Mume wangu ananisaliti, Usaliti wake unashangaza

Yaani wanawake hufanya kila liwezekanalo ili tu walie.

Kukiwa na utulivu mwanamke atataka tu alie.

Mtu anampenda, anamjali, anamhudumia na kila kitu lakini mwananmke hajaridhika anataka tu alie.

Mwanamke inatakiwa since day one umemuoa, akujue kwama wewe ni mtu wa matukio tu ili akili imkae sawa mapema.

Mwanaume umekaa kindezi ndezi hivi haya ndio matokeo yake.
Mkuu umegonga kunako, wanawqke waneumbiwa maumivu aisee, atafuta Kila namna aumizwe TU.
 
Usaliti kati ya mwanaume na mwanamke kamwe haufanani, mwanaume kutembea na mwanamke mwingine nje huku akihudumia familia kila kitu huyo wala sio msaliti, Bali ni mwanaume halisi anayetimiza majukumu yake ipasavyo...! Wanawake huo mnateseka kwa kushindwa kujua kitu kidogo kama hicho, sisi na nyinyi hatufanani mnakosea mnapotaka tuwe kama nyie
 
IMG_8110.jpg
 
Sio kweli
 
Kuna wanawake wa hivyo aisee!

Mwingine eti anaenda vijiwe vya bodaboda na picha ya mume anauliza Huyu mnamjua ?

Je huwa anaambatana na mwanamke?

Je huwa wanatumia lodge/hotel gani?

Ataenda hadi kwa hizo lodge/hotels na picha ya mume na kuuliza ,

Akili zao finyu sana.

Halafu wakishakata pa kwenda hakuna wanabaki kununa!
 
Za asubuhi wana jamvi. Ngoja niende kwenye lengo la uzi.

I have been with this man for 8 years, tumefunga ndoa mwaka juzi kiufupi ndoa yetu ina miaka mitatu mahusiano miaka nane.

To be honest, Mr ananipenda sana. Ananijali ananisapoti, nashukuru Mungu kwa hilo.

Sasa miezi miwili iliyopita nikafikiria jambo, nikataka nimjaribu mume wangu niupime upendo wake. Je, ananipenda kweli nje ndani au ndo maigizo ya wanaume.

Nikatengeneza akaunti feki instagram nikam'follow. Nilichagua mrembo mmoja mwenye matako matako nikajaza picha zake, mume wangu si namjua ananisifiaga sana shape yangu. Mume wangu fell for the trick alini follow back na akani'dm.

Utata ukaanza hapo, niliumia ila ndo maji nishayavulia nguo sharti kuyaoga.

Tulichart kule for weeks mpaka alipokuja kuniomba namba ya simu. Sikuwa na namba nyengine tofauti na anayoijua yeye, so sikumpa mpaka niliposajili namba nyengine kwa majina mengine.

Tukaanza chart whatsapp.

Akanitongoza tena akaniambia hana mke, mke wake alishakufa kwa ajali. Jamani nyie wanaume ni mbwa [emoji706][emoji706]

Cha ajabu sasa, nikimuomba hela kama mchepuko kule HANIPI ananipiga viswahili vingi. Ila nyumbani ana provide kama kawaida na pesa ananipa.

Nishindwa kumuelewa, kule kwenye identity fake anafosi sana tukutane, pesa hataki kutoa. Huku kwenye uhalisia wangu ananipa pesa kama kawaida na hajapunguza hata chembe ya upendo wake kwangu.

Je, amenistukia niachane na huo mchezo? Au niendelee nitakachokitafuta nitakipata?
Anataka mkutane ahakikishe kuwa wrwe jike sio auziwe mbuzi kwa gunia.
 
Hakuna wanaume halisi anaefaulu kuukwepa mtego wa mbususu , unachokitafuta utakipata we endelea mi kuna acc fb zinanifuata tunachati haswa ila ikifika mda wa video call regular call ananizungusha kuonana pia annizungusha nikaona haya majaribu siku ya siku nikashagaa block bila sababu nikajuwa mission complete nami nilikuwa sitoi hela
 
Za asubuhi wana jamvi. Ngoja niende kwenye lengo la uzi.

