Mume wangu ananisaliti, Usaliti wake unashangaza

Za asubuhi wana jamvi. Ngoja niende kwenye lengo la uzi.

I have been with this man for 8 years, tumefunga ndoa mwaka juzi kiufupi ndoa yetu ina miaka mitatu mahusiano miaka nane.

To be honest, Mr ananipenda sana. Ananijali ananisapoti, nashukuru Mungu kwa hilo.

Sasa miezi miwili iliyopita nikafikiria jambo, nikataka nimjaribu mume wangu niupime upendo wake. Je, ananipenda kweli nje ndani au ndo maigizo ya wanaume.

Nikatengeneza akaunti feki instagram nikam'follow. Nilichagua mrembo mmoja mwenye matako matako nikajaza picha zake, mume wangu si namjua ananisifiaga sana shape yangu. Mume wangu fell for the trick alini follow back na akani'dm.

Utata ukaanza hapo, niliumia ila ndo maji nishayavulia nguo sharti kuyaoga.

Tulichart kule for weeks mpaka alipokuja kuniomba namba ya simu. Sikuwa na namba nyengine tofauti na anayoijua yeye, so sikumpa mpaka niliposajili namba nyengine kwa majina mengine.

Tukaanza chart whatsapp.

Akanitongoza tena akaniambia hana mke, mke wake alishakufa kwa ajali. Jamani nyie wanaume ni mbwa [emoji706][emoji706]

Cha ajabu sasa, nikimuomba hela kama mchepuko kule HANIPI ananipiga viswahili vingi. Ila nyumbani ana provide kama kawaida na pesa ananipa.

Nishindwa kumuelewa, kule kwenye identity fake anafosi sana tukutane, pesa hataki kutoa. Huku kwenye uhalisia wangu ananipa pesa kama kawaida na hajapunguza hata chembe ya upendo wake kwangu.

Je, amenistukia niachane na huo mchezo? Au niendelee nitakachokitafuta nitakipata?
[emoji38][emoji38][emoji38] aiseee sisi wanawake ndio maana tunaachwa kila siku maana wenyewe hatujielewi na hatujui tunachokitaka kwenye maisha

Naona umejijibu mwenyewe hapo mwisho endelea na unachokitafuta utakipata[emoji57]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Methali 14:1-18 BHND​

Mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake, lakini mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe. Mwenye mwenendo mnyofu humcha Mwenyezi-Mungu, lakini mpotovu humdharau Mungu. Mpumbavu hujiadhibu mwenyewe kwa kuropoka kwake, lakini mwenye hekima hulindwa na maneno yake.
UMBWA WEWE UNAENDA KUIHARIBU NYUMBA YAKO WEWE MWENYEWE!
 
Za asubuhi wana jamvi. Ngoja niende kwenye lengo la uzi.

I have been with this man for 8 years, tumefunga ndoa mwaka juzi kiufupi ndoa yetu ina miaka mitatu mahusiano miaka nane.

To be honest, Mr ananipenda sana. Ananijali ananisapoti, nashukuru Mungu kwa hilo.

Sasa miezi miwili iliyopita nikafikiria jambo, nikataka nimjaribu mume wangu niupime upendo wake. Je, ananipenda kweli nje ndani au ndo maigizo ya wanaume.

Nikatengeneza akaunti feki instagram nikam'follow. Nilichagua mrembo mmoja mwenye matako matako nikajaza picha zake, mume wangu si namjua ananisifiaga sana shape yangu. Mume wangu fell for the trick alini follow back na akani'dm.

Utata ukaanza hapo, niliumia ila ndo maji nishayavulia nguo sharti kuyaoga.

Tulichart kule for weeks mpaka alipokuja kuniomba namba ya simu. Sikuwa na namba nyengine tofauti na anayoijua yeye, so sikumpa mpaka niliposajili namba nyengine kwa majina mengine.

Tukaanza chart whatsapp.

