Mume wangu haniridhishi kwenye tendo

Mume wangu haniridhishi kwenye tendo

Kitendo cha wewe kutoka nje ya ndoa ndio umeharibu kabisa maana umepata sehemu ya kufanya comparison kama humtaki huyo mwanaume fata taratibu utoke ndani ya hiyo ndoa kwa amani usije kumua baba wa watu kwa maradhi.
Kama humtaki na unamuona wa nini Mungu atampa atakaye mthamini na kumuona anamtia vizuri
 
Sina la ziada wenzangu washamaliza!

Ni bora useme ili tupate takwimu sahihi juu ya nani kasema nini, hatimaye tuweke kwenye %

ili kutoa mkanganyiko unaofanana na "waliotoa maoni kutaka serikali tatu ni asilimia. . . . . . . . .
 
Aisee!Mama hiyo si busara una2ma sms unamuogopa?Huyo c mmeo mweke chini mwambie!Uc2me hyo sms funguka!Michepuko co dili!
 
Hii thread ni ya kutunga!

Mtu wa kukaa kwenye ndoa miaka minne hawezi kutuma au hata ku-compose msg ya aina hiyo
 
hiyo sms haifanani ya mke....
tena mke mwenye busara
mke mwenye upendo na mumewe anayetaka kusolve matatizo hawezi kutuma msg kama changudoa mmoja tu mtaani....

sidhani hata kama umeolewa



Habari wanajamvi,

Mwenzenu nimekaa kwenye ndoa kwa miaka minne na nina mtoto mmoja lakini kila siku tendo nalifanya sioni reha yoyote.

Siku moja nilijaribu kutoka nje ya ndoa nikapata raha ambayo sijawahi kuipata toka nizaliwe sasa leo tena tumekutana na mume wangu anaingia tu kabla sijaanza kufeel chochote anakuwa ameshamaliza na analala usingizi kabisaaa!!!

Mimi nabaki nahangaika kuhesabu boriti.

Kwa kuwa kumueleza nimeshindwa nimeamua kumtumia sms hii; "
Unakera sana jamaa yangu ,kamakazi inakushinda si uwaachie wenzio kuliko kutesana usiku kucha kulala macho?

We mwanaume gani usiyejua kumridhisha mke wako.

Kwahiyo kila siku utakuwaga learner tu!!! huo ni utahira kama hujui, mimi nimechoka kuachwa njiapanda kila siku na sio mjinga wa kuachwa njiapanda, labda utafute mjinga mwenzio ndo uwe unamuacha njiapanda.

Kazi imekushinda jitoe kwenye game waingie wenye uwezo wao.

Siwezi kuvumilia kero za aina hiyo maana kero ulizonazo zinanitosha sikupaswa niongezewe na kero za kwenye tendo la ndoa.

Mjinga wewe hebu nikatafute wenye uwezo wa kunirishisha wewe umeshashindwa miaka minne yote kapa???"

Je, Niko sahihi kumtumia sms hii?
sijui atabadilika?
Sijui tatizo ni nini?
by mama kado
Mnisaidieni?
 
Utamuandikiaje msg kama hio mumeo?nipo in shock mode kwamaana ilibidi nizibe mdomo nikiisoma ulichoandika.Umefundwa wapi we dada?hata kama hakuridhishi kwa msg hio umemuonesha madharau ndio umeharibu zaidi na humsaidii na lolote.Nina hakika ulikuwa unajua udhaifu wake kabla hamjaoana na ukakubali kuolewa ili nawe uolewe ama?aidha ukubali kuishi na matokeo uloyapata na uyatafutie suluhisho au umuache huyo mwanaume usije kumlete maradhi!
 
mmh huyo mwanamke unamaneno makavu kama nini kiukweli uwezi ridhika kwa unavyoonekana mkali... mwanamke jilegeze ulegeee kwepesha mpaka uone uko tayari ndo iingie .... mwanamke unamaneno machungu hayana upako wa ndoa
 
ha ha ha, unamaanisha hii ndoa ni null and.void? Hivi 'consumation of marriage', inahusisha kumfikisha mwenza kileleni?