I have been with this man for 8 years, tumefunga ndoa mwaka juzi kiufupi ndoa yetu ina miaka mitatu mahusiano miaka nane.

To be honest, Mr ananipenda sana. Ananijali ananisapoti, nashukuru Mungu kwa hilo.

Sasa miezi miwili iliyopita nikafikiria jambo, nikataka nimjaribu mume wangu niupime upendo wake. Je, ananipenda kweli nje ndani au ndo maigizo ya wanaume.

Nikatengeneza akaunti feki instagram nikam'follow. Nilichagua mrembo mmoja mwenye matako matako nikajaza picha zake, mume wangu si namjua ananisifiaga sana shape yangu. Mume wangu fell for the trick alini follow back na akani'dm.

Utata ukaanza hapo, niliumia ila ndo maji nishayavulia nguo sharti kuyaoga.

Tulichart kule for weeks mpaka alipokuja kuniomba namba ya simu. Sikuwa na namba nyengine tofauti na anayoijua yeye, so sikumpa mpaka niliposajili namba nyengine kwa majina mengine.

Tukaanza chart whatsapp.

Akanitongoza tena akaniambia hana mke, mke wake alishakufa kwa ajali. Jamani nyie wanaume ni mbwa [emoji706][emoji706]

Cha ajabu sasa, nikimuomba hela kama mchepuko kule HANIPI ananipiga viswahili vingi. Ila nyumbani ana provide kama kawaida na pesa ananipa.

Nishindwa kumuelewa, kule kwenye identity fake anafosi sana tukutane, pesa hataki kutoa. Huku kwenye uhalisia wangu ananipa pesa kama kawaida na hajapunguza hata chembe ya upendo wake kwangu.

Je, amenistukia niachane na huo mchezo? Au niendelee nitakachokitafuta nitakipata?
Acha huo ujinga madam. Mtu kama anakupenda na anakujali unamchokonoa hivyo ili iweje sasa?

Kwa mwanaume rijali kutongoza warembo ni social fact wala sio ajabu!!
 
Za asubuhi wana jamvi. Ngoja niende kwenye lengo la uzi.

I have been with this man for 8 years, tumefunga ndoa mwaka juzi kiufupi ndoa yetu ina miaka mitatu mahusiano miaka nane.

To be honest, Mr ananipenda sana. Ananijali ananisapoti, nashukuru Mungu kwa hilo.

Sasa miezi miwili iliyopita nikafikiria jambo, nikataka nimjaribu mume wangu niupime upendo wake. Je, ananipenda kweli nje ndani au ndo maigizo ya wanaume.

Nikatengeneza akaunti feki instagram nikam'follow. Nilichagua mrembo mmoja mwenye matako matako nikajaza picha zake, mume wangu si namjua ananisifiaga sana shape yangu. Mume wangu fell for the trick alini follow back na akani'dm.

Utata ukaanza hapo, niliumia ila ndo maji nishayavulia nguo sharti kuyaoga.

Tulichart kule for weeks mpaka alipokuja kuniomba namba ya simu. Sikuwa na namba nyengine tofauti na anayoijua yeye, so sikumpa mpaka niliposajili namba nyengine kwa majina mengine.

Tukaanza chart whatsapp.

Akanitongoza tena akaniambia hana mke, mke wake alishakufa kwa ajali. Jamani nyie wanaume ni mbwa [emoji706][emoji706]

Cha ajabu sasa, nikimuomba hela kama mchepuko kule HANIPI ananipiga viswahili vingi. Ila nyumbani ana provide kama kawaida na pesa ananipa.

Nishindwa kumuelewa, kule kwenye identity fake anafosi sana tukutane, pesa hataki kutoa. Huku kwenye uhalisia wangu ananipa pesa kama kawaida na hajapunguza hata chembe ya upendo wake kwangu.

