Mume wangu hataki kuvunja ndoa, nifanyeje?

Mume wangu hataki kuvunja ndoa, nifanyeje?

Mh! Weye mkali Mkuu. Ushafanya ushushushu wako lol!
Comrade.....
Mini muhenga ujue....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na huyu mleta mada, ni aina ya wanawake ambao huwachukia waumezao hasa baada ya kufanikiwa, wanaanza kuwadharau waume walio anzanao maisha from the scratch.
Nilipo pitia threads zake, nikagundua mama anajeuri kwakua anauwezo wa kujihudumia na kisomesha wanae.
Mbaya zaidi, alipoonja mkuyenge wa pembeni ndio ukamchanganya na kumuona mumewe hamfai tena.
Leo anataka talaka ili awe huru na huo mchepuko uliochanganya akili
 
Ndiyo sababu wahenga wa humu huwa nawasoma sana Mkuu maana wamejawa na hekima na busara.

Comrade.....
Mini muhenga ujue....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na huyu mleta mada, ni aina ya wanawake ambao huwachukia waumezao hasa baada ya kufanikiwa, wanaanza kuwadharau waume walio anzanao maisha from the scratch.
Nilipo pitia threads zake, nikagundua mama anajeuri kwakua anauwezo wa kujihudumia na kisomesha wanae.
Mbaya zaidi, alipoonja mkuyenge wa pembeni ndio ukamchanganya na kumuona mumewe hamfai tena.
Leo anataka talaka ili awe huru na huo mchepuko uliochanganya akili
 
Kwa nini unawaza kubomoa ukuta uliojenga mwenyewe
Kama ameomba msamaha mrudie mulee watoto mmugomvi wako usisababishe watoto wakakosa malezi ya baba, watoto wanaumia sana wanavyolelewa na mzazi wa kufikia kisa ww umeshindwa kusamehe

sizonjemadawa

Amesha onja nnje akaona tamu sasa harudi ndoani kufanya nn..uzinzi unamsumbua tuuu..
Pitia hapa umuelewe vzr huyu...
Kwa hisani ya Ushimen
Mume wangu hanitoshelezi, kimwili na kimahitaji
 
Ushasema huna muda tukusaidiaje????

Dawa ni wewe kuomba talaka full stop
 
Comrade.....
Mini muhenga ujue....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na huyu mleta mada, ni aina ya wanawake ambao huwachukia waumezao hasa baada ya kufanikiwa, wanaanza kuwadharau waume walio anzanao maisha from the scratch.
Nilipo pitia threads zake, nikagundua mama anajeuri kwakua anauwezo wa kujihudumia na kisomesha wanae.
Mbaya zaidi, alipoonja mkuyenge wa pembeni ndio ukamchanganya na kumuona mumewe hamfai tena.
Leo anataka talaka ili awe huru na huo mchepuko uliochanganya akili
Point...
 
Aiseeeeeee......[emoji47] [emoji47] [emoji47]
Mambo mengine bhana.....[emoji15] [emoji15]
Yaani unashindwa kufanya maamuzi yako binafsi kwa mustakabali wa maisha yako....[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Hana muda.....
 
Wakati unaolewa hukujua kuwa ndoa ya Kikristo haivunjikagi? Au ulikuwa unamtania Mungu kwa kuapa uongo na kumdanganya huyo mwanaume kuwa utaishi naye kwenye shida na raha? Hata kama kitandani hayuko vizuri, ndo shida zenyewe izo.
 
Wana MMU wenzangu,

Huyu mwanamke ana matatizo makubwa sana kumbe yeye ndio tatizo sasa anajidai kuhamishia tatizo kwa mume wake. Someni hapa chini uzi wake huu:-

Mume wangu hanitoshelezi, kimwili na kimahitaji

"Habari wana MMU,
Mume wangu ana tatizo la kuwahi kumwaga. Yaani dakika 2 tu ameshamaliza na kuniacha nikiwa nateseka huku nikiwa nina hamu. Tatizo hili limekuwa linanisababishia maumivu ya tumbo na kiukweli nikiwa naye sikuwahi kufika kileleni na kwa kuwa alinioa nikiwa bikira sikuweza kugundua mapema tatizo ni la nani.

Muda mwingi nilikuwa najichukia na kuwaza huenda mimi ndio nina tatizo na yeye mwenyewe wakati nikilalamika alikuwa ananiambia kuwa mimi ndio nina tatizo kwanini kila siku sifiki kileleni; mara nilikuwa siko tayari basi tu ilimradi nionekane tatizo liko kwangu.

Basi siku moja niliamua kujaribu nje, lol sitasahau ilikuwa ndio siku yangu ya kwanza kujua raha ya mapenzi. Sasa toka wakati huo nimekuwa simpendi kabisa mume wangu na nina mpango niachane naye kwani mbali na kutokuwa mzuri kitandani pia hatoi huduma kwa familia, kiufupi ni mvivu kila idara.

Naombeni ushauri wenu nifanyeje ili niweze kuachana naye coz siwezi kuishi na mume ambaye anamaliza haja zake tu (mbinafsi)."

Je nani ni shida hapo kama sio huyu mwanamke, ni mchepukaji na hana hata aibu. unawadhalilisha wanawake wenzako ujue, na kuwafanya wanaume waogope kuoa. Jiheshimu.
 
Mleta mada uzinzi na dharau havitamuacha salama. Kila la heri kwa kuchagua kuiridhisha nafsi yako. Lakini nakukumbusha tu kauli ya mhenga mmoja mvuta bangi
"Don't Gain The World & Lose Your Soul, Wisdom Is Better Than Silver Or Gold."
Bob Marley
 
Back
Top Bottom