Mume wangu haniridhishi kwenye tendo

Mume wangu haniridhishi kwenye tendo

Ulete feedback Tanya tafadhali sana
 
Last edited by a moderator:
.........daaah!! ungekuwa ndo mke wangu kwa meseji hiyo lazima ungeita ndugu zako waje na kimfuko kidogo cha kuokotea meno yako yote ya barazani na ufizi. Hivi huyo mume wako ni kipofu au alisakiziwa kukuoa?
 
jaribu huku kama mumeo hakuridhishi.ila uwe mwangalifu ngwasuma nje nje kumbuka kwanza ni dhambi pili magonjwa hasa Ngwasuma ndo tishio.ushauri wangu tulia na wako we aya we.
 
mmh kwa msg hii ndo umemmaliza kabsaaa
pole mume wa Tanya
 
Last edited by a moderator:
Habari wanajamvi,

Mwenzenu nimekaa kwenye ndoa kwa miaka minne na nina mtoto mmoja lakini kila siku tendo nalifanya sioni reha yoyote.

Siku moja nilijaribu kutoka nje ya ndoa nikapata raha ambayo sijawahi kuipata toka nizaliwe sasa leo tena tumekutana na mume wangu anaingia tu kabla sijaanza kufeel chochote anakuwa ameshamaliza na analala usingizi kabisaaa!!!

Mimi nabaki nahangaika kuhesabu boriti.

Kwa kuwa kumueleza nimeshindwa nimeamua kumtumia sms hii; "
Unakera sana jamaa yangu ,kamakazi inakushinda si uwaachie wenzio kuliko kutesana usiku kucha kulala macho?

We mwanaume gani usiyejua kumridhisha mke wako.

Kwahiyo kila siku utakuwaga learner tu!!! huo ni utahira kama hujui, mimi nimechoka kuachwa njiapanda kila siku na sio mjinga wa kuachwa njiapanda, labda utafute mjinga mwenzio ndo uwe unamuacha njiapanda.

Kazi imekushinda jitoe kwenye game waingie wenye uwezo wao.

Siwezi kuvumilia kero za aina hiyo maana kero ulizonazo zinanitosha sikupaswa niongezewe na kero za kwenye tendo la ndoa.

Mjinga wewe hebu nikatafute wenye uwezo wa kunirishisha wewe umeshashindwa miaka minne yote kapa???"

Je, Niko sahihi kumtumia sms hii?
sijui atabadilika?
Sijui tatizo ni nini?
by mama kado
Mnisaidieni?
Naona hii sms itakusaidia kuachika haraka sana,kama umeishaituma ndo basi tena,kama bado
nakushauri usiitume bali umwabie kuwa hakufikishi ili ajitahidi.ila kama ndo umeishaamua kuondoka,
safari njema.
 
E00D.png
subiri kipondo akishaipata Sms hiyo utanikuta Sewahaji Nakusubiri.


Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Yaan Wewe mtu mzima umeshindwa kukaa naye mwenzio chin hata usku Wa manane hlf taratibuuu ukamweleza ukwee asiwahi kutabawari au inamfumbia tu heshma mtoto Wa mwke mwenzio???? Jifunze adabu...toka nAe out cku moko mwambie live atumie muda kwanza kujiandaa, kukuandaa Na baadae aanze Tendo kwakuvaa kondom kupunguza friction had atakapokufkisha Acha umalaya mtoto Wa kike.
 
haya mambo ya kutokuridhishwa uliyajua toka mwanzo, au baada ya kuchepuka? umeolewa, miaka minne imepita na mtoto mmezaa halafu ndio huoni raha ya tendo!!!!

ndio maana mnaambiwa michepuko noma. Ona sasa umeenda kukutana na mambo ambayo hujawahi kuyaona njia kuu
 
Inaonekana mwanaume wako anakazi nyingi sana zinazompelekea kushindwa kupiga ---- 2 ama ---- 3.
Jaribu kuliongelea tatizo hilo.
---- 1 huwa ni kwa afya na ---- 2 na kuendelea ni mazoezi...yeye anaitaji afya we unataka zoezi....hapo sasa!!!😨

Sent from Samsung Note III using Tapatalk
 
Back
Top Bottom