Je, amenistukia niachane na huo mchezo? Au niendelee nitakachokitafuta nitakipata?
Wanawake mnatumiwa sana shetani kwakweli! Yaani unachoshwa na amani na utulivu ulioopo sasa unatafuta vijisababu vya kutibua? Unachokitafuta utakupata! Ushauri wangu block hiyo account yako ya Instagram na uachane kabisa na huo ujasusi na ushushu wako.
 
Yaani wanawake hufanya kila liwezekanalo ili tu walie.

Kukiwa na utulivu mwanamke atataka tu alie.

Mtu anampenda, anamjali, anamhudumia na kila kitu lakini mwananmke hajaridhika anataka tu alie.

Mwanamke inatakiwa since day one umemuoa, akujue kwama wewe ni mtu wa matukio tu ili akili imkae sawa mapema.

Mwanaume umekaa kindezi ndezi hivi haya ndio matokeo yake.
Na atakuwa anatombwer nje. Hilo ametuficha.

Naomba atengeneze na watoto feki.

Wanaume tunatongoza mno, na laiti tulivyotokea ndivyo tungevila, no hatari
 
Za asubuhi wana jamvi. Ngoja niende kwenye lengo la uzi.

I have been with this man for 8 years, tumefunga ndoa mwaka juzi kiufupi ndoa yetu ina miaka mitatu mahusiano miaka nane.

To be honest, Mr ananipenda sana. Ananijali ananisapoti, nashukuru Mungu kwa hilo.

Sasa miezi miwili iliyopita nikafikiria jambo, nikataka nimjaribu mume wangu niupime upendo wake. Je, ananipenda kweli nje ndani au ndo maigizo ya wanaume.

Nikatengeneza akaunti feki instagram nikam'follow. Nilichagua mrembo mmoja mwenye matako matako nikajaza picha zake, mume wangu si namjua ananisifiaga sana shape yangu. Mume wangu fell for the trick alini follow back na akani'dm.

Utata ukaanza hapo, niliumia ila ndo maji nishayavulia nguo sharti kuyaoga.

Tulichart kule for weeks mpaka alipokuja kuniomba namba ya simu. Sikuwa na namba nyengine tofauti na anayoijua yeye, so sikumpa mpaka niliposajili namba nyengine kwa majina mengine.

Tukaanza chart whatsapp.

Akanitongoza tena akaniambia hana mke, mke wake alishakufa kwa ajali. Jamani nyie wanaume ni mbwa [emoji706][emoji706]

Cha ajabu sasa, nikimuomba hela kama mchepuko kule HANIPI ananipiga viswahili vingi. Ila nyumbani ana provide kama kawaida na pesa ananipa.

Nishindwa kumuelewa, kule kwenye identity fake anafosi sana tukutane, pesa hataki kutoa. Huku kwenye uhalisia wangu ananipa pesa kama kawaida na hajapunguza hata chembe ya upendo wake kwangu.

Je, amenistukia niachane na huo mchezo? Au niendelee nitakachokitafuta nitakipata?
Acha ujinga mwana kulifind mwana kuliget...
hakuna haja ya kumtest mwanaume wako kama ndoa yako ina amani nini tena unataka mke wa ndoa, njia uliotumia kumpima mumeo sio sahihi,kipimo cha mwanaume kipo kweye vitu 5
AnaUpendo
Anakujali
Anakupa amani
Anakuheshimu
Anakuhudumia
Hakuna kipimo cha uamnifu kwa mwanaume,naona unataka kuanza kisirani cha ndoa utaanza kulia muda sio mrefu.Kama nyumbani mume anakupa pesa huku nje unahangaika na nini kaa utulie bana.Hajakushtukia ila akikushtukia atakumind na anaweza akatafuta kweli mchepuko hapo ndo utajua ujui.
 
Yaani wewe hujajua dunia ilivyo. Kiufupi tu Mungu ametuumba wanaume kut00mba hatuna kazi nyingine huwa hakuna upendo uelewe.
Nikuulize wewe usipopata mahitaji yako utaziidi kumpenda ama huoni jogoo anatumia chakula kumtegea mtetea aje amt00mbe jamani.
So mwanaume anakuuzia tamaaa zake za kimwili na wewe unazinunua wakati huo huo ananunua fear yako ya basic needs za maisha so maisha yanasonga kwa namna iyo.

