakuja anamuuliza stela (muhudumu) vipi Ras hajatinga leo akajibiwa bado, fanya basi Mchakato aje, Sina hili wala lile MI naenda zangu kwa stela kupiga maji na kutana nae ananichangamkia piga maji akachukua namba basi tukajenga urafiki mwisho Wa siku mahusiano,
Inaendelea
Sijui alinipendea nini ila Pomoja na yote Nilikuwa simsimbui na chenji chenji maana Nilikuwa njema sana kwenye cash na yeye alilitambua hilo mapema, na style yangu ya maisha pia alijua ni msomi kiasi maana hayo yote sikumuambia ila aligundua tu siku zilivyozidi Kwenda,
Kwanini nilimpenda,? Mwili wa mazoezi urefu na upole wake ulinimaliza,
Anaanza kuniogopa sababu alichotegemea sicho, upole wangu wa nje haukuwa hivyo kitandani maana sio kwa Sarakasi zile maana nikianza ni hadi panakuchwa, kiuhalisia rounds kumi kwangu ni kawaida na sioni tatizo, jamaa kaona sio kawaida kuachana anataka kuendelea anataka
Inaendelea
Tuma na kwangu niaminiPoa pm ipo wazi?
Umeikazania 😂Yale yale ya miss natafuta na general mangi ni mtu mmoja

na kuniambia kote kule upande wa pili........acha niendelee kula chabo
Umeikazania![]()
😂😂😂 KazanaSi naona unaelekea kiblana kuniambia kote kule upande wa pili........acha niendelee kula chabo
Wakuu niandikayo hapa ni ya kweli kabisa ninayopitia ndani ya nyumba.
Tunaishi pamoja ila nyumba haina furaha mwanzo mwisho. Kila mtu sasa hivi anachepuka atakavyo, upendo hamna kila leo kwa nyumba ni ugomvi.
Kwanini hatujaachana?
Sababu inayotufanya tusiachane ni hawamachalii wetu wawili wadogo.
Sababu ya pili namtumia kama mlinzi maana hapa nilipo ni kwangu na mimi ni mtu wa shughuli za hapa na pale so wakati mwingine sipo home kwahiyo na kuwa na uhakika kuwa nyumbani yupo mtu na watoto wapo salama.
Pia nikiwa mwenyewe home usiku kama mwanamke kwa mazingira ya Arachuga ni balaa. Majambazi usiku si wa kusogelea, vijana huku kuua ni kawaida.
Kwanini karuhusu niwe na mwanaume mwingine?
Nimekuwa nahitaji mizigo mara kwa mara na mwezangu hayupo hivyo. Sijajua ni uvivu au asili yake na mara nyingi hupenda kulala chumba kingine alone.
Enzi tunakutana
Miaka 6 nyuma tulikutana nae kitaa kimoja. Siku ya pili tukakutana nae kwenye kigrosari cha hapo kitaa mimi napiga kilimanjaro yeye nyagi anachanganya na safari. Akazungusha rounds nimeshiba nikasepa, kesho yake anakuja anamuuliza mhudumu ”vipi Ras hajatinga leo?” Akajibiwa “bado”. Akasema “fanya basi Mchakato aje”.
Sina hili wala lile mimi naenda zangu grosari kupiga maji nakutana nae ananichangamkia. Tukapiga maji akachukua namba basi tukajenga urafiki mwisho wa siku mahusiano.
Sijui alinipendea nini ila pamoja na yote nilikuwa simsimbui na chenji chenji maana nilikuwa njema sana kwenye cash na yeye alilitambua hilo mapema na style yangu ya maisha pia alijua ni msomi kiasi maana hayo yote sikumuambia ila aligundua tu siku zilivyozidi kwenda.
Kwa upande wangu mwili wa mazoezi, urefu na upole wake ulinimaliza.
