mkiwamonie
Member
- Apr 25, 2017
- 15
- 9
- Thread starter
- #21
Ni kweli wanangu wanateseka maana kinachopatikana inabidi hichohicho kipikweMmh uvumilivu gani huo!!? Ongea nae au hao ndugu pia waanze kuchangia mahitaji ya hapo. Unatesa wanao
Ni kweli wanangu wanateseka maana kinachopatikana inabidi hichohicho kipikweMmh uvumilivu gani huo!!? Ongea nae au hao ndugu pia waanze kuchangia mahitaji ya hapo. Unatesa wanao
Habari wapendwa
Mimi ni mwanamke nilieolewa miaka 17 iliyopita, na tumajaaliwa kupata watoto 3 mkubwa kwa sasa yupo kidato cha nne, lkn kwa muda wote huo nilioishi na mume wangu hakuwahi kuhudumia familia kwa chakula wala chchte ndni km bb pesa yake ni kusoma tu. Mm nilikua nafanya kz binfsi (stationery) kwa sasa nimefungua kijibiashara cha kukizi mahitaji ya familia, kibaya zaidi toka nimeanza kuishi nae ndg zake wanapishana kukaa na huduma zt ni mm mwnyw. Hata sasa kuna ndg zk ndni 4 wote ni tegemezi kwangu, nishaurini wapendwa niendelee ama nihame, maana habadiliki...
Mpaka 2004 aliniambia anasoma five and six 2010 akasema anachukua diploma ya uhasibu 2016 mpaka sasa akasema anachukua CPA ya uhasibuanasoma nini miaka 17? au alianza chekechea?
Hata niliongea nae hatakelezi chchte c umeme wala maji au chakulaMiaka 17... Hamuyaongea Ndani watoto wa tatu, Bado Hamuwezi kushauriana Ndani... Let me watch upcoming Comments
Huyu mwanamke ni @&$#%*€£€¥£€€E sana... Afie mbali Huko.Tungekushauri vizuri ila uzi wako umejaaa uongo na unafiki mkubwa sana
Endelea hivyo hivyo.
Tatizo tumefunga ndoa kanisaniDuh kuna wanawake wavumilivu sana.
Hivi wewe mwanamke unaijua miaka 17???Hata niliongea nae hatakelezi chchte c umeme wala maji au chakula
We hudumia tu mama. Wanawake mnaweza bhana.Habari wapendwa
Mimi ni mwanamke nilieolewa miaka 17 iliyopita, na tumajaaliwa kupata watoto 3 mkubwa kwa sasa yupo kidato cha nne, lkn kwa muda wote huo nilioishi na mume wangu hakuwahi kuhudumia familia kwa chakula wala chchte ndni km bb pesa yake ni kusoma tu. Mm nilikua nafanya kz binfsi (stationery) kwa sasa nimefungua kijibiashara cha kukizi mahitaji ya familia, kibaya zaidi toka nimeanza kuishi nae ndg zake wanapishana kukaa na huduma zt ni mm mwnyw. Hata sasa kuna ndg zk ndni 4 wote ni tegemezi kwangu, nishaurini wapendwa niendelee ama nihame, maana habadiliki...
Asante ila kwa kua halijakukutaAcha roho mbaya na umbea. Ongea na mumeo, mijanawake ya siku hizi Sijui haikufundwa??? Kitu Chochote brek ni mitandaoni... Huku kuna mshenga wako??? Kuna Wazazi wenu huku?? Kuna benki huku useme mumeo atakopeshwa mtaji?? Miaka 17, leo unauliza ufanyeje.... Kwanza inaelekea ushaondoka wewe upo kwenu. Mpumbavu wewe. Ndo maana mnapata magonjwa ya ajabu.
2001-2004 five na sixMpaka 2004 aliniambia anasoma five and six 2010 akasema anachukua diploma ya uhasibu 2016 mpaka sasa akasema anachukua CPA ya uhasibu
Ukweli huwezi ujua na uongo huwezi ujua ni mpaka yakufikeTungekushauri vizuri ila uzi wako umejaaa uongo na unafiki mkubwa sana
Endelea hivyo hivyo.
Rudia uzi wako....we mtu ana soma miaka 17..?? elimu gani hiyoUkweli huwezi ujua na uongo huwezi ujua ni mpaka yakufike
We Baba nanii mbona unakuwa mkali kwako mywife waking?Acha roho mbaya na umbea. Ongea na mumeo, mijanawake ya siku hizi Sijui haikufundwa??? Kitu Chochote brek ni mitandaoni... Huku kuna mshenga wako??? Kuna Wazazi wenu huku?? Kuna benki huku useme mumeo atakopeshwa mtaji?? Miaka 17, leo unauliza ufanyeje.... Kwanza inaelekea ushaondoka wewe upo kwenu. Mpumbavu wewe. Ndo maana mnapata magonjwa ya ajabu.
Peleka upuuzi wako Huko..... Mimi ni mwanaume wa kimangi, unataka yanikute yapi??? Ninajua kuwa sio wote wenye uwezo wa kubeba majukumu ya kifamilia ila ni vyema kuongea na mwenzio katika lugha ya kujenga. Tumeona Wengi waliokuwa na Hali Kama ya mumeo na walipoongea na wenzao kwa hekima Hali ilibadilika. Wewe mjinga inaelekea unaongea na mumeo kwa lugha za ultimatums..... Eti: "au niondoke" sasa hiyo ni lugha ya anayetaka ushauri. Bwege wewe???Asante ila kwa kua halijakukuta
elimu haina mwishoRudia uzi wako....we mtu ana soma miaka 17..?? elimu gani hiyo
au ndo ile elimu ya ahera