Mume wangu haniridhishi kwenye tendo

Mume wangu haniridhishi kwenye tendo

^^
Kama mumeo ni muelewa hatakufanya chochote, kwa utaratibu tu atakuruhusu utimize dhamira yako, maana hiyo si lugha ya mke mwenye nia ya kuboresha penzi lake bali lugha nzuri ya mwanamke aliyekwisha fanya uamuzi wake.
^^
 

Msg kwenda kwa mme wa ndoa au kwa boifurendi?

Moment of silence labda kama unatania!!
 
Msg nzuri sana hii kwa mtu ambaye anataka kuvunja ndoa. Ila kwa mtu anayetaka kurekebisha mapungufu kwenye ndoa yake haifai hata kidogo. Tulia kaa na mume wako umueleze kwa upole na kwa upendo na mshirikiane kutafuta suluhushi pamoja.


Ndoa ilishavunjika siku nyingi. The moment mke au mume anatoka nje ya ndoa na kupata raha sana, halafu hafanyi juhudu kurekebisha mambo ya ndani... basi ndoa inavunja papo hapo! Hii ni kwa sababu atafanya juhudi kuonesha kuwa ndoaa yake si kitu tena mbele ya mchepuko.




Namshauri Tanya akatafute loya wamalize mchezo...kila mtu aingie mtini na fito zake ili akafaidi ngono ya nje...
 
Mmmmh.... Hivi huyo mumeo unampenda kweli?

Mwanamke anaye mpenda mumewe hawezi kumuandikia msg ya dharau kama hiyo...!


Na wewe Neylu bwana,

Utampendaje mtu miaka 4 na yote na huwezi kukaa naye mkaongelea kero za ndoa?

Kwani huoni JMT ambavyo wamefikia mahali pa kuwa na wizara ya kero za muungano?

Kitendo cha kushindwa kuongea na mume wake issue sensitive kama hiyo ni ishara tosha kwamba hii ndoa ni bora liende!
 
Last edited by a moderator:
ukisikia ukahaba ndio kama wewe...nenda tafuta wakumpa hilo nini lako .
 
if i was ur husband, ningekupa very simple reply.
ma.nyoko zako!!
 
we kweli kinabo unatuaibisha wenye ndoa hapa...
wewe km unataka raha muelekeze mumeo nadhan ulianZa kuishi nae bila kuwa na historia nae ..sio wanaume wote wanajua mapenz kama unavyosoma thread/comment zao hapa jf.hakuna kitu ni hali ya kujionyesha tu.


kuwa mwanamke wa kidigitali...
af kumbuka mwanamke -------- huvunja ndoa yake mwenyewe.maneno yako chunga sana usirudi unalia umepigwa talaka
 
Habari wanajamvi,
Mwenzenu nimekaa kwenye ndo kwa miaka minne na nina mtoto mmoja lakini kila siku tendo nalifanya sioni reha yoyote. Siku moja nilijaribu kutoka nje ya ndoa nikapata raha ambayo sijawahi kuipata toka nizaliwe sasa leo tena tumekutana na mume wangu anaingia tu kabla sijaanza kufeel chochote anakuwa ameshamaliza na analala usingizi kabisaaa!!! Mimi nabaki nahangaika kuhesabu boriti.
Kwa kuwa kumueleza nimeshindwa nimeamua kumtumia sms hii; "
Unakera sana jamaa yangu ,kamakazi inakushina si uwaachie wenzio kuliko kutesana usiku kucha kulala macho? We mwanaume gani usiyejua kumridhisha mke wako. KWa hiyo kila sikuutakuwaga learner tu!!! huo ni utahira kama hujui, mimi nimechoka kuachwa njiapanda kila siku na sio mjinga wa kuachwa njiapanda, labda utafute mjinga mwenzio ndo uwe unamuacha njiapanda. Kazi imekushinda jitoe kwenye game waingie wenye uwezo wao. Siwezi kuvumilia kero za aina hiyo maana kero ulizonazo zinanitosha sikupaswa niongezewe na kero za kwenye tendo la ndoa. Mjinga wewe hebu nikatafute wenye uwezo wa kunirishisha wewe umeshashindwa miaka minne yote kapa???"

Je, Niko sahihi kumtumia sms hii??
sijui atabadilika?
Sijui tatizo ni nini?
by mama kado
Mnisaidieni?

We hukumpenda kwa dhati inaonekana ulikubali akuoe kwasababu ya kitu fulani haswa pesa, Naomba kukuuliza Je wakati hamjaoana alikuwa hakuridhishi?
 
ha ha ha, unamaanisha hii ndoa ni null and.void? Hivi 'consumation of marriage', inahusisha kumfikisha mwenza kileleni?

Nahisi kuna ndoa nyingi zina majanya, ila kwa sms hii hamna ndoa hapo.

Mie na TANMO tunachangisha rambirambi.

Na wewe Neylu bwana,

Utampendaje mtu miaka 4 na yote na huwezi kukaa naye mkaongelea kero za ndoa?

Kwani huoni JMT ambavyo wamefikia mahali pa kuwa na wizara ya kero za muungano?

Kitendo cha kushindwa kuongea na mume wake issue sensitive kama hiyo ni ishara tosha kwamba hii ndoa ni bora liende!
 
Last edited by a moderator:
Hayo mambo ya chumbani aibu kuyatoa nje lakini kama vipi mbona kuna wanaume wa barabarani kule Buguruni au Kinondoni wanaweza kuservice????????????????
 
hakuna kusikokuwa namapungufu jaribu kumsumbua kila mara atabadilika
 
Back
Top Bottom