Mume wangu hahudumii familia

Mume wangu hahudumii familia

ukasomeka vibaya mkuu, kwa jinsi uvyokuwa unamshambulia mleta mada wengi wetu tukahisi ni wewe mlalamikiwa na kama si wewe basi umemfanyia kitu kama hiko mkeo
Asee mkuu huji madhara ya ndoa kuletwa mtandaoni. Sitaki na siungi mkono huo ujinga.... Ongea ndani mpaka upasuke jibu litapatikana tu.
 
Habari wapendwa
Mimi ni mwanamke nilieolewa miaka 17 iliyopita, na tumajaaliwa kupata watoto 3 mkubwa kwa sasa yupo kidato cha nne, lkn kwa muda wote huo nilioishi na mume wangu hakuwahi kuhudumia familia kwa chakula wala chchte ndni km bb pesa yake ni kusoma tu. Mm nilikua nafanya kz binfsi (stationery) kwa sasa nimefungua kijibiashara cha kukizi mahitaji ya familia, kibaya zaidi toka nimeanza kuishi nae ndg zake wanapishana kukaa na huduma zt ni mm mwnyw. Hata sasa kuna ndg zk ndni 4 wote ni tegemezi kwangu, nishaurini wapendwa niendelee ama nihame, maana habadiliki...
 
ambacho hujajua ni kwamba kuna familia nyingine analea na pengine hata wewe kuna anayekusaidia kulea hiyo familia yenu, ndoa hizi bwana.
 
Hongera kwa uvumilivu,huyo amekuzoea.kusoma miaka yote hiyo,alijua akienda kusoma nani anatake care family,majaribu mazito hâya
 
Mimi mwanamke wangu akiniandikia lolote Lile ilihali najua anaweza kuliongea, namvunja miguu??? Mwambie akipata kidogo Watoke na mzee wakakae mahali, aongee ya moyoni.... Sio kuandika. Sometimes sisi wanaume ni rahisi kuamini kwa kuona majonzi macho ni pa wenzetu. Ila awe na hekima.... Japo namuona ni mpuuzi hawezi kuwa nayo.

Akipata kdg amtoe wkt familia inahitaji huduma?hicho kdg si akanunue mahitaji ya ndani woiiii
 
Habari wapendwa,

Mimi ni mwanamke nilieolewa miaka 17 iliyopita, na tumajaaliwa kupata watoto 3 mkubwa kwa sasa yupo kidato cha nne, lakini kwa muda wote huo nilioishi na mume wangu hakuwahi kuhudumia familia kwa chakula wala chochote ndni kama Baba, pesa yake ni kusoma tu.

Mimi nilikua nafanya kazi binafsi (stationery) kwa sasa nimefungua kijibiashara cha kukidhi mahitaji ya familia, kibaya zaidi toka nimeanza kuishi nae ndugu zake wanapishana kukaa na huduma zote ni mimi mwenyewe.

Hata sasa kuna ndugu zake wanne ndani na wote ni tegemezi kwangu.

Nishaurini wapendwa niendelee ama nihame, maana habadiliki...
Hukitaka kutambua umuhimu wa mchango wake Mimi nakushauri mbadilishane yeye alipe msosi wawe ulipe ada za shule za watoto kama term mbili arafu urudi kuomba ushauri tena...kama utaona bado unaonewa....
 
Hao ndugu wanununulie mahitaji waanze kupila chapati kufunga icecream barafu ht km kuna eneo weka genge wauze jioni mahesabu
Asietaka achape lapa km wamekuja kulala basi waende hsptl watalala 24 hrs
 
Habari wapendwa,

Mimi ni mwanamke nilieolewa miaka 17 iliyopita, na tumajaaliwa kupata watoto 3 mkubwa kwa sasa yupo kidato cha nne, lakini kwa muda wote huo nilioishi na mume wangu hakuwahi kuhudumia familia kwa chakula wala chochote ndni kama Baba, pesa yake ni kusoma tu.

Mimi nilikua nafanya kazi binafsi (stationery) kwa sasa nimefungua kijibiashara cha kukidhi mahitaji ya familia, kibaya zaidi toka nimeanza kuishi nae ndugu zake wanapishana kukaa na huduma zote ni mimi mwenyewe.

Hata sasa kuna ndugu zake wanne ndani na wote ni tegemezi kwangu.

Nishaurini wapendwa niendelee ama nihame, maana habadiliki...
wakat ww unahudumia smartphone[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Dada pole sana we ni zaidi ya mvumilivu kaa na mumeo muongee ndugu zake waondoke hakusaidii hata kumi halaf ndg zake wanajazana tu
 
Hukitaka kutambua umuhimu wa mchango wake Mimi nakushauri mbadilishane yeye alipe msosi wawe ulipe ada za shule za watoto kama term mbili arafu urudi kuomba ushauri tena...kama utaona bado unaonewa....
Wakati hata ada za watoto halipi yaan mume hafanyi chochote kwenye familia anajisomesha yeye mwenyewe sijui ni elimu ya watu wazima kwa miaka 17,,,,kama hujamuelewa mtoa mada rudia kusoma tena,,,si bora hata angekua anasomesha watoto wake
 
Kuna swali mkuu mmoja alikuuliza huko haukujibu dada,,,alikuuliza wakati wa uchumba mambo yalikuaje?na umri wenu ukoje?yaani mumeo na wewe nani mkubwa kiumri?maana isije ikawa wewe ndo ulimuoa serengeti boy sijui ben ten na ulikua ushamzoeaza kumhudumia tangu enzi za uchumba wenu
 
Yaani umeishi naye miaka 17 haujaona tatizo,ndio unaliona sasa hivi?wewe sema umemchoka na unataka Uhuru tuh sababu unajiweza vema.ushauri....!kaa chini umwambie wazi na umpe muda wa mabadiliko..!akishindwa Fanya vile moyo wako utapata amani.km miaka yote17 anasoma tu na hauna cha haueni ktk maisha..MPE makavu.
 
niliwah kuacha mke kwa kosa la kwenda kunishitak kwa wadogo zake wakat kama kuna tatzo aliopaswa awambie wakubwa na sio kunishtak kwa wadogo zake...dah sasa wewe mama/dada kama mumeo ni mkoloni kama mimi akijua sijui itakuaje?
 
Back
Top Bottom