Akanitongoza tena akaniambia hana mke, mke wake alishakufa kwa ajali. Jamani nyie wanaume ni mbwa [emoji706][emoji706]

Cha ajabu sasa, nikimuomba hela kama mchepuko kule HANIPI ananipiga viswahili vingi. Ila nyumbani ana provide kama kawaida na pesa ananipa.

Nishindwa kumuelewa, kule kwenye identity fake anafosi sana tukutane, pesa hataki kutoa. Huku kwenye uhalisia wangu ananipa pesa kama kawaida na hajapunguza hata chembe ya upendo wake kwangu.

Je, amenistukia niachane na huo mchezo? Au niendelee nitakachokitafuta nitakipata?
lengo lako nini hasa?kwanini unataka kuharibu ndoa yako kwa ukware wa wanaume,kitu ambacho kinaeleweka.
unatunzwa vizuri na mapenzi unatoa,sasa kiherehere cha nini,kumbuka mkataa pema pabaya panamwita
 
Za asubuhi wana jamvi. Ngoja niende kwenye lengo la uzi.

I have been with this man for 8 years, tumefunga ndoa mwaka juzi kiufupi ndoa yetu ina miaka mitatu mahusiano miaka nane.

To be honest, Mr ananipenda sana. Ananijali ananisapoti, nashukuru Mungu kwa hilo.

Sasa miezi miwili iliyopita nikafikiria jambo, nikataka nimjaribu mume wangu niupime upendo wake. Je, ananipenda kweli nje ndani au ndo maigizo ya wanaume.

Nikatengeneza akaunti feki instagram nikam'follow. Nilichagua mrembo mmoja mwenye matako matako nikajaza picha zake, mume wangu si namjua ananisifiaga sana shape yangu. Mume wangu fell for the trick alini follow back na akani'dm.

Utata ukaanza hapo, niliumia ila ndo maji nishayavulia nguo sharti kuyaoga.

Tulichart kule for weeks mpaka alipokuja kuniomba namba ya simu. Sikuwa na namba nyengine tofauti na anayoijua yeye, so sikumpa mpaka niliposajili namba nyengine kwa majina mengine.

Tukaanza chart whatsapp.

Akanitongoza tena akaniambia hana mke, mke wake alishakufa kwa ajali. Jamani nyie wanaume ni mbwa [emoji706][emoji706]

Cha ajabu sasa, nikimuomba hela kama mchepuko kule HANIPI ananipiga viswahili vingi. Ila nyumbani ana provide kama kawaida na pesa ananipa.

Nishindwa kumuelewa, kule kwenye identity fake anafosi sana tukutane, pesa hataki kutoa. Huku kwenye uhalisia wangu ananipa pesa kama kawaida na hajapunguza hata chembe ya upendo wake kwangu.

Je, amenistukia niachane na huo mchezo? Au niendelee nitakachokitafuta nitakipata?
Wewe ni mpumbavu pigia mstari neno mpumbavu
 
Za asubuhi wana jamvi. Ngoja niende kwenye lengo la uzi.

I have been with this man for 8 years, tumefunga ndoa mwaka juzi kiufupi ndoa yetu ina miaka mitatu mahusiano miaka nane.

To be honest, Mr ananipenda sana. Ananijali ananisapoti, nashukuru Mungu kwa hilo.

Sasa miezi miwili iliyopita nikafikiria jambo, nikataka nimjaribu mume wangu niupime upendo wake. Je, ananipenda kweli nje ndani au ndo maigizo ya wanaume.

Nikatengeneza akaunti feki instagram nikam'follow. Nilichagua mrembo mmoja mwenye matako matako nikajaza picha zake, mume wangu si namjua ananisifiaga sana shape yangu. Mume wangu fell for the trick alini follow back na akani'dm.

Utata ukaanza hapo, niliumia ila ndo maji nishayavulia nguo sharti kuyaoga.