Nahisi kuna ndoa nyingi zina majanya, ila kwa sms hii hamna ndoa hapo.

Mie na TANMO tunachangisha rambirambi.

Kongosho consumation of marriage haina uhusiano na kufika kileleni isipokuwa ni tendo la kuingiliana.
Ila Tanya badala ya kuandika sms yeye katuma waraka kabisa kuonyesha msisitizo wa anachomaanisha. Nashangaa anakuja kuomba ushauri tena hapa jamvini. I doubt kama aliye post hii so called sms ndiye haswa mwandishi.
 
Last edited by a moderator:
weeeeeee huna akili mume wako unamtumia sms kama hiii...

kipondo halali yako mamy....

ishu ya kukaa chini na kuongea nae unashindwa huo uzinzi wa mchepuko wa nje ndo unakusumbua.....

ndoa sio lelemama kiivyo rudi kwenu ukafundishwe kauli za kuongea na mume
 
kwanza anamfanya huyo jamaa azidi kukosa kujiamini maana kila atakalo kuwa analifanya atakuwa na wasiwasi kama je anamridhisha mkewe yeye hata enjoy tendo aende zake huko asimtese baba wa watu
 
Utamuandikiaje msg kama hio mumeo?nipo in shock mode kwamaana ilibidi nizibe mdomo nikiisoma ulichoandika.Umefundwa wapi we dada?hata kama hakuridhishi kwa msg hio umemuonesha madharau ndio umeharibu zaidi na humsaidii na lolote.Nina hakika ulikuwa unajua udhaifu wake kabla hamjaoana na ukakubali kuolewa ili nawe uolewe ama?aidha ukubali kuishi na matokeo uloyapata na uyatafutie suluhisho au umuache huyo mwanaume usije kumlete maradhi!

shangaaa na wewe jaman...nimechukia sana hiii ni dharau kubwa sana kwa mumewe wa ndoa jaman...kalelewa kivipi ishu ya kutoshelezana ni ufundi na pia ajiangalia mwenyewe na mazingira ya kazi ya mumewe kama ana mawazo na stress jaman....

kabla hawajaoan hakujua hili????mbona wamezaaa huo mchepuko wake ndo sababu ya haya yote...ndoa sio kuvaa gauni lile tuu tuu
 
Hii habari imepikwa kama ni kweli dada unahitajikuomba hekima ya Mungu sana maana hata mkiachana si lazima muachane kwa kufedhehshana
 
kwa upeo wangu mdogo wewe si mke mstaarabu hata kidogo,:der: japo kua sina uzoefu wa ndoa,siwezi msemesha mwanaume wangu maneno hayo hata kama haniridhishi.
mf. nilikuwaga na bf ambaye alikua hawezi niridhisha na kulikuwa na wanaume ambao najua naweza toka nao wakanifikiaha as michepuko but niliamua mwambia wazi nataka unifanye hivi na hivi na hivi and i wanna feel satisfied, he learned to do it and akawa anahakikisha nimeridhika ndiyo yy atakua huru ku`enjoy then afike yeye wa mwisho.

kuwa kama mtu aliye mature mama, btw hyo meseji imekaa kimchepuko kabisa as you are.:shock:
 
weeeeeee huna akili mume wako unamtumia sms kama hiii...

kipondo halali yako mamy....

ishu ya kukaa chini na kuongea nae unashindwa huo uzinzi wa mchepuko wa nje ndo unakusumbua.....

