Mume wangu haniridhishi kwenye tendo

Mume wangu haniridhishi kwenye tendo

Umetumia maneno makali sana, kwani ungesema kuwa "Mume wangu huniridhishi wakati wa ku-sex" asingeelewa?

"huo ujumbe wako unatoa tafasri nyingi sana" kwanza ukiingia katika tendo la ndoa kwa hisia au mawazo kuwa hata leo hataniridhisha kweli itakuwa hivyo hivyo!
 
Tupe ripot imekuje baada ya mumeo kuipata hiyo sms.
 
Mmekaa miaka minne! na ulikuwa unavumilia tu, kwani siku ya kwanza alikuridhisha au? wewe utakuwa kahaba aliyekubuhu
 
Haujaishirikisha akili yako vizuri..kama hiyo msg umemtumia..tegemea matatizo zaidi badala ya ufumbuzi
 
ha ha ha, unamaanisha hii ndoa ni null and.void? Hivi 'consumation of marriage', inahusisha kumfikisha mwenza kileleni?

Nahisi kuna ndoa nyingi zina majanya, ila kwa sms hii hamna ndoa hapo.

Mie na TANMO tunachangisha rambirambi.

Unaulizia msiba wakati watu wanakula pilau ya 40?

Hilo jingine tuwaanyie mtwambie...wenzenu tunajiona vidume wakati tunascore number za viatu!
 
Huyo mume au mwanaume tu? mmh wewe pia unatakiwa umsaidie kama kweli unampenda. Kuchepuka siyo dawa utapeleka maradhi tu, zungumzeni kuhusu hilo achana na hiyo msg. Ila hata kama ndoa yenyewe umeichoka ni msg nzuri kwa kuivunja. Kila la kheri mamii.
Samahani kwa swali hivi unaweza kuachana na mumeo kisa hakuridhishi kwenye tendo? ukamfanya mtoto ateseke kwa sababu tu wewe unataka kuridhishwa?
 
kaaaatu huwezi kutuma sms kama hiyo kwa mumeo uliyeishi nae miaka minne ndani ya ndoa!kama wewe ni mtaalamu wa hiyo kitu,si ungetakiwa uwe umemfundisha akawa bingwa mwenzio.hebu wanawake tuache kukariri!ktk mahusiano yeyote kati yenu anaweza kuwa mwalimu wa mwenzio na sio kuja kumuanika hapa mumeo,halafu wote humu tunajua Tanya haridhishwi na mumewe!hakuna aliyezaliwa anajua kufanya hiyo kitu,wote tumejifunza humu duniani,so hakuna cha ajabu ukimfundisha!
 
Fiksi tu hizi...zaidi ninachokiona hapa ni mtu kujitangaza kuwa anakigawa bure kipochi manyoya chake
 
mmmhh, hivi nawe uliolewa kweli?
Maana hata sie wenye vi-boifrend hatuwezi kuwasemesha hivyo.
 
kitu kikubwa kinachomfanya mmeo akose ladha kwako na hata kushindwa kwenda hewani ni pale tu unapokuwa unamboa na hata maneno yasiyo ya mahaba! Hakuna mtu anayeweza kumlazimishwa mume kusimamisha kama yeye hajapenda au hajawa tayari kisaikolojia ndio maana tuna sheria ya mume kubaka na sio kubakwa! Kwa ulivoeleza na kwa sms yako hata angekuwa shetani au pepo la ngono lingeshindwa kusimamisha! pole ila tatzo unalitengeneza mwenyewe kwa maneno ya mhaini wa ndoa!
 
hauna adabu kwa mumeo ndio maana unatuma sms ya dharau kama hiyo
 
Kwa meseji kama hii sijui kama huyo mume wako utambadilisha,
Kwanza haupo romantic, inawezekana we ni mchafu hasa chumbani kwako utakuta kunanuka kabisa etc..... Nenda kwa makungwi na jifunze .. Kama hizi sababu hazipo basi tatizo ni kubwa
 
Leta hoja za maana. Hiyo siyo kweli. unafurahisha watu tu.
 
Eenh! Ndiyo utaratibu gani huo lakini inawezekana hata wewe unamapungufu na ndiyo maana mwenzio akipiga kamoja analala.

umbadilishii nyimbo, jingle zilezile tu.
 
Reduce stress when doing it with your lovely husband,don't think of the above mentioned Guy you will see how sweet it is being with one Guy good luck..
 
kama toka mwanzo ulikua unalijua kwa nn sasa uliruhusu uhusiano huo?
hili ni suala gumu na hii sms sio sahihi hata kidogo kumtumia
Pengine humvutii tena na ndoa yenu imejaa michepuko jitahidini mkae nyie wenyewe mjadiliane kama mkishindwa
ndoa ivunjwe.Halafu nitaomba unitafute na kama inawezekana kunitafuta kabla nipm ni vizuri
 
Back
Top Bottom