mume wangu jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mume wangu jamani

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Gaga, Jan 21, 2011.

 1. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #1
  Jan 21, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  mimi nimeolewa miaka mingi iliyopita nimeishi kwa amani na upendo na mume wangu,pia mungu katujalia watoto na mali lukuki, kwa kifupi sina shida.ila sasa matatizo yameingia ndani ya nyumba.
  huu ni mwaka wa nne mume hawezi ku make love na mimi ila kukuta na msg za madem nakuta,moyoni najiuliza hivi hawa nao anatia nao story tu?nilivumilia sana nikaanza kutembea nje,wa kwanza mwanachuo mwenzangu yaani upuuzi mtupu mapenzi hamfikii hata robo mume wangu,wa pili mfanyakazi mwenzangu nae ndo kabisaa akicome anajipiga kichwa then analia kama mbuzi hee:frusty: mwisho nikaamua nitulie tu home.
  mwaka mmoja nyuma nikabuni kamtindo ka kujiridhisha mwenyewe nikaona raha ajabu mpaka miezi minne nyuma nikambana mume akakubali NJE AKIENDA ANAPIGA MZIGO KAMA KAWA AKIJA KWANGU ANASHINDWA!!!!! jamani wana jf wenzangu nisaidieni mwanamke wake kamloga au mimi ndio nina matatizo? na kama ni mm mbona wale watu walipiga mzigo kama kawa?? na mbona akiwa anataka kufanya mapenz jogoo anawika akinigusa tu inasinyaa jamani duniani kuna mambo na mateso ya kila aina
  kuna mtu kanishauri niende kwa mganga mwanamke wake wa nje kamloga.niende?kuna mtu tatizo kama hili lishampata?nifarijini na mnishauri mwenzenu nateseka sana.
   
 2. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hapo kwenye red HAPANA.
   
 3. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  1. Hatua ya kwanza ni kutubu,Mungu akusamehe,umekosea sana,hushindani na ibilisi ndani ya mumeo kwa kumuunga mkono ibilisi kwa mwanaume mwingine.Si suluhisho,na nakuambia huko ulikoenda ndo umeenda kutafuta shida.

  2.Hako katabia ka kujiridhisha mwenyewe kaache,huwezi jua unashughulikiwa na majini mahaba,nenda kanisani usikie shuhuda za watu,wanaondo uhusiano wowote na mwanaume mwingine kwa mambo kama hayo,mwanaume hawezi fanya mapenzi.Mungu aliyewaunganisha anajua kwanini alituweka tofauti na akaweka ilo tendo la ndoa.

  3.Usiende kwa mganga nakusihi tena sana,piga magoti muombe Mungu,unaenda chukua pepo lingine huko,Mungu ni zaidi ya yote,sali sana na uwe na subira atakujibu,nenda kwenye maombi/dua za pamoja na wenzio,usiruke kwa mganga.

  4.Kaa mbali na marafiki wabaya wakati huu ukiwa na matatizo,zungumza na Mungu,mumeo,mama au hata dada......usitii ushauri wa kwenda kwa mganga hata kama unatoka kwa mama yako,huyo hawara kama unahisi alikulogea kwa mganga,we unaenda fanya nini?gharama za bure,yupo Mungu.
   
 4. E

  Edo JF-Expert Member

  #4
  Jan 21, 2011
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Pole sana, mwambie mumeo aongee na wazee wa kwao watajua jinsi ya kumsaidia, wewe katu usiende kwa mganga; ukienda utazoea kila kitu utataka uende huko huko hata kwenye mambo /mitihani ya kidunia.
   
 5. M

  Mafuluto JF-Expert Member

  #5
  Jan 21, 2011
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,602
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Mbona hii story haijakaa sawa ? Hawezi ku make luv, then ukaanza umalaya halafu unasema huyo mwanafunzi sijui work mate hajui mapenzi na hafiki hata nusu ya mmeo... ???
   
 6. tama

  tama JF-Expert Member

  #6
  Jan 21, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 604
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kama una amini Mungu kuwa yeye ndo aliyekupa huyo mume,toka mwanzo muombe huyo huyo atakusaidia kumrudisha kwenye hali
  yake ya kawaida kama alivyokuwa mwanzo.Nakushauri pliz pliz usiende kwa mganga kwani ndio utaongeza matatizo zaidi zaidi.
   