ndoa sio lelemama kiivyo rudi kwenu ukafundishwe kauli za kuongea na mume

mchane huyo.. kaniboa yaani
 
Mie sikushauri umwandikie hiyo sms, kama ni mumeo kweli na unampenda nakushauri uongee nae na umweleze ukweli huku ukimaanisha na sio kumtumia hiyo text message kali kiasi hicho, mpaka mmeoana hukuona hilo tatizo hapo mwanzo? Hilo tatizo la kutokufikisha kileleni limeanza hivi karibuni au since mkiwa wapenzi? Na kama ni tangu muda mrefu ulishawahi kumweleza? Alikujibu nini? Na kama limeanza hivi karibuni nini tatizo? Siku zote fikiria sana kabla ya kutenda, labda tatizo ni wewe huna maandalizi mazuri, hujitumi ipasavyo ndio maana anakupiga bao analala zake, siku zote kabla ya kumhukumu mwenzi wako jitazame kwanza, mapungufu yako na mazuri yako then umhukumu mwenzi wako. Ushauri mzuri ni kuwa ongea na mpenzi wako, usimfiche chochote na umwambie kama anaona mapungufu kwako ili wote mrekebishe.
 
hiyo sms haifanani ya mke....
tena mke mwenye busara
mke mwenye upendo na mumewe anayetaka kusolve matatizo hawezi kutuma msg kama changudoa mmoja tu mtaani....

sidhani hata kama umeolewa

BT nianze na kirefu cha sms( Short message services). Sasa Tanya katuma waraka tena wenye maneno makali sana kama wewe -----,nk!! Sitaki kabisa kuamini kuwa mwanamke ambaye haridhishiwi kitandani hukosa busara hata chembe!!

Ukisom hiyo sms vizuri anadai nimevumilia kero nyingi lakini hata hii!! Ina maana kwamba ktk ndoa hii kuna tatizo,kama ndiyo basi huyo mume anafanya tu kutimiza jukumu lake na si kukuridhisha. Kwa sababu tendo hili lunahusisha ubongo ambao sasa una msongo wa mawazo na matatizo kibao.

Siku zote unaponyoosha kidole kimoja kwa mwenzako,kuna vinne vinakuelekea wewe. Je, ulishawahi kukaa chini na kujiuliza kama wewe una mchango ktk tatizo hili? Kama ndiyo,umechukua hatua gani kujirekebisha?

Ndoa si kuridhishana kitandani pekee yake tu. Nahisi wewe hujaolewa maana kama ulifuata taratibu zote. Kanisani hivi vitu vinafundishwa.

Tanya kama wewe unadhani hilo lako ni tatizo kubwa. Hebu fikiria mwanamke ambaye ana mume mwenye kisukari ambaye hata kusimamisha hawezi. Au mke mwenye mume ambaye amepooza mwili wake au ana matatizo ya akili. Je ungekuwa wewe ungefanyaje?? Miaka minne ni midogo sana kuanza kuanika ushuuzi wako kwenye mitandao. Huna Matron wako wewe? Huna wazazi kuwashirikisha hili jambo?

Kuna msemo wa kizungu, (naomba niutafsfiri)'Usianike nguo zako chafu za ndani hadharani.'

Rejea kitabu kikuu kama wewe ni Mkristo. 'Mwanamke______huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.'
Kila la kheri katika maisha mapya na michepuko yako.
 
Kwanza kama umeshamtumia that msg huna haja tena ya kuomba ushauri na unatulazimisha tukushauri only on two angles whether ur ryt or wrong. ....honestly umekosea kupitiliza mambo ya unyumba yanahitaji mkae chini mzungumze kwa busara na upendo mwambie wapi anakosea naye akueleze yako then mtasolve na maisha Yataendelea. ...kama kweli unamuheshimu uyo mumeo hebu ukae nae chini umwombe msamaha kwa hiyo msg chafu ulomtumia.
 
Kitendo cha wewe kutoka nje ya ndoa ndio umeharibu kabisa maana umepata sehemu ya kufanya comparison kama humtaki huyo mwanaume fata taratibu utoke ndani ya hiyo ndoa kwa amani usije kumua baba wa watu kwa maradhi.
Kama humtaki na unamuona wa nini Mungu atampa atakaye mthamini na kumuona anamtia vizuri

Mungu akubariki kwa Hekima Nzuri ulizotumia kumjibu...Jibu zuri I like it.
 
Back
Top Bottom