Mume wangu haniridhishi kwenye tendo

Mume wangu haniridhishi kwenye tendo

Kama unampenda mume wako haya mambo ni kawaidaa tu ndio maana ulikubali kuolewa naee au ulilazimishwaaa
Kwa ufahamu wangu kama umeona anakupapasa tu kwa juujuu tu kwanini usimfundishe kwa upendo kwa mapenzii mazurii bila kumlalamikiaa, ni kumfundisha kua napenda hivi unigeuze hivii unfanyie hikii mbona atakufanyia yote lakin wewe moja kwa moja ukapeleka kiuno nje huo ni umalayaaa na humpendi mumeo
Mwanaume ni kama mtoto akiwa kitandanii mfundishe akupe umoto wenyeweee banaa kha!!kutuaibisha tu hapaaa
Na hivyo ulivyomuambiaa umemkatisha tamaaa na anaweza asiwe na munkari maana umemvunja moyo nyie ndio mnaosababishaa wanaume wapungukiwe nguvu za kiume
Dawa ni maneno yako tu na lugha basiiii

umeongea point!!
 
Sikubaliani na sms ya mtoa mada naona haikutumia busara. Lakini hili na ku reduce stress aki do na mumewe lina walakin. Ni ukweli usiopingika kwamba kuna wanaume hawajui love making na huwaacha wake zao very unsatisfied. Hapo sio suala la stress ya mke ni suala la lack of skills la mume! Tuanzie hapo...

Do you think so really?Doing sex with your husband while thinking of others you cannot manage to overcome the problem unless if she doesn't love him.
 
mwanamke -------- haharibu nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe
 
Huuuwii mmeniumiza sana nyie watu!!! Hata kunitia moyo!!!hamjui machungu ya kuachwa na nyege nini?
Anyway nimewaelewa kuwa sikupaswa kutuma hiyo sms nilipaswa kuongea nae tu labda angejitahidi ajirekebishe, japo nilishawahi kuongea nae lakini hakubadilika.
 
Habari wanajamvi,

Mwenzenu nimekaa kwenye ndoa kwa miaka minne na nina mtoto mmoja lakini kila siku tendo nalifanya sioni reha yoyote.

Siku moja nilijaribu kutoka nje ya ndoa nikapata raha ambayo sijawahi kuipata toka nizaliwe sasa leo tena tumekutana na mume wangu anaingia tu kabla sijaanza kufeel chochote anakuwa ameshamaliza na analala usingizi kabisaaa!!!

Mimi nabaki nahangaika kuhesabu boriti.

Kwa kuwa kumueleza nimeshindwa nimeamua kumtumia sms hii; "
Unakera sana jamaa yangu ,kamakazi inakushinda si uwaachie wenzio kuliko kutesana usiku kucha kulala macho?

We mwanaume gani usiyejua kumridhisha mke wako.

Kwahiyo kila siku utakuwaga learner tu!!! huo ni utahira kama hujui, mimi nimechoka kuachwa njiapanda kila siku na sio mjinga wa kuachwa njiapanda, labda utafute mjinga mwenzio ndo uwe unamuacha njiapanda.


Kazi imekushinda jitoe kwenye game waingie wenye uwezo wao.

Siwezi kuvumilia kero za aina hiyo maana kero ulizonazo zinanitosha sikupaswa niongezewe na kero za kwenye tendo la ndoa.

Mjinga wewe hebu nikatafute wenye uwezo wa kunirishisha wewe umeshashindwa miaka minne yote kapa???"

Je, Niko sahihi kumtumia sms hii?
sijui atabadilika?
Sijui tatizo ni nini?
by mama kado
Mnisaidieni?


Kwa mwenye akili akisoma mistari hii anajua tu kwamba wewe hujawahi olewa, una imagine tu ndoa inafananaje!
 
Sikiliza pirlow talk kila j3 mpaka alhamisi times fm 100.5 kuanzia saa 4 utpata mengi ya mahba jinsi ya kumfanya mumeo awe jwmbe kama
 
Aina ya msg umeandika inaonesha wewe ni mtu wa aina gani, pole kwa mumeo na kwako pia.
 
Tanya naomba nijifunze kwanza kabla sijashauri. Naomba umri wenu, ana kibamia au ana mashine ya kutosha shida ni umalizaji mapema? Ulimpenda kweli huyo jamaa au ulikibari kuwa nae tu? Kama ulimpenda ulimpendea nini? Je mlishawahi kufanya mapenzi kabla hamjawa pamoja na ilikuwaje?
 
kazi ipo kwenye hz ndoa, unaweza kuta mmeo anayavumilia mengi ya kwako mabaya tu!
 
Utundu wa mwanamke pia unachangia kwa mwanaume kumkaza vzr mwanamke.Kuwa mkorofi amsha hisia kwa fujo na mitego hata kama amekupiga kimoja utaona kitakachofuata.

Sio et amekupiga kimoja nawe unatulia tu ukitegemea atapanda tena!! mzuka lazima utafutwe tena.
 
Katu usitume kabisa iyo text hata kidogo sio mesg ya kurekebisha hayo ni matusi tena mazito mi nakushauri fanya ivi:-

Siku moja jiandae vizuri ukiwa huna stress pika chakula kizuri mle wote, mkimaliza mkaoge pamoja then mkiingia kulala mweleza kwa upendo na furaha juu ya tatizo lako, usimwambie ukiwa umechukia sema tu kwa maeneno mazuri, ikiwezekana mshauri akuandae kwanza kabla ya kuanza! Tatizo lenu jingine wanawake huwa mnasubili tu mwanamme aanze kukushika au kukufanya maandalizi hata wewe pia unaweza anzisha kwa kumtomasa na kumfanyia mambo flani, eti nyie mna lala tu afu mna lalamika siandaliwi kuwa mtundu na wewe mzungushe kidogo mpaka ujisikie kutoa sio ukivutwa tu ushaachia akati bado hujajisikia Mtalalamika sana badilikeni bana!
 
Sasa ulimpendea nini, manake wasema hajawahi kukushusha kwenye mlimanyege!!!!
 
Najaribu kuilazimisha akili yangu iamini kuwa kweli umeandika sms hii kwa mume wako!
Ulikuwa na approaches nyingi zakutumia kumuelewesha mumeo kuwa hakufikishi pale unapopataka
na hali hii inaonekana alikuwa nayo tangu mmeingia kwenye ndoa kwanini usitumie maneno yenye busara kueleza shida yako
.Umeonesha dharau ya hali ya juu na sijui unapata wap ujasiri wa kuandika hayo mambo hadharani poor you!
 
Back
Top Bottom