Wewe ni mwanamke mjinga, unachokitafuta utakipata.Za asubuhi wana jamvi. Ngoja niende kwenye lengo la uzi.
I have been with this man for 8 years, tumefunga ndoa mwaka juzi kiufupi ndoa yetu ina miaka mitatu mahusiano miaka nane.
To be honest, Mr ananipenda sana. Ananijali ananisapoti, nashukuru Mungu kwa hilo.
Sasa miezi miwili iliyopita nikafikiria jambo, nikataka nimjaribu mume wangu niupime upendo wake. Je, ananipenda kweli nje ndani au ndo maigizo ya wanaume.
Nikatengeneza akaunti feki instagram nikam'follow. Nilichagua mrembo mmoja mwenye matako matako nikajaza picha zake, mume wangu si namjua ananisifiaga sana shape yangu. Mume wangu fell for the trick alini follow back na akani'dm.
Utata ukaanza hapo, niliumia ila ndo maji nishayavulia nguo sharti kuyaoga.
Tulichart kule for weeks mpaka alipokuja kuniomba namba ya simu. Sikuwa na namba nyengine tofauti na anayoijua yeye, so sikumpa mpaka niliposajili namba nyengine kwa majina mengine.
Tukaanza chart whatsapp.
Akanitongoza tena akaniambia hana mke, mke wake alishakufa kwa ajali. Jamani nyie wanaume ni mbwa [emoji706][emoji706]
Cha ajabu sasa, nikimuomba hela kama mchepuko kule HANIPI ananipiga viswahili vingi. Ila nyumbani ana provide kama kawaida na pesa ananipa.
Nishindwa kumuelewa, kule kwenye identity fake anafosi sana tukutane, pesa hataki kutoa. Huku kwenye uhalisia wangu ananipa pesa kama kawaida na hajapunguza hata chembe ya upendo wake kwangu.
Je, amenistukia niachane na huo mchezo? Au niendelee nitakachokitafuta nitakipata?
Kile ulikuwa unatafuta Endelea nachoZa asubuhi wana jamvi. Ngoja niende kwenye lengo la uzi.

Asa kisamvuMumeo yuko sawa na mimi. Huwa situmi hela kwa mtu niliyekutana nae mtandaoni na sijamuona live. Hii ni kwa sababu kuna akaunti feki hata za vidume nao wanaomba hela. Lakini haina maana kama huyo anayemuona ni mwanamke atamkataa kama akimuona live. Kama angekuwa mtu mwingine mwenye sifa ulizoziweka angemchakata tu na huo ndo ukweli mchungu. Ndugu zetu wanawake inabidi muelewe tu kuwa hata kama una uzuri namna gani lakini kuna wakati tunatamani kubadilisha 'mboga', huwezi ukawa unakula kuku kila siku, siku zingine utatamani kula mboga za maboga.
mjinga wewe, unachokitafuta utakipataZa asubuhi wana jamvi. Ngoja niende kwenye lengo la uzi.
I have been with this man for 8 years, tumefunga ndoa mwaka juzi kiufupi ndoa yetu ina miaka mitatu mahusiano miaka nane.
To be honest, Mr ananipenda sana. Ananijali ananisapoti, nashukuru Mungu kwa hilo.
Sasa miezi miwili iliyopita nikafikiria jambo, nikataka nimjaribu mume wangu niupime upendo wake. Je, ananipenda kweli nje ndani au ndo maigizo ya wanaume.
Nikatengeneza akaunti feki instagram nikam'follow. Nilichagua mrembo mmoja mwenye matako matako nikajaza picha zake, mume wangu si namjua ananisifiaga sana shape yangu. Mume wangu fell for the trick alini follow back na akani'dm.
Utata ukaanza hapo, niliumia ila ndo maji nishayavulia nguo sharti kuyaoga.
Tulichart kule for weeks mpaka alipokuja kuniomba namba ya simu. Sikuwa na namba nyengine tofauti na anayoijua yeye, so sikumpa mpaka niliposajili namba nyengine kwa majina mengine.
Tukaanza chart whatsapp.
Akanitongoza tena akaniambia hana mke, mke wake alishakufa kwa ajali. Jamani nyie wanaume ni mbwa [emoji706][emoji706]
Cha ajabu sasa, nikimuomba hela kama mchepuko kule HANIPI ananipiga viswahili vingi. Ila nyumbani ana provide kama kawaida na pesa ananipa.
Nishindwa kumuelewa, kule kwenye identity fake anafosi sana tukutane, pesa hataki kutoa. Huku kwenye uhalisia wangu ananipa pesa kama kawaida na hajapunguza hata chembe ya upendo wake kwangu.
Je, amenistukia niachane na huo mchezo? Au niendelee nitakachokitafuta nitakipata?
[emoji23][emoji23]Usimjaribu bwana Mungu wako...
Hili ndio jibuha[emoji2][emoji2][emoji2] achana nae usijepata stroke uyo mumeo anakupenda sana ila anapitia mitihani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza id yako inasema MtuacheZa asubuhi wana jamvi. Ngoja niende kwenye lengo la uzi.
I have been with this man for 8 years, tumefunga ndoa mwaka juzi kiufupi ndoa yetu ina miaka mitatu mahusiano miaka nane.
To be honest, Mr ananipenda sana. Ananijali ananisapoti, nashukuru Mungu kwa hilo.
Sasa miezi miwili iliyopita nikafikiria jambo, nikataka nimjaribu mume wangu niupime upendo wake. Je, ananipenda kweli nje ndani au ndo maigizo ya wanaume.
Nikatengeneza akaunti feki instagram nikam'follow. Nilichagua mrembo mmoja mwenye matako matako nikajaza picha zake, mume wangu si namjua ananisifiaga sana shape yangu. Mume wangu fell for the trick alini follow back na akani'dm.
Utata ukaanza hapo, niliumia ila ndo maji nishayavulia nguo sharti kuyaoga.
Tulichart kule for weeks mpaka alipokuja kuniomba namba ya simu. Sikuwa na namba nyengine tofauti na anayoijua yeye, so sikumpa mpaka niliposajili namba nyengine kwa majina mengine.
Tukaanza chart whatsapp.
Akanitongoza tena akaniambia hana mke, mke wake alishakufa kwa ajali. Jamani nyie wanaume ni mbwa [emoji706][emoji706]
Cha ajabu sasa, nikimuomba hela kama mchepuko kule HANIPI ananipiga viswahili vingi. Ila nyumbani ana provide kama kawaida na pesa ananipa.
Nishindwa kumuelewa, kule kwenye identity fake anafosi sana tukutane, pesa hataki kutoa. Huku kwenye uhalisia wangu ananipa pesa kama kawaida na hajapunguza hata chembe ya upendo wake kwangu.
Je, amenistukia niachane na huo mchezo? Au niendelee nitakachokitafuta nitakipata?
Akizaa na mchezo unaishia hapoAzae Chap Chap Apunguze Kuperuzi Na Kudadisi Kwenye Mitandao
Hapana sio kwamba wanachepuka Ila wanajiepusha na mabalaa ya Nafsi na Miili yao, Roho iradhi Ila Mwili ni dhaifuHao wasiochukia hilo na wao ni wachepukaji.
"birds of the same feather flock together".
Umeelewa ulichokiandika boss?
Umestukiwa na ujue umetongozwa na mbwa unayemuita mumeo
Hahahahahaha I love thisUmeelewa ulichokiandika boss?