Yaani Ni sawa nakupa mbuzi unanipa chakula yaani lazima uwe na kitu Cha kutoa ili upewe kitu,hata mwanao Kama Hana faida kwako Ni kibaka,hasomi mtu wa matukio,yaani Anazo tabia mbaya zote utatamani hata akufe huu ndio ukweli wa moyoni.
Yaani wanaume Ni maisha tu Ila kila mmoja anapenda awe Kama mfalme Suleiman.
Usimchunguze na usimpime mkeo ama mmeo.
Binadamu anaanguka kwenye eneo lake la udhaifu Ni sawa na kuipima sumaku Kama itavuta chuma nyingine,ama Kama dunia itavuta jiwe ulilorusha juu ama Kama maji yatateremkia bondeni.

Yaani namalizana kutiiana na Beyonce nikikutana na Shakira napata hisia zaidi na nikikutana Alicia keys napata hisia Tena.

Kwani ukila kwako wali samaki ukija kwangu Kuna wali kuku Kama unayo nafasi utakula kama ulishindilia utatamani ule hata paja la kuku tu ,sema Ni kwa ajili ya uwoga ama fear ya macho ya watu wengine utajifanya kuwa Kama hutaki kula fulani ili uonekane mstaraabu Ila kiundani binadamu Ni mnyama uelewe ,

Pia elewa kila kitu dunia Ni trading yaani unatoa ama unabeba tamaa za kimwili za mwanaume naye anakupatia mahitaji yako so ni 50/50 mmojawapo akiwa hapati faida ama anaona Kama anapoteza lazima atakatisha huo mktaba ili iyo biashara isiendelee. Ukitaka kucheki hebu angalia usipokuwa na faida yoyote Ile hata mchungaji haji nyumbani kwako kukuletea neno.

Yaani Ni sawa na miti inapumua tunaivuta hewa yake na sie inavuta hewa tupumuayo Basi maisha yanaenda.

Yaani nothing is free under the sun ama huamini hii kauli ambayo binadamu wenzako waliishi kabla yako waliiona.

Unazaa ili iweje Kuna faida unaitegemea usipoipata lazima uumie emotionally.

Olewa halafu usizae ndio utajua Kama unapendwa,shida ya watu huwa wanajua kuwa Kuna ideal human being somewhere.

Wewe mwenyewe hapo ulipo unaweza ukaolewa na ukamuacha huyo mmewe najua utakataa sema Ni kwa vile tu conditions fulani hazijatimizwa Ila zikitimizwa unadai talaka mapema asubuhi kabla jogoo halijawika.

Mfano nikuambie kuwa unaweza ukamuacha huyo mmewe ili uone Kama unampenda ama humpendi ama upo kwake kisa Cha ku gain profit fulani Mana nishakuambia kuwa kila kila kitu Ni trade na tuna trade ili tupate faida unadhani huyo mwenye duka akakuletea sukari hapo unapoishi unadhani anakupenda mno,ama mwanasiasa anakupenda ama wenye dini wanakupenda ama wanacheki maslahi yao.

Mfano mzuri ukipata daua la kuolewa na tajiri mmoja Yuko USA,anakutafutia uraia wa USA,anakupatia passport yako,tiketi ya ndege,anaenda kwenu anawachia Kama 200M ,anawajengea nyumba ya Mana na usafiri anawaachia wa Mana,anawapa mradi wa Mana hata Kosta Kama 20 za kuwaletea hesabu na wewe mwenyewe anakuachia kitu Kama 300M anatangulia anakuambia wewe fanya Mambo yako utakuja muda utakaotaka kwani hutoweza kumfuata na hizo hesabu ama hizo Mali nimeenda juu mno.
Utakataa usiende kuishi mamtoni na kwenu akawabadilishia maisha.