Tulichart kule for weeks mpaka alipokuja kuniomba namba ya simu. Sikuwa na namba nyengine tofauti na anayoijua yeye, so sikumpa mpaka niliposajili namba nyengine kwa majina mengine.

Tukaanza chart whatsapp.

Akanitongoza tena akaniambia hana mke, mke wake alishakufa kwa ajali. Jamani nyie wanaume ni mbwa [emoji706][emoji706]

Cha ajabu sasa, nikimuomba hela kama mchepuko kule HANIPI ananipiga viswahili vingi. Ila nyumbani ana provide kama kawaida na pesa ananipa.

Nishindwa kumuelewa, kule kwenye identity fake anafosi sana tukutane, pesa hataki kutoa. Huku kwenye uhalisia wangu ananipa pesa kama kawaida na hajapunguza hata chembe ya upendo wake kwangu.

Je, amenistukia niachane na huo mchezo? Au niendelee nitakachokitafuta nitakipata?
Wewe ni mpumbavu pigia mstari neno mpumbavu
 
[emoji38][emoji38][emoji38] aiseee sisi wanawake ndio maana tunaachwa kila siku maana wenyewe hatujielewi na hatujui tunachokitaka kwenye maisha

Naona umejijibu mwenyewe hapo mwisho endelea na unachokitafuta utakipata[emoji57]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpumbavu huyu sijui aliokotwa bar akiwa mhudumu sijui . Mtu aliyelelewa na wazazi hawezi kufanya huo ujinga anatuletea hapa?
 
Huku kwenye uhalisia wangu ananipa pesa kama kawaida na hajapunguza hata chembe ya upendo wake kwangu.
Ndio maana kila siku tunawaambia mume/mwanamume akichepuka haimaanishi kuwa hakupendi.

Tunawapenda sana wake zetu/wapenzi wetu ni tamaa tu ndogondogo zinatufanya tuchepuke
 
Za asubuhi wana jamvi. Ngoja niende kwenye lengo la uzi.

I have been with this man for 8 years, tumefunga ndoa mwaka juzi kiufupi ndoa yetu ina miaka mitatu mahusiano miaka nane.

To be honest, Mr ananipenda sana. Ananijali ananisapoti, nashukuru Mungu kwa hilo.

Sasa miezi miwili iliyopita nikafikiria jambo, nikataka nimjaribu mume wangu niupime upendo wake. Je, ananipenda kweli nje ndani au ndo maigizo ya wanaume.

Nikatengeneza akaunti feki instagram nikam'follow. Nilichagua mrembo mmoja mwenye matako matako nikajaza picha zake, mume wangu si namjua ananisifiaga sana shape yangu. Mume wangu fell for the trick alini follow back na akani'dm.

Utata ukaanza hapo, niliumia ila ndo maji nishayavulia nguo sharti kuyaoga.

Tulichart kule for weeks mpaka alipokuja kuniomba namba ya simu. Sikuwa na namba nyengine tofauti na anayoijua yeye, so sikumpa mpaka niliposajili namba nyengine kwa majina mengine.

Tukaanza chart whatsapp.

Akanitongoza tena akaniambia hana mke, mke wake alishakufa kwa ajali. Jamani nyie wanaume ni mbwa [emoji706][emoji706]

Cha ajabu sasa, nikimuomba hela kama mchepuko kule HANIPI ananipiga viswahili vingi. Ila nyumbani ana provide kama kawaida na pesa ananipa.

Nishindwa kumuelewa, kule kwenye identity fake anafosi sana tukutane, pesa hataki kutoa. Huku kwenye uhalisia wangu ananipa pesa kama kawaida na hajapunguza hata chembe ya upendo wake kwangu.

Je, amenistukia niachane na huo mchezo? Au niendelee nitakachokitafuta nitakipata?
Jinga kabisa.
Oya KATAENI NDOA TU KAMA WAKE WENYEWE NDIYO HAWA.
 
Back
Top Bottom