Coffee
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 1,304
- 1,313
Hahahaha, mambo La giocondamungu anakuona si kwa maneno hayo
Umenena mubashara mkuu gfsonwinHuyu anatia shaka
1. Anasema Hana muda yuko bize na Ankara
2. Sababu anayoitoa ya kudai talaka mojawapo ni maumbile. Hivi Adi anazaa naye hayo maumbile hakuyaona? Je Leo kapata mtu wa kufanya anavyotaka ndo analeta kelele za hatunzi watt matatizo ya kifamilia.....chaaaa wanawake hebu tuwahurumie watt wetu. Mungu anatuona.
Hivi kbs mwanamke unakuwa binafsi kuliko hata fisi? Sheree zote unataka ule ww? Wanaoje u alitaka kwakuza bila baba? Ama na mbaba lukuki?
Hiyo jeuri uliyonayo ipo siku itatoweka
Sent using Jamii Forums mobile app
Atafute sabb gan zaidi ya hiyo? Ajionavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo. Mungu anamuona ujueTafuta mwanasheria mlipe afanye hiyo kazi pesa yako tu... ila tafuta sababu nyingine nzuri kama alitelekeza familia.
Ha ha ha akisema hiyo hatashindaAtafute sabb gan zaidi ya hiyo? Ajionavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo. Mungu anamuona ujue
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan sijui alotuloga wanawake ni nani?Ha ha ha akisema hiyo hatashinda
Mleta Uzi anatia mashaka na huenda yeye ni chanzo cha matatizoTafuta mwanasheria mlipe afanye hiyo kazi pesa yako tu... ila tafuta sababu nyingine nzuri kama alitelekeza familia.
Akili hakuna tunakosa utulivu na kutokujua kipi muhimu katika maisha yetu pamoja na ubinafsiYaan sijui alotuloga wanawake ni nani?
At times unaweza ukamshauri mtu aondoke kwasababu ya mateso anayopata.
Ila kuna wakati unafika unasema hivi huyu mwanamke mwenzangu aliyemwambia kuwa wanawake wote kwenye ndoa huwa wanafikaga ni nani?
Haya ndo makosa ya watu kubwa story za saluni nyumban. Ukiskia mtu akijisifu bwana angu mie yaan ananipiga Adi v3, yaan ukijitazama wew hata kufika tuu hupajui licha ya kuingia leba mara 5. Ukifika home unaakazana kuukodolea macho mshedede wa mwenzio na kuutaftia kasoro kumbe kasoro unazo ww pasi kujua lol!
Sent using Jamii Forums mobile app
Anayo ila bora amuache mwenzie tu