Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,547
- 7,402
Hebu ni PM namba yako ya simu ya mkononi tumkomeshe na kumshikisha adabu
Kweli nazidi kuamini wewe NI DADA DU.
Hebu ni PM namba yako ya simu ya mkononi tumkomeshe na kumshikisha adabu
Habari wanajamvi,
Mwenzenu nimekaa kwenye ndo kwa miaka minne na nina mtoto mmoja lakini kila siku tendo nalifanya sioni reha yoyote. Siku moja nilijaribu kutoka nje ya ndoa nikapata raha ambayo sijawahi kuipata toka nizaliwe sasa leo tena tumekutana na mume wangu anaingia tu kabla sijaanza kufeel chochote anakuwa ameshamaliza na analala usingizi kabisaaa!!! Mimi nabaki nahangaika kuhesabu boriti.
Kwa kuwa kumueleza nimeshindwa nimeamua kumtumia sms hii; "
Unakera sana jamaa yangu ,kamakazi inakushina si uwaachie wenzio kuliko kutesana usiku kucha kulala macho? We mwanaume gani usiyejua kumridhisha mke wako. KWa hiyo kila sikuutakuwaga learner tu!!! huo ni utahira kama hujui, mimi nimechoka kuachwa njiapanda kila siku na sio mjinga wa kuachwa njiapanda, labda utafute mjinga mwenzio ndo uwe unamuacha njiapanda. Kazi imekushinda jitoe kwenye game waingie wenye uwezo wao. Siwezi kuvumilia kero za aina hiyo maana kero ulizonazo zinanitosha sikupaswa niongezewe na kero za kwenye tendo la ndoa. Mjinga wewe hebu nikatafute wenye uwezo wa kunirishisha wewe umeshashindwa miaka minne yote kapa???"
Je, Niko sahihi kumtumia sms hii??
sijui atabadilika?
Sijui tatizo ni nini?
by mama kado
Mnisaidieni?
Habari wanajamvi,
Mwenzenu nimekaa kwenye ndoa kwa miaka minne na nina mtoto mmoja lakini kila siku tendo nalifanya sioni reha yoyote.
Siku moja nilijaribu kutoka nje ya ndoa nikapata raha ambayo sijawahi kuipata toka nizaliwe sasa leo tena tumekutana na mume wangu anaingia tu kabla sijaanza kufeel chochote anakuwa ameshamaliza na analala usingizi kabisaaa!!!
Mimi nabaki nahangaika kuhesabu boriti.
Kwa kuwa kumueleza nimeshindwa nimeamua kumtumia sms hii; "
Unakera sana jamaa yangu ,kamakazi inakushinda si uwaachie wenzio kuliko kutesana usiku kucha kulala macho?
We mwanaume gani usiyejua kumridhisha mke wako.
Kwahiyo kila siku utakuwaga learner tu!!! huo ni utahira kama hujui, mimi nimechoka kuachwa njiapanda kila siku na sio mjinga wa kuachwa njiapanda, labda utafute mjinga mwenzio ndo uwe unamuacha njiapanda.
Kazi imekushinda jitoe kwenye game waingie wenye uwezo wao.
Siwezi kuvumilia kero za aina hiyo maana kero ulizonazo zinanitosha sikupaswa niongezewe na kero za kwenye tendo la ndoa.
Mjinga wewe hebu nikatafute wenye uwezo wa kunirishisha wewe umeshashindwa miaka minne yote kapa???"
Je, Niko sahihi kumtumia sms hii?
sijui atabadilika?
Sijui tatizo ni nini?
by mama kado
Mnisaidieni?
Reduce stress when doing it with your lovely husband,don't think of the above mentioned Guy you will see how sweet it is being with one Guy good luck..
Huyu jamaa, atajuta kuoa kahaba mzoefu.ujumbe gani wa kumtumia mume, na kwanini amtumie ujumbe wakati wanaonana kila siku.wewe kwa sms hiyo inaonyesha umezoea kuchepuka, hauko sasa hata robo kutuma hiyo msg, hizo ni akili za kikahaba, huwezi mtumia mumeo msg kama hiyo...kitu kingine ambacho husababisha mumeo kuishiwa ladha ya tendo ni k kubwa, tena yenye maji lukuki...anyway karibu chemba nikutatulie tatizo lako