mume wangu jamani

nimesali sana sister yaani mpaka yamenifika shingoni
sema labdaniendelee tu nikubali matokeo na kuamini matatizo yataisha hata kama hayataisha milele

pole dada
sugua got mungu achok kusikiliza na sikio lake lnasikia
 
are u sure hakuna kitu kinaathiri saikolojia ya mume wako? ongea nae kama mume wako inawezekana kuna kitu kinam turn off wakati mnapokabiliana kwa sex. kabla kufikiria kulogwa jaribu kuangalia mazingira mnayoishi kwanza. kuna external na internal factors nyingi ambazo zinaweza kum turn off mwanaume during sex especially mwanaume kama sio wild on bed, na once damage done its hard to recover.

somo litaendelea.
amen!!!!!!
 
Nakubali ya dunia ni mengi, ila pia umeulizwa swali la msingi: Kwa nini hukutafuta ushauri au msaada kwanza kabla ya kwenda nje ?

Unanikumbusha story moja iliwahi kuletwa na mtu humu kuwa eti ana rafiki yake, na huyo dada anadai kaolewa zaidi ya miaka 10, ana watoto 2 na hajawahi kufkishwa kule juu hata siku moja. Sasa watu wakajiuliza yaani miaka yote hiyo amekaa tuu, hajawahi kuuliza kulikoni, au hata ongea na mwenzie mpaka akaamua kuwa malaya kwa kisingizio hicho ?
 
ahsante. Ila soma vizuri sredi ya huyo dada. Amesema akitaka kusex na mumewe uume unasinyaa mara ooh hao aliosex nao nje hawajui mapenzi kama mumewe. Sasa hapo ndio nini jamani!

umeamua kuona hayo na umeyaona ayo2
soma theme yote then mshaur acha na mafagio yake ya apa na pale...
 
Ni kweli my dear,wala hauko mwenyewe,sisi wote ni binadamu na hukosea na tumepungukiwa utukufu wa Mungu,ila uwe unatafuta suluhisho la kudumu,si starehe za haraka haraka na za muda mfupi,look for sustainable solutions,nje ya ndoa unapoteza amani,kujiamini na kukosa thamani binafsi na mapepo pia waweza kusanya huko,na pengine huyo mfanyakazi mwenzio nae alikuwa ameoa.......ni tatizo juu ya tatizo....

Tuna mama zetu wamepita huko huko,lakini hawakuwa na maamuzi mepesi na marahisi na ndo maana wanatushauri,ukisikia mama anakuambia mwanangu ukavumilie,ndo wanajua kuna matatizo kama haya ya mumeo,wanashirikiana na waume zao na kumlilia Mungu hadi yanaisha na ndoa zinadumu,zinakuwa za furaha.....

Michele, aminia sana kwa ushauri mzuri. Jinsi story ilivyokaa ni kama vile ya kutunga lakini jamani hii dunia anything is possible. Gaga fuata ushauri wa MIchele na miss Judith. M/Mungu ni kila kitu katika hii dunia. Na ni kwake yeye shida zetu zote na dua zetu zinapojibiwa. Kwenda kwa mganga yule ni binadamu kama wewe hana uwezo wowote wa kutatua matatizo yako ndio kwanza ataenda kukuongezea matatizo.
 
hukunizania nini?
Soma vizuri sredi ya huyo dada utaona anavyojikoroga maelezo.

nimemzingatia
post yake imejee mafagio kibaooo sjui hamfikiii mume wangu mara sjui analia km mee lakin muurumie tu chek tatizo lake na umshauri
mengne mwachie mwenyew
 
haujambo wewe mrembo? nimekumiss kama ushindi wa dr slaa. khaaa! mpe lady gaga maushauri basi kabla wazembe wa mitaani hawajaparaganya ndoa yake takatifu.

ahh mwaya apa nilipo nina araka naenda ukooooooooooo asi unaajua wknd leo sjatulia yaan uku nimeshka mafuta najipaka uku naandika jf
kesho
lakin michelle kamshaur vyema yeye tu
 
usishangae michelle ingieni huko mtaona mengi zaidi ya haya ya kwangu usione watu humu wanatoa coment za kujifanya wasafi wana mambo mazito nyumbani kwao tukikaa wanawake kumi tulioolewa na kila mtu akasema lake unaweza kimbia nyumbani na kuona afadhali haya yangu madogo.

