Ulivyojishusha mpaka nimekupenda.... Haya futi hili liuzi ukaongee na mumeo kwa sauti hii hii utafanikiwa. Acha upumbavu.Asante mkuu kwa ushauri wako ni kweli cku hizi mitandao imeshikilia ndoa zetu, yaani kila ki2 tunakianika hii c nzuri. Kwa kweli nami ni mmoja wa wanaopinga sn hl ila nikajikuta tu nipo jf nikiamini kuna ushauri mzuri. Samahanini wapendwa kwa kuwakwaza
Sheinzy.kuna wanawake wavumilivu mpaka wanastahili tunzo.
Mika 17 Baba hajui majukumu yake. bado upo nae tu. hongera. nyie ndo wanawake wa kuwaweka makumbusho ili vizazi vya siku hizi, ambavyo havina uvumilivu vije kujifunza
Anyway.. Pole mumy
Khaaaah au ndo wewe mumewe maanaaa.......Tungekushauri vizuri ila uzi wako umejaaa uongo na unafiki mkubwa sana
Endelea hivyo hivyo.
Acha roho mbaya na umbea. Ongea na mumeo, mijanawake ya siku hizi Sijui haikufundwa??? Kitu Chochote brek ni mitandaoni... Huku kuna mshenga wako??? Kuna Wazazi wenu huku?? Kuna benki huku useme mumeo atakopeshwa mtaji?? Miaka 17, leo unauliza ufanyeje.... Kwanza inaelekea ushaondoka wewe upo kwenu. Mpumbavu wewe. Ndo maana mnapata magonjwa ya ajabu.
hapana ila nime mgundua mapema tuKhaaaah au ndo wewe mumewe maanaaa.......
MmmmmmhhhAcha roho mbaya na umbea. Ongea na mumeo, mijanawake ya siku hizi Sijui haikufundwa??? Kitu Chochote brek ni mitandaoni... Huku kuna mshenga wako??? Kuna Wazazi wenu huku?? Kuna benki huku useme mumeo atakopeshwa mtaji?? Miaka 17, leo unauliza ufanyeje.... Kwanza inaelekea ushaondoka wewe upo kwenu. Mpumbavu wewe. Ndo maana mnapata magonjwa ya ajabu.
Ningekutukana lakini kwa sababu surname yako ni watani zangu, ENDELEza ubwege wako.Khaaaah au ndo wewe mumewe maanaaa.......
typeSheinzy.
heeeeeSheinzy.
mbona tushakujua zamani? tunza mkeo wewe mangi unasoma nini?Ningekutukana lakini kwa sababu surname yako ni watani zangu, ENDELEza ubwege wako.
Ila Kama ni mtani ndo maana hulipi kodi wala bili....hahahahahahahahahahambona tushakujua zamani? tunza mkeo wewe mangi unasoma nini?
unakula na kulala bure miaka 17?Ila Kama ni mtani ndo maana hulipi kodi wala bili....hahahahahahahahahaha
nina wasiwasi huyu atakuwa ni muhusika.mbona tushakujua zamani? tunza mkeo wewe mangi unasoma nini?
Hahahahahahahahahaha...... Unajua nimekuwa so concerned kwa sababu nimeoa, nisingependa kosa lolote la kindoa Mke wangu alilete mitandaoni.... Si bora aondoke kimyakimya.... Namuhurumia sana huyu Jamaa aliyeanikwa hapa.... Hivi nyie wabibi mliopo hapa angekuwa kaka yenu mngemfanyaje huyu wifi yenu???nina wasiwasi huyu atakuwa ni muhusika.
umekosea kusema angekuwa kaka yetu. maana mimi siwezi kuwa na kaka wa namna hiyo.Hahahahahahahahahaha...... Unajua nimekuwa so concerned kwa sababu nimeoa, nisingependa kosa lolote la kindoa Mke wangu alilete mitandaoni.... Si bora aondoke kimyakimya.... Namuhurumia sana huyu Jamaa aliyeanikwa hapa.... Hivi nyie wabibi mliopo hapa angekuwa kaka yenu mngemfanyaje huyu wifi yenu???