Mume wangu haniridhishi ktk tendo la ndoa.

Naomba nikuambie kuwa; umepotoka kabisaaa. Kwanza jua kuwa una mume mzuri na mwaminifu mno, ila weye ndio umeyakumbuka makinikia ya zamani unaanza kutafuta kuya hallallisha. Hebu fikiri, miaka 4 toto 2 ulitaka ziwe toto 10 ndo ujue kuwa mumeo hachojolei nje?? Wewe mama, unafika mahali ati unawasikilizia wenzio chumba cha pili ati analiaga?? Wekelea yako pilipili ikuwashe ulie ka huyo. Siachi kukuambia kuwa; Umepotoka.
Tulia na huyu mumeo, toroka uende huko kama huwathamini wanao. Lakini, utakapojikuta barabarani usiache kutuambia. Wanawake wenzio hujichuwa kwa maji moto ili asiende mtaroni.
 
Wanawake huwa siwaelewi kabisa huwa wanataka nini utakuta kuna siku kadhaa alishakuwa anambania bania mumewe na asikuambie mtu ukinyimwa ndani ukajaribu nje wala hunyimwi na hali ikiendelea utamu wa mke huisha yaani hata ukikamua unaona kama hufanyi kitu
Wachepukaji kwa vizingizio tu hamjambo.
 
Ww uko kwenye ndoa? Mburula hapa hayupo ni bora unyamaze uhitaji matusi. Hiyo msg yako haina uhalisia ktk group za WhatsApp hizo zipo sana.

Ndugu km Upo ktk ndoa ww ongea uhalisia.
Sole kwa kutumia neno hilo ila wanawake wengi mkiisha zaa huwa mnasahau kuwa mmeolewa

Hata mwanaume akichepuka mwingine humaliza hata mwaka bila kumgundua kwa sababu ya kutojali kwake

Inaweza kuwa uliweka mwenyewe mlango na sasa unakutesa,

Jambo kubwa dada yangu usishughulike bila kujua mmeo kwa nn anatoka nje ya ndoa

Kama kuna wakati hukuwa nae kimapenzi au ulikuwa unamnyima au unalea kwa kumnyima mmeo mkae muongee hadharani mwambie ABC yake

Shida mi nashangaa mahwala wanaweza kuambiana mi unaniboa hapa wakafundishana lakini kwenye ndoa cjui kuna mapepo gani watu hawawi wawazii kwa wenzi wako

Najaribu kufikiria mwanaume kuwa na hawala mpaka mkeo mfikie kiasi hicho ni kazi kweli

La mwisho mdadisi mmeo ujue ABC ndo ujue uanzie wapi,ongea nae maneno mazuri ya mahaba onesha kuwa unmjali

Maongezi yako kwa Mme kwanza usiingize point ya kuwa anawapenzi nje no ongelea focus yake kwa Watoto familia yake baadae na wewe jiweke mwisho ili ujue huyo jamaa anawaza nn moyoni mwaka juu yako na familia

Hapo ndo utajua uanzie wapi ,inaweza kuvunja kiuno kumbe moyoni mwake limo jambo linaloondoa hamu ndani yake

Thanx mamiie mapenzi yakiwa murua urudi na zawadi basi tufurahi wote
Huku kuna wakwe zako

Huyo jirani anapiga kelele za aina gani
 
Mimi ninaamini ukiweza kuurudisha ule ukaribu wenu wa mwanzo hata kwa 65% utajua mapungufu alioyaona kwako maana utamuuliza kwa hekma na atakwambia.Nyumbani ni mbingu ndogo ya wanaume na wewe Jitahidi kwa akili na imani kupabadili hapo nyumbani pawe mbingu ya mmeo.Fikiria kwa hekma yako yote.

kwahyo upungufu daily ni kwa wanawake eh et eh?? bas sawa nyie majemadari hamnaga mapungufu:cool:
 
0d85674b306cd3ca0444d4ae1a1905ee.jpg

Habari zenu wadau wa humu tena, ninalileta hili ili tu nipate ushauri, nijifunze si nia mbaya hasa kwa wale ambao mko ktk ndoa mke/mme naomba ushauri wako si kejeli, ukinitukana sidhani km utakuwa umenisaidia kwa kweli maana ni bora mm ninaitaji kujua kuliko wale waliokaa na kulalama mitaani.