 7. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #7
  Jan 21, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  pole dada kwanza hayo uliyoyafanya kama kisasi siungi mkono,la pili ktu usiende kwa mganga huko ni kwenda kubeba mapepo mengine na kuleta ndani mtegemee Mungu atakuonyesha njia ipasayo kupita kaa ongea na mumeo kama ikishindikana tafuta watu wazima wenye busara uwaeleze watakusaidia huo mchezo wa kujiridhisha mwenyewe pia sio mzuri acha utakuja kukuletea matatizo baadae.
   
 8. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #8
  Jan 21, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Michelle j 2 huwa unahubiri kanisa gani ?
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  Jan 21, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Yani we umetoka nje kwanza alafu ndo utafute utatuzi wa tatizo??Kwanini hukuanza na kuomba ushauri..kujaribu kurekebisha mambo yenu na kutatua tatizo mlilokua nalo??MICHELLE UKO WAPI MAMA?Kwa style hamna kudanganyika!
   
 10. Mama Brian

  Mama Brian JF-Expert Member

  #10
  Jan 21, 2011
  Joined: Feb 7, 2010
  Messages: 321
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Good advice Michelle, cheers!
   
 11. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #11
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
  African chemistry still exists!:behindsofa:
   
 12. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #12
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Nami nimeona ametoa very wisely coments, nimezipenda.
   
 13. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #13
  Jan 21, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  1.
  Mungu si sawa na mganga wa kienyeji, kama humwamini Mungu si rahisi kuziona rehema zake kwani mwenye haki wake huishi kwa imani.
  2.
  hiyo nyumba yako inaonekana si ushuhuda mzuri wa ndoa takatifu. nlivyoelewa mimi ni kuwa mumeo alikuwa wa kwanza kutoka nje ya ndoa, na wewe kwa kuendekeza tamaa zako hasa mumeo alipopoteza appetite na wewe nawe ukaanza kutoka nje ya ndoa, ulipoona bado nyumba haijakaa sawa ukaanza kjichua tena unasema ulifurahia hako kamchezo, mwisho unageukia JF kutafuta ushauri, na bado una mawazo ya mganga. this is a fatal syndrome in your home! you need a complete overhaul of yourself and your family. kumgeukia Mungu kama unavyogeukia panadol ukiumwa na kichwa siyo sawa. Mungu wapaswa kumwendea kwa imani na lazima maisha yako pia yawe maisha ya mtu mwenye imani kwa Mungu.
  3.
  hapao kwenye ndoa yako mumemkaribisha ibilisi sasa anawaendesha mchakamchaka. mwapaswa kumkana ibilisi na mambo yake yote. mkichukua hatua ya pamoja wewe na mumeo ni vizuri, ila mumeo akiwa mgumu, wewe mwenyewe chukua a leading role. vaa utu wema wa mke mwema na ingia kwenye maombi bla kuchoka Mungu atasikia kilio chako

  ubarikiwe sana
   
 14. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #14
  Jan 21, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  kumbe na wewe umeistukia eeh!
  Story ya kuunga unga nafikiri lengo ni kutuburudisha ila binafsi imenichefua.
   
 15. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #15
  Jan 21, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  mafuruto ya dunia ni mengi na kama hayajakukuta huwezi jua inakuwaje kabisa
   
 16. I

  Ijuganyondo Member

  #16
  Jan 21, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  I have a lot of nothing to say!!
   
 17. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #17
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Ndo nasomea Uporoto,nikianza kazi ntakujulisha.......lol
   
 18. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #18
  Jan 21, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  sorry kama nimewachefua kwa kifupi duniani mambo kama hayo ni mengi na kama hukupata ushauri kipindi hicho ungesikia mengi zaidi ya hayo.wengi wapo humu ila kusema hawawezi
   
 19. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #19
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Huu ni moja ya ushauri wa busara kabisa kuwahi kukutana nazo, sina cha kuongeza dada zingatia huu :A S 39:
   
 20. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #20
  Jan 21, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  asante sana dada michelle kwa ushauri mzuri nafikiri nitaanza nao mapema zaidi
   
Loading...