Anaanza kuniogopa sababu alichotegemea sicho, upole wangu wa nje haukuwa hivyo kitandani maana sio kwa Sarakasi zile maana nikianza ni hadi panakuchwa. Kiuhalisia rounds kumi kwangu ni kawaida na sioni tatizo, jamaa kaona sio kawaida kuachana anataka, kuendelea anataka
Inaendelea
Bob tuka bet tu, hauna sure ya leo?MTU.MZIMAA OVYOOOOO
Kasimulia kama mwanaume kutokana mfumo wake wa maisha wa kukaa sehemu zenye mazumgumzo ya wanaume zaidi ya yale ya kike, naye kaisha iga, mfumo huo "either" kwa makusudi au kwa bahati mbaya.huu mwandiko niwamwanaume
Jamii Forums siku hizi imekuwa ya kipuuzi sana. Sijui ije option ya kulipia mapunguani waondoke
Mzee Baba mbona umefungia pm aisee,
Usinisumbue tena
Round 15 huyo ni mtu kweli? Au ana ululu wa ndizi? mme ana miaka 14?Wakuu niandikayo hapa ni ya kweli kabisa ninayopitia ndani ya nyumba.
Tunaishi pamoja ila nyumba haina furaha mwanzo mwisho. Kila mtu sasa hivi anachepuka atakavyo, upendo hamna kila leo kwa nyumba ni ugomvi.
Kwanini hatujaachana?
Sababu inayotufanya tusiachane ni hawamachalii wetu wawili wadogo.
Sababu ya pili namtumia kama mlinzi maana hapa nilipo ni kwangu na mimi ni mtu wa shughuli za hapa na pale so wakati mwingine sipo home kwahiyo na kuwa na uhakika kuwa nyumbani yupo mtu na watoto wapo salama.
Pia nikiwa mwenyewe home usiku kama mwanamke kwa mazingira ya Arachuga ni balaa. Majambazi usiku si wa kusogelea, vijana huku kuua ni kawaida.
Kwanini karuhusu niwe na mwanaume mwingine?
Nimekuwa nahitaji mizigo mara kwa mara na mwezangu hayupo hivyo. Sijajua ni uvivu au asili yake na mara nyingi hupenda kulala chumba kingine alone.
Enzi tunakutana
Miaka 6 nyuma tulikutana nae kitaa kimoja. Siku ya pili tukakutana nae kwenye kigrosari cha hapo kitaa mimi napiga kilimanjaro yeye nyagi anachanganya na safari. Akazungusha rounds nimeshiba nikasepa, kesho yake anakuja anamuuliza mhudumu ”vipi Ras hajatinga leo?” Akajibiwa “bado”. Akasema “fanya basi Mchakato aje”.
Sina hili wala lile mimi naenda zangu grosari kupiga maji nakutana nae ananichangamkia. Tukapiga maji akachukua namba basi tukajenga urafiki mwisho wa siku mahusiano.
Sijui alinipendea nini ila pamoja na yote nilikuwa simsimbui na chenji chenji maana nilikuwa njema sana kwenye cash na yeye alilitambua hilo mapema na style yangu ya maisha pia alijua ni msomi kiasi maana hayo yote sikumuambia ila aligundua tu siku zilivyozidi kwenda.
Kwa upande wangu mwili wa mazoezi, urefu na upole wake ulinimaliza.
Anaanza kuniogopa sababu alichotegemea sicho, upole wangu wa nje haukuwa hivyo kitandani maana sio kwa Sarakasi zile maana nikianza ni hadi panakuchwa. Kiuhalisia rounds kumi kwangu ni kawaida na sioni tatizo, jamaa kaona sio kawaida kuachana anataka, kuendelea anataka,.
Basi bwana kuniambia ukweli a nashindwa Kuwa hiyo mambo hajazoea, na hata kuniangalia a Naona noma vile akikumbuka hanipi nkashiba mambo yetu Yale, Basi mi navumilia tu vile MI ni mtu wa shughuli za hapa na pale so na kuwa bize bize tu, baada ya kupitia majarida na mitandao Tofauti. Nagundua Rasta zangu ndo tatizo:
Nakata Rasta zangu
Kwanini niliamua kuzinyoa Rasta zangu niligundua ndo asili ya nguvu zote hizo, (nikikumbuka X wangu nae alikuwa Rasta bila rounds kumi Natano hatujalala bado,) Nilikuwa na Rasta ndefu halafu nyingi sana kichwani, kweli baada ya kunyoa hakukuwa na mabadiliko sana wala, na baada ya hapo sikunyoa tena hadi leo nikabaki na Afro style hadi sasa,
Namtimua jamaa home maana nilichoka na life style yake nikaweka ngumu baadae Nikaona mimi ndo napata hasara hasa kwa upande wa hao machalii wangu maana muda wote akili yangu ipo kwao,
Anarudi anakuta nimeongeza miradi mingine miwili.
Inaendelea