Why Kama upendo upo unampeleleza mtu anafanya kazi gani ili iweje kwani kazi ndio inayokuoa. Hapo mwenyewe ulipo unaweza ukachepuka mtu akikuamulia
Aisee umeongea mazito yamenichoma kumoyo [emoji17]
 
Kama ishu ni kutaka kujua iwapo anachepuka au la Kuna namna mbalimbali nzuri za kuweza kujua bila kuleta hekaheka na kufanya watu baki wajue mambo yenu isivyofaa.

Unaweza ukajua vizuri tu bila kuwapa faida watu baki.

Badala ya Kuhamaki kupiga Simu rafiki na ndugu zake kuwa ndugu yenu anachepuka ni bora ujipe utulivu wa kutosha na maombi.

Hao rafiki zake mumeo unaowapigia Simu kuwaambia mwenzenu nimemkamata na ushahidi kuwa anachepuka na mwanamke mwingine nao ni walewale tu. Wanakuchora tu!

Tena ukute wao wanachepuka na zaidi ya mwanamke mmoja wewe mumeo ako na bibi mmoja tu unajitia wazimu?!

Hao nduguze unaowambia hizo Habari pia unajichoresha tu [emoji108]

Tena ndugu wengine ukiwaambia hivyo wanafurahi wanajisemea moyoni ndio ukome maana wewe si umemtawala na hupendi ndugu wa mume?!

Wanakazia!

Upo bibi?! [emoji108]
 
Ndugu wa mume huwa wanafurahi sana wanapojua ndugu yao anachepuka na mwanamke mwingine.

Sababu wanawake wengi waloolewa hupenda kuwatawala waume zao kiasi cha kukataza hata ndugu wa mume kufika kwao Na kuwasalimia au vinginevyo.

Sasa nyie endeleeni kujifanya mnawatalawa waume zenu.

Wengine mmewafanya wanaume zenu wawachukie hadi wazazi wao na kuwatekeleza ?!

Ukaribu ulokuwepo kabla hajakuoa umepotea baada ya kuoa! [emoji848][emoji848]

Ni kweli kuna kuambatana lakini sio kukata upendo na misaada ambayo awali ilikuwepo kabla ya kuoa.
 
Tena makabila yetu haya ya Kiswahili mke ukijidai kumtawala mume na kuleta uchoyo na chuki kwa ndugu wa mume watakukomesha nakwambia [emoji108]

Hawachelewi kumkuwadia ndugu yao,

Na wakishamtafutia bibi watahakikisha unajua, salamu za kuwa ako na hawara zitakufikia popote ulipo [emoji108]

Lesson: tuishi vizuri na ndugu wa mume, tujifunze kuwapenda Na kuwa wakarimu kwao.
 
Halafu sasa usiombe mchepuko awe anajielewa na awe Na connection na ndugu wa mume,

Akijua udhaifu wako umekwisha!
 
Kuna wanaume wanaishi na wanawake vilaza sana alafu eti huyu ndio atalea watoto wa jamaa dah pole kwa mwanaume mwenzetu. Ajipige kifua aseme kaoa zumbukuku
 
Lipia tangazo,
Una Shep na mat*ko makubwa na unapenda kusifiwa! Congratulations jirani.
 
Ukimpiga matukio anaenda kwenye media na ustawi wa jamii kua anateswa.
Ukimjali na kumpenda kwa dhati kuna mawili, kuchapiwa, kudharauliwa au kuhisiwa unamsaliti mbona unamjali sana.

Option nzuri ya kuishi na mwanamke ni kumuumiza sometimes.

Hapo huyu dada anatafuta excuse ili na yeye achepuke.
 
Unaenda kuharibu amani ya ndoa yako sasa hivi. Na akijua ulikuwa unamtega ndio umeharibu kabisa.

Acha upuuzi. Huridhiki tu kuwa anakupend na anakujali?

Shauri yako
Huu ndio upumbavu wa wanawake. Unanampenda mtu Kwa moto wako wote lakini wapi.
 
Back
Top Bottom