Mume wangu haniridhishi ktk tendo la ndoa.

Mume wangu haniridhishi ktk tendo la ndoa.

Lile ulilolileta kipindi kile lilipungua?
Ushauri
Usipende kulalamika sana una judgement za one side hata na wewe una ya kwako ila tatizo unajiona umekamilika
 
Daah yaani wengine tungewapata wanawake kama ww tungetulia lakini jamaa anakuchezea kiasi hicho[emoji22][emoji22] ila jaribu kumueleza mama yake kama yupo anaweza kumsisitiza akaongea nae
 
Wadau napitia mengi, lakini ili ndoa istawi hili jambo lazima maana liko ndani yetu. Namridhisha kitandani mume wangu ili watoto wangu wamuone baba yao kila siku asije kudhibitiwa na michepuko. Pia tuweze kujenga maana watoto wanatutegemea sisi. Kiukweli nimeona watu wengi wakiacha familia zinateseka sababu ya michepuko watoto wanateseka
Daaaah Una upendo wa kweli sana bibie, Ila sijui tu wanaume huwa tunabweteka na nini, inaumiza Ila amini tu ipo day akili ikikaa sawa atatulia tu.
 
Yuko vizuri mapungufu yapo sawa, pindi anapoanza tu hali chakula, hakai ndani ile mipaka tulioekeana anavunja na kibaya hadi simu atapokea akiwa ndani
Kikubwa jiangalie upande wako ujisahihishe kila kona lugha,,unavyomchukulia,,mazingira,,msosi mzuri..na mawasiliano baina yenu yawepo na yawe chanya..na yawe yana lengo la kurudisha ukaribu na kusahihisha palipokuwa na shida.
 
Wanawake mna umwezo mkubwa sana wakutufanya wanaume tufike kileleni kwa kuchelewa ama kwa kuwahi...Hii ikimaanisha unaweza uka-play part yako kama mwanamke vizuri kama una utundu huo lakini mpka pale utakapo ona umerithika ndo na yeye amalize....So labda na wewe umepwaya kwenye nafasi yako...
Ananifikisha, Mfano tumekaa wiki tatu alafu unakuja unanifanya ww unatakiwa mm bado nategemea tutarudia hakuna hata wiki tatu, jamani! Ni sawa? Wapi mwenzangu anamalizia? Unakuta mm ndio Nateseka
 
Kama hajakutegeshea ile dawa ya kunasana karibu nikupokee na kukulindia moyo wako
 
Angalia huenda tatizo limeanzia kwako na ndo chanzo cha yote pia umefanya bidii gani kulitatua hilo tatizo?
 
Sijisifu ila najitaidi sana.
Kama unajitaidi nje anafata nn nyie wanawake mburula kweli mkizaa kwani huwa mnatujali acha umbea Dada,mwanaume hawezi kwenda nje kama anaridhika

Maumbile yako yanaweza kuwa either umeharibiwa zamani na mapenzi wako mwenzako dhahabu anayotaka yamebaki makinia tu hiyo ni shida nyingine

Kwa wanawake plz kuleni bats,badilisheni wanaume,leo huyu kesho yule"ndoa zitawasumbua tu kama dada huyu anayelalama humu

Unakuta mtu ukiingia hamna limit stand kiuno hakuna atakayempenda mke ambaye mwanaume anapwaya

Wengine wanalalamika eti waume zao vibamia angalieni mlikopitia maumbile yenu yamecopy ma ex wako sasa ndoa ni vituko tu haiendi

Dada ukitaka nikudadavue njoo pm yangu maana inaweza kulaumu kumbe wewe ndo si mtamu
 
0d85674b306cd3ca0444d4ae1a1905ee.jpg


Habari zenu wadau wa humu tena, ninalileta hili ili tu nipate ushauri, nijifunze si nia mbaya hasa kwa wale ambao mko ktk ndoa mke/mme naomba ushauri wako si kejeli, ukinitukana sidhani km utakuwa umenisaidia kwa kweli maana ni bora mm ninaitaji kujua kuliko wale waliokaa na kulalama mitaani.

Mm niko ktk ndoa kwa miaka minne tuna watoto wawili, nimegundua mume wangu anachepuka kwa siri kiasi kutojali hisia zangu kabisa, pamoja na mapito mengi na kuamua kusamehe na kusimama km mke hiki kitu mm kinanikwaza sana na naumia sanasana maana najiuliza nn nimeshindwa kumfanyia, mm ni mwanamke ambae si mpofu kitandani najitaidi kumpa kadri niwezavyo ila nashangaa mwenzangu anashindwa kujali na kuheshimu ndoa yake. Naweza kukaa miezi miwili tunalala mtu akitoka job kwa malaya, mara kichwa kule tunalala mzungu wa nne! Visa jamani, ni tabia ambazo akishaanza kuchepuka amebadirika. Siku akiamua kukushika akishamaliza yy ww huku bado hajali nabaki na hamu naumia sana moyoni.

Mm sidhani km mwanaume akitembea nje km anaweza kumridhisha mkwe, jamani mm ni mwanamke naejiheshimu na nina hisia zangu, nifanyaje? Maana namwambia lakini anakataa na hata umwitie yoyote huwa hakubali!

Najiuliza hivi mtu unawezaje kuishi na mwanamke mkeo ukajisahau kiasi unamletea dharau ukishaonja nje ndoa una maana gani, maana huwa nasikiliza jirani akipiga kelele najiuliza nimelala na mwanaume kweli! Naomba ushauri wako.
Ukiona huridhiki, ujue kuwa lile limbwata ulilomfanyia, limeanza kukolea.
 
Lile ulilolileta kipindi kile lilipungua?
Ushauri
Usipende kulalamika sana una judgement za one side hata na wewe una ya kwako ila tatizo unajiona umekamilika
Ukimaliza, ili linakuja pia. Pia km umesoma vizuri mm silalamiki naulizia jambo la msingi km ww mwana ndoa madhani unaweza kuona tatizo. Mm huwa sijui uongo sababu siku hadi siku ni mume wangu lazima nijue jinsi ya kupigana na changamoto zangu. Ushauri wako naomba
 
*Pole Kama anachepuka halafu hakuridhishi embu jiundie tume uangalie umeteleza wadi? *
 
Kikubwa jiangalie upande wako ujisahihishe kila kona lugha,,unavyomchukulia,,mazingira,,msosi mzuri..na mawasiliano baina yenu yawepo na yawe chanya..na yawe yana lengo la kurudisha ukaribu na kusahihisha palipokuwa na shida.
Kabla sijaleta humu huwa najichunguza na pia naweza kusema niña mapungufu lakini km niña shida naona niongee ili nijifunze nijikosoe pia, lazima kuongea ktk ukweli au mawazo ya wengi naamini sokoni pa kujisahihisha
 
Inategemea na kipimo unachotumia kujitahidi, labda wenzio wanajitshidi zaidi. Sio kitandani tu, angalia ulimi wako, mapishi, usafi nk. Au historia ya kukutana kwenu. Nani alisababisha mpaka ninyi kuwa mke na mume. Hukumpora kwa mtu!!!
Sikumpora umeanza chini sana
 
Back
Top Bottom