samahani kwa swali hili, kabila gani? Labda tutakupa maujanja ya kumfanya mumeo.Habari wapendwa,
Mimi ni mwanamke nilieolewa miaka 17 iliyopita, na tumajaaliwa kupata watoto 3 mkubwa kwa sasa yupo kidato cha nne, lakini kwa muda wote huo nilioishi na mume wangu hakuwahi kuhudumia familia kwa chakula wala chochote ndni kama Baba, pesa yake ni kusoma tu.
Mimi nilikua nafanya kazi binafsi (stationery) kwa sasa nimefungua kijibiashara cha kukidhi mahitaji ya familia, kibaya zaidi toka nimeanza kuishi nae ndugu zake wanapishana kukaa na huduma zote ni mimi mwenyewe.
Hata sasa kuna ndugu zake wanne ndani na wote ni tegemezi kwangu.
Nishaurini wapendwa niendelee ama nihame, maana habadiliki...
hana kazi kiongoziHahahaha maana hana kazi.
Mambo hayo yamepitwa na wakati na yanarudisha nyuma maendeleo. Dunia ya sasa ni ya kuambiana ukweli sasa anasoma nini mpaka leo? Kama umeolewa miaka 17 iliyopita huko kusoma huyo mumeo basi angekuwa kamaliza hata Phd. Kifupi, hao ndugu wengine zaidi wa watoto wenu wanatakiwa kuondoka hapo. Wanaweza kuja kutembea kama wageni kwa siku chache siyo kuweka KAMBI. Na mume wako mueleze achukue majukumu kama mwanaume!Habari wapendwa,
Mimi ni mwanamke nilieolewa miaka 17 iliyopita, na tumajaaliwa kupata watoto 3 mkubwa kwa sasa yupo kidato cha nne, lakini kwa muda wote huo nilioishi na mume wangu hakuwahi kuhudumia familia kwa chakula wala chochote ndni kama Baba, pesa yake ni kusoma tu.
Mimi nilikua nafanya kazi binafsi (stationery) kwa sasa nimefungua kijibiashara cha kukidhi mahitaji ya familia, kibaya zaidi toka nimeanza kuishi nae ndugu zake wanapishana kukaa na huduma zote ni mimi mwenyewe.
Hata sasa kuna ndugu zake wanne ndani na wote ni tegemezi kwangu.
Nishaurini wapendwa niendelee ama nihame, maana habadiliki...
Acha kauli chafu kama huwez kuchangia nyamaza wenye kumshaur wamshaur, yan unavyojieleza hapa unaonesha personel yako ilivyo, kama ni me utakayemuoa kapata mzigo, kama ni ke, bas jiandae kuisikia ndoa kwa jiranPeleka upuuzi wako Huko..... Mimi ni mwanaume wa kimangi, unataka yanikute yapi??? Ninajua kuwa sio wote wenye uwezo wa kubeba majukumu ya kifamilia ila ni vyema kuongea na mwenzio katika lugha ya kujenga. Tumeona Wengi waliokuwa na Hali Kama ya mumeo na walipoongea na wenzao kwa hekima Hali ilibadilika. Wewe mjinga inaelekea unaongea na mumeo kwa lugha za ultimatums..... Eti: "au niondoke" sasa hiyo ni lugha ya anayetaka ushauri. Bwege wewe???
Wewe ni p**%#€£¥bu la mwisho kabisaaaaa.Acha kauli chafu kama huwez kuchangia nyamaza wenye kumshaur wamshaur, yan unavyojieleza hapa unaonesha personel yako ilivyo, kama ni me utakayemuoa kapata mzigo, kama ni ke, bas jiandae kuisikia ndoa kwa jiran