google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,667
- 13,874
kama ndio sms unayolenga kumtumia au umemtumia hivyo basi wewe ndio tahahira kabisa, kwa sababu ukituma sms kama hii lengo lnakuwa ni kuachana wala sio kutaka abadilike, kwa kweli hufai hata kuolewa tena mshukuru Mungu kwa huyo mume anayeweza kuoa mke wa aina yako. labda ndio sababu upatichochote na unaachwa kuhesabu gharama za kupaua, kaa na mtu vizuri na mueleze tatizo lake ili uwe na utatuzi sahihi,
ila wewe mwanamke kichwa maji.....
ila wewe mwanamke kichwa maji.....