Mm niko ktk ndoa kwa miaka minne tuna watoto wawili, nimegundua mume wangu anachepuka kwa siri kiasi kutojali hisia zangu kabisa, pamoja na mapito mengi na kuamua kusamehe na kusimama km mke hiki kitu mm kinanikwaza sana na naumia sanasana maana najiuliza nn nimeshindwa kumfanyia, mm ni mwanamke ambae si mpofu kitandani najitaidi kumpa kadri niwezavyo ila nashangaa mwenzangu anashindwa kujali na kuheshimu ndoa yake. Naweza kukaa miezi miwili tunalala mtu akitoka job kwa malaya, mara kichwa kule tunalala mzungu wa nne! Visa jamani, ni tabia ambazo akishaanza kuchepuka amebadirika. Siku akiamua kukushika akishamaliza yy ww huku bado hajali nabaki na hamu naumia sana moyoni.

Mm sidhani km mwanaume akitembea nje km anaweza kumridhisha mkwe, jamani mm ni mwanamke naejiheshimu na nina hisia zangu, nifanyaje? Maana namwambia lakini anakataa na hata umwitie yoyote huwa hakubali!

Najiuliza hivi mtu unawezaje kuishi na mwanamke mkeo ukajisahau kiasi unamletea dharau ukishaonja nje ndoa una maana gani, maana huwa nasikiliza jirani akipiga kelele najiuliza nimelala na mwanaume kweli! Naomba ushauri wako.
Unaumwa wewe siyo bure..!

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
Naomba nikuambie kuwa; umepotoka kabisaaa. Kwanza jua kuwa una mume mzuri na mwaminifu mno, ila weye ndio umeyakumbuka makinikia ya zamani unaanza kutafuta kuya hallallisha. Hebu fikiri, miaka 4 toto 2 ulitaka ziwe toto 10 ndo ujue kuwa mumeo hachojolei nje?? Wewe mama, unafika mahali ati unawasikilizia wenzio chumba cha pili ati analiaga?? Wekelea yako pilipili ikuwashe ulie ka huyo. Siachi kukuambia kuwa; Umepotoka.
Tulia na huyu mumeo, toroka uende huko kama huwathamini wanao. Lakini, utakapojikuta barabarani usiache kutuambia. Wanawake wenzio hujichuwa kwa maji moto ili asiende mtaroni.
Duuuuh!!!!!
 
jiangalie kwanza wewe mwenyewe hisia za mapenzi zinahama kwa sababu nyingi sana!inawezekana wewe ni mkali sana,una maneno sana,humpi nafasi kama kichwa cha nyumba,unadiscourage ndoto zake labda kwa woga wako,inawezekana hata akirudi kazini hata pole na kazi huijui kwake wewe upo upo tuu na watoto wako!!hisia zikihama mtatafuta wachawi bure wanaume sisi ni delicate kweli na michepuko ikisha jua ni mme wa mtu ananyenye kea sana !kitandani maufundi kibao wakati wewe hata utikisiki na sura ngumuu kwa hisia kuwa mumeo kachepuka shauri yako ndoa inakushinda hiyo mama jiangalie!!!
 
Msome idd makenga insta na tafuta kitabu chake cha ndoa yangu furaha yangu...kitakusaidia
 
Naomba nikuambie kuwa; umepotoka kabisaaa. Kwanza jua kuwa una mume mzuri na mwaminifu mno, ila weye ndio umeyakumbuka makinikia ya zamani unaanza kutafuta kuya hallallisha. Hebu fikiri, miaka 4 toto 2 ulitaka ziwe toto 10 ndo ujue kuwa mumeo hachojolei nje?? Wewe mama, unafika mahali ati unawasikilizia wenzio chumba cha pili ati analiaga?? Wekelea yako pilipili ikuwashe ulie ka huyo. Siachi kukuambia kuwa; Umepotoka.
Tulia na huyu mumeo, toroka uende huko kama huwathamini wanao. Lakini, utakapojikuta barabarani usiache kutuambia. Wanawake wenzio hujichuwa kwa maji moto ili asiende mtaroni.

umeogeneralise mno mkuu mie sijawah jichua aic kisa cha kujibabua ?????????????????????????????????????????????????
 
umeogeneralise mno mkuu mie sijawah jichua aic kisa cha kujibabua ?????????????????????????????????????????????????

Basi umekatwa kimeo. Kwetu tunasema, mwanamke akikatwa kimeo hutulia sana japo nyiye wa leo mmedanganywa ati ni hatari unapojifungua. Mbona tangu enzi hizo walikatwa vimeo na hakukuwa na hospitali lakini death rate ilikuwa ndogo mno?
 
Back
Top Bottom