Mume wangu ananisaliti, Usaliti wake unashangaza

Ukimchunguza bata humli.

Fata yako, mradi unaishi vizuri usitake kujuwa mwenzako anafanya yepi nje mradi unaelewa anakwenda kwenye shughuli zake za halali.

Amrishaneni mema na mkatazane maovu kistaha.

Msifanyiane ujasusi, kufanyiana ujasusi ni dhambi.
Kuna wanawake hawachukii waume zao wa Ndoa kuchepuka wanachochukia ni wanaume kuchepukia ndani ya nyumba zao wanazoishi
 
Za asubuhi wana jamvi. Ngoja niende kwenye lengo la uzi.

I have been with this man for 8 years, tumefunga ndoa mwaka juzi kiufupi ndoa yetu ina miaka mitatu mahusiano miaka nane.

To be honest, Mr ananipenda sana. Ananijali ananisapoti, nashukuru Mungu kwa hilo.

Sasa miezi miwili iliyopita nikafikiria jambo, nikataka nimjaribu mume wangu niupime upendo wake. Je, ananipenda kweli nje ndani au ndo maigizo ya wanaume.

Nikatengeneza akaunti feki instagram nikam'follow. Nilichagua mrembo mmoja mwenye matako matako nikajaza picha zake, mume wangu si namjua ananisifiaga sana shape yangu. Mume wangu fell for the trick alini follow back na akani'dm.

Utata ukaanza hapo, niliumia ila ndo maji nishayavulia nguo sharti kuyaoga.

Tulichart kule for weeks mpaka alipokuja kuniomba namba ya simu. Sikuwa na namba nyengine tofauti na anayoijua yeye, so sikumpa mpaka niliposajili namba nyengine kwa majina mengine.

Tukaanza chart whatsapp.

Akanitongoza tena akaniambia hana mke, mke wake alishakufa kwa ajali. Jamani nyie wanaume ni mbwa [emoji706][emoji706]

Cha ajabu sasa, nikimuomba hela kama mchepuko kule HANIPI ananipiga viswahili vingi. Ila nyumbani ana provide kama kawaida na pesa ananipa.

Nishindwa kumuelewa, kule kwenye identity fake anafosi sana tukutane, pesa hataki kutoa. Huku kwenye uhalisia wangu ananipa pesa kama kawaida na hajapunguza hata chembe ya upendo wake kwangu.

Je, amenistukia niachane na huo mchezo? Au niendelee nitakachokitafuta nitakipata?
Imeandikwa usimtie majaribuni Bali muokoe na yule mwovu
 
Sasa ukisema mbwa sijakuelewa maana kuna mazingira hiyo mbwa ni mtu wa kazi mfano ukisikia jibwa kwa QRF ujue mtu ya kazi hasa. Tukirudi katika issue yako mbona Mr haja misbehave ungeona miamala ya kila mara hapo kuna ulakini kiukweli.
Je kama kashtukia anakuchora tu? Fikiria vyote..
 
Za asubuhi wana jamvi. Ngoja niende kwenye lengo la uzi.

I have been with this man for 8 years, tumefunga ndoa mwaka juzi kiufupi ndoa yetu ina miaka mitatu mahusiano miaka nane.

To be honest, Mr ananipenda sana. Ananijali ananisapoti, nashukuru Mungu kwa hilo.

Sasa miezi miwili iliyopita nikafikiria jambo, nikataka nimjaribu mume wangu niupime upendo wake. Je, ananipenda kweli nje ndani au ndo maigizo ya wanaume.

Nikatengeneza akaunti feki instagram nikam'follow. Nilichagua mrembo mmoja mwenye matako matako nikajaza picha zake, mume wangu si namjua ananisifiaga sana shape yangu. Mume wangu fell for the trick alini follow back na akani'dm.

Utata ukaanza hapo, niliumia ila ndo maji nishayavulia nguo sharti kuyaoga.

Tulichart kule for weeks mpaka alipokuja kuniomba namba ya simu. Sikuwa na namba nyengine tofauti na anayoijua yeye, so sikumpa mpaka niliposajili namba nyengine kwa majina mengine.

Tukaanza chart whatsapp.

Akanitongoza tena akaniambia hana mke, mke wake alishakufa kwa ajali. Jamani nyie wanaume ni mbwa [emoji706][emoji706]

Cha ajabu sasa, nikimuomba hela kama mchepuko kule HANIPI ananipiga viswahili vingi. Ila nyumbani ana provide kama kawaida na pesa ananipa.

Nishindwa kumuelewa, kule kwenye identity fake anafosi sana tukutane, pesa hataki kutoa. Huku kwenye uhalisia wangu ananipa pesa kama kawaida na hajapunguza hata chembe ya upendo wake kwangu.

Je, amenistukia niachane na huo mchezo? Au niendelee nitakachokitafuta nitakipata?
Eti wanaume wote mbwa, mbwa ni mmeo tu mfyuuuuuzy yako!
 
Mumeo yuko sawa na mimi. Huwa situmi hela kwa mtu niliyekutana nae mtandaoni na sijamuona live. Hii ni kwa sababu kuna akaunti feki hata za vidume nao wanaomba hela. Lakini haina maana kama huyo anayemuona ni mwanamke atamkataa kama akimuona live.

Kama angekuwa mtu mwingine mwenye sifa ulizoziweka angemchakata tu na huo ndo ukweli mchungu. Ndugu zetu wanawake inabidi muelewe tu kuwa hata kama una uzuri namna gani lakini kuna wakati tunatamani kubadilisha 'mboga', huwezi ukawa unakula kuku kila siku, siku zingine utatamani kula mboga za maboga.
 
Umeshaharibu ndoa yako na soon utapata unachokitafuta. Sisi kutongoza na kuchepuka kidogo ni sehemu ya kupima uanaume wetu. Narudia Umeshaharibu ndoa yako na soon utapata unachokitafuta. Yaani kwa kifupi ushaharibu cause hata ukiacha hilo ulilofanya bado akili yako itakuwa ikimtafsiri tofauti man wako.
 
Sasa miezi miwili iliyopita nikafikiria jambo, nikataka nimjaribu mume wangu niupime upendo wake. Je, ananipenda kweli nje ndani au ndo maigizo ya wanaume.

Nikatengeneza akaunti feki instagram nikam'follow. Nilichagