Mume wangu hahudumii familia

Mume wangu hahudumii familia

2001-2004 five na six
2005-2010 diploma ? diploma gani miaka sita au kawa bashite?
2011-infinite cpa?
unadanganywa mwenzangu
Ww kwa rekodi za nyuzi zako ninazozijua ulizowahi kuzipost hapa... HUJAOLEWA.... Sasa mdanganye wenzako ili Muwe madungayembe Wengi mtaani....
 
Sio rahisi kuamini unachosema.Miaka 17 ! Sema alikuwa anatoa lakini vyeti feki vimemtoa sasa unapata shida. Lakini kama ni kweli, (kweli kabisa) unavyosema, fanya yafuatayo na asipokubaliana nayo utafute chumba uhame.

1. Andika kwa umakini na kwa heshima ukweli kwamba hatunzi familia yake ilhali mume lazima atunze familia. Mwambie anachofanya hata Mungu hapendi na sasa wewe umefika mwisho. Mweleze kabisa kwamba wajibu wake wa kwanza ni kwa familia yake na sio kwa ndugu. Andika hata karatasi 3 au nne, na kama unaweza kuchapa kwenye computer ni vema zaidi.

2.Mwite akiwa peke yake umwambie kuna mambo mazito sana unataka kumwambia lakini umeona kusema kwa mdomo utashindwa kusema na huenda jamaa zake wakasikia wakati haitakiwi. Mpe hicho ulichoandika.

3. Mwache siku tatu akitafakari. Kama hakuambii lolote, ita wazee unaojua ni rafiki zake wajifanye wamekuja kumsalimia. Waeleze ulichofanya. Waombe wamtake atoe majibu.

4. Asipobadilika, tafuta chumba taratibu, Ukishakipata, hamia siku hayupo. Kama mume hajali watoto wake hafai kukaa naye.

Ukishaondoka labda atajuta. Akija kukuomba mrudiane mwambie awaite wale wazee waliokaa naye. Kama ni vipi, akubali kusaini makubaliano ya uwajibikaji kwa familia kwanza kabla hamjarudiana.
 
sasa mimi na yeye nani ana hasara ndoa ya cheti? mimi japo sijaolewa sijui bei ya nyumba,maji wala umeme . tena siishi uswazi au chumba cha laki moja au mbili au tatu au nne au tano au sita
unikome
 
bora umuambie
 
Mimi mwanamke wangu akiniandikia lolote Lile ilihali najua anaweza kuliongea, namvunja miguu??? Mwambie akipata kidogo Watoke na mzee wakakae mahali, aongee ya moyoni.... Sio kuandika. Sometimes sisi wanaume ni rahisi kuamini kwa kuona majonzi macho ni pa wenzetu. Ila awe na hekima.... Japo namuona ni mpuuzi hawezi kuwa nayo.
 
Huyo ni endoparasite duuuuu hana huruma. Hua nashangaa sn vzur havkutan. Hongera sn miaka 17? Ww niwa kwanza kusukia. Kuondoka si suluhu ongea nae kwa kina ikibidi shrkisha watu wenu wa heshima wamshauri mfn viongozi wenu wa dn nk. Ikshndkana sikio la kufa halisikii dawa.
 
sasa mimi na yeye nani ana hasara ndoa ya cheti? mimi japo sijaolewa sijui bei ya nyumba,maji wala umeme . tena siishi uswazi au chumba cha laki moja au mbili au tatu au nne au tano au sita
unikome
Ni kweli uyasemayo, ila mwenzako ana adress na ana mgegedo rasmi... Ambao umemzalisha watoto watatu... Sasa wewe ambaye una wa kukulipia umeme, wa kodi, wa maji... Hiyo papuchi haijafika magotini kweli???

Mimi ni muumini wa masikilizano na ninakataa kabisa kabisa mambo ya kindoa kuletwa mitandaoni. Pumbavu.
 
Ni kweli wanangu wanateseka maana kinachopatikana inabidi hichohicho kipikwe

Hii shida umeilea mwenyewe dear, sina hela na wewe huna hela basi. Watoto wako wanunulie take away wewe kula job ukirudi unalala basi. Niliona hii kwa mama mdogo alichoka sana akaamua kutoa hsegal watt anawanunulia take away yeye anajipanga ofisini. Weekend kaongea na jirani watt wanaenda kula huko jiko lake lilikuwa halipikwi mwanaume alikuja pata akili baadae maana njaa ilimzidi. But it depend on ur situation na type ya Mme wako.
 
Ni kweli uyasemayo, ila mwenzako ana adress na ana mgegedo rasmi... Ambao umemzalisha watoto watatu... Sasa wewe ambaye una wa kukulipia umeme, wa kodi, wa maji... Hiyo papuchi haijafika magotini kweli???

Mimi ni muumini wa masikilizano na ninakataa kabisa kabisa mambo ya kindoa kuletwa mitandaoni. Pumbavu.
kwani ukilipiwa bill lazima ugegedwe? acha kukariri maisha wewe.magufuli mwenyewe analipiwa bill zote so nae anagegedwa? jiheshimu
 
Habari wapendwa
Mimi ni mwanamke nilieolewa miaka 17 iliyopita, na tumajaaliwa kupata watoto 3 mkubwa kwa sasa yupo kidato cha nne, lkn kwa muda wote huo nilioishi na mume wangu hakuwahi kuhudumia familia kwa chakula wala chchte ndni km bb pesa yake ni kusoma tu. Mm nilikua nafanya kz binfsi (stationery) kwa sasa nimefungua kijibiashara cha kukizi mahitaji ya familia, kibaya zaidi toka nimeanza kuishi nae ndg zake wanapishana kukaa na huduma zt ni mm mwnyw. Hata sasa kuna ndg zk ndni 4 wote ni tegemezi kwangu, nishaurini wapendwa niendelee ama nihame, maana habadiliki...

Pole sana, wanaume siku hizi tumekuwa na tabia mbaya sana. Wewe si wa kwanza, wengi wa kesi kama yako. Ila kwa kesi nyingi ninazozijua wanaume hawakubadilika kabisa iliishia wanawake kuondoka. Ingawa Mungu anauwezo wa kubadili watu ninawasiwasi kama wa kwako anaweza kubadilika kutokana na muda mrefu wa tabia yake mbaya ndani ya miaka 17. Mzigo huo ni wa kwako milele. Ushauri mzuri ni kujitegenga naye lakini naogopa kitu kimoja tu, ukiondoka kwa kuachana utadondokea kwenye zinaa kitu ambacho naogopa kukushauri kukifanya kwa Mungu hataki zinaa. Jaribu kufanya maaumuzi ya busara kwa mustakabali wa maisha yako na watoto huwezi endelea kuishi maisha ya mauzi na ya kitumwa kisa ndoa. Pole sana dadangu.
 
Nimegundua katika huu uzi mlalamikaji na mlalamikiwa wote wamo humu.
Mkuu Mimi ni muumini wa masikilizano na nikiri kuwa nimeoa na kwa Kiwango changu ninajitahidi kuhudumia familia yangu.... Mwanangu ni shahidi hata akiwa na wenzake anajisifu kuwa na Mimi.

Nisichokitaka ni watu kuleta matatizo ya ndoa mitandaoni???? Kwanini msiongee.... Mwanamke jishushe, ongea utaskilizwa. Acha upumbavu.......
 
kwani ukilipiwa bill lazima ugegedwe? acha kukariri maisha wewe.magufuli mwenyewe analipiwa bill zote so nae anagegedwa? jiheshimu
Unataka kusema wanaokulipia ni ndugu zako??? Kwanini wakuruhusu ukapange Wakati ungeweza kukaa kwao?? Na Kama sio ndugu zako, ni nani anayekulipia hayo mabili afu hakugegedi Wakati huu..... Usiwe Kama mleta Uzi wewe.....

Mtukane raisi tu, ukitekwa ndo utajua.
 
Pole kwa yaliyokukuta but inawezekana kuna vingne unaficha cyz haiwezekani mtu asome miaka yote ata kama ni phd ni miaka tisa ila ndoa ni uvumilivu kama iliweza miaka kumi na saba hushindwi kuvumilia mpk kifo but kama unataka abadilike msemee kwa watu wadini wamuite huenda wakimshauri anaweza kujitambua kuna wanaume wanaupeo mdg wakufikiri hata kujiongeza kwao ni tatizo mshipa wa aibu ulishakatikaga tangu walipozaliwa so kua na subra na mshirikishe mungu anaweza kubadilika.
 
Mkuu Mimi ni muumini wa masikilizano na nikiri kuwa nimeoa na kwa Kiwango changu ninajitahidi kuhudumia familia yangu.... Mwanangu ni shahidi hata akiwa na wenzake anajisifu kuwa na Mimi.

Nisichokitaka ni watu kuleta matatizo ya ndoa mitandaoni???? Kwanini msiongee.... Mwanamke jishushe, ongea utaskilizwa. Acha upumbavu.......
Asante mkuu kwa ushauri wako ni kweli cku hizi mitandao imeshikilia ndoa zetu, yaani kila ki2 tunakianika hii c nzuri. Kwa kweli nami ni mmoja wa wanaopinga sn hl ila nikajikuta tu nipo jf nikiamini kuna ushauri mzuri. Samahanini wapendwa kwa kuwakwaza
 
kuna wanawake wavumilivu mpaka wanastahili tunzo.
Mika 17 Baba hajui majukumu yake. bado upo nae tu. hongera. nyie ndo wanawake wa kuwaweka makumbusho ili vizazi vya siku hizi, ambavyo havina uvumilivu vije kujifunza
Anyway.. Pole mumy
 
Back
Top Bottom