Tunaweza kuwa hatujaolewa lakini tunajua kutokana na experience ya mama/dada/shangazi/kaka/wajomba yale wanayopitia kwenye ndoa zao,na yote uliyoshauriwa ni out of experience my dear.....ikuonyeshe hauko mwenyewe ila kwakuwa tumejifunza kutokana na makosa ya wengine tunakushauri ili usiongeze tatizo juu ya tatizo na tunajifunza pia kutoka kwako....
 
ahh mwaya apa nilipo nina araka naenda ukooooooooooo asi unaajua wknd leo sjatulia yaan uku nimeshka mafuta najipaka uku naandika jf
kesho
lakin michelle kamshaur vyema yeye tu
unantamanisha ujue! acha nikaazime baskeli namie nikuje huko huko.
 
kaka/dada angu wewe mvivu kusoma ee nimesema huu ni mwaka wa nne hatu make love,nilijaribu nje wanafanya yaani wanaweza maana nilidhani labda nina kitu ambacho kimenipata mwanaume akifanya mapenzi na mimi tu kitu kinasinyaa.na ni kweli hawakuwa wanaweza kama mume kwani uongo au hatia kusema ukweli?yaani zero nikaamua kutulia tu baada kuona sipati raha yeyote.
ahsante. Ila soma vizuri sredi ya huyo dada. Amesema akitaka kusex na mumewe uume unasinyaa mara ooh hao aliosex nao nje hawajui mapenzi kama mumewe. Sasa hapo ndio nini jamani!
 
kwa hiyo huwez jua nilipitia wapi mpaka leo nimedondokea humumiaka ni mingi imepita na kama umeona mimi nimejiunga juzjuz tu humu jf na nimeona maushauri kibao na kujiunga humu pia nilishauriwa pia
Nakubali ya dunia ni mengi, ila pia umeulizwa swali la msingi: Kwa nini hukutafuta ushauri au msaada kwanza kabla ya kwenda nje ?

Unanikumbusha story moja iliwahi kuletwa na mtu humu kuwa eti ana rafiki yake, na huyo dada anadai kaolewa zaidi ya miaka 10, ana watoto 2 na hajawahi kufkishwa kule juu hata siku moja. Sasa watu wakajiuliza yaani miaka yote hiyo amekaa tuu, hajawahi kuuliza kulikoni, au hata ongea na mwenzie mpaka akaamua kuwa malaya kwa kisingizio hicho ?
 
Michele kasema kila kitu. Kwa nongeza nadhani mmechokana.kurudisha penzi upya jaribu kukumbushana wkt mnachumbiana,tembeleeni wiwanja mlivokuwa mnaenda, ombeni likizo msafiri nje ya mji mnaoishi kaeni kama wiki mkiwa pamojanadhani penzi litarudi na mda huo simu au email isiwepo i mean msiwe na mawasiliano yoyote hadi wikki ikatike kama vile mko honeymoon.
 
amen!!!!!!
rose nishamuuliza au kuhisi tu labda ni wembamba wangu au ni nini nimejaribu kila njia ambayo unahisi mwanamke yeyote angejaribu kumvutia mume huyu waapi!!kusafiri labda kwenda kwenye mahotelikulala au nini tena yeye mwenyewe kasema hana tatizo na mimi wala simwoni kama ana tatizo kwenye shughuli zake kila siku ananisimulia mafanikio anayoyapata.kusema ana tatizo linamsumbua kwa sasa hana!
naona niendelee kusali tu mungu huko mbele atasaidia
 
Michele kasema kila kitu. Kwa nongeza nadhani mmechokana.kurudisha penzi upya jaribu kukumbushana wkt mnachumbiana,tembeleeni wiwanja mlivokuwa mnaenda, ombeni likizo msafiri nje ya mji mnaoishi kaeni kama wiki mkiwa pamojanadhani penzi litarudi na mda huo simu au email isiwepo i mean msiwe na mawasiliano yoyote hadi wikki ikatike kama vile mko honeymoon.

tunaenda nje mara nyingi na some times tuna farm house tunaenda huko hata network za simu hakuna tunakaa siku tatu nne wenyewe tu jaribu kila njia jamani wapi labda kanichoka tu
 
Mimi nina rafiki yangu ambaye alikuwa na demu mmoja hivi na kila alipojaribu kugonga kwa mwingine ishu inasinyaa kabisa. Akawaona wazee wakamfanyia mambo na kumueleza kuwa amefanyiwa mambo na yule binti wa kwanza ili akitembea nje asisimamishe mtarimbo kabisa. Hivyo tatizo la mme wako naona kwa namna kubwa linafanana na hilo. Wanachofanya ni kwamba mkimaliza ku-sex wanamfuta mwanamme kwa kitambaa na kisha wanakifanyia mambo na kukiweka sehemu fulani nyumbani kwao sasa ili tatizo liishe inatakiwa kile kitambaa kiharibiwe kabisa. Ushauri wangu ni kwamba muulize mumeo kwa umakini juu ya hayo mazingira kama yalishawahi kumtokea kwa namna yoyote alipochapa nje. Akikubali basi tafuteni namna ya kufumbua fumbo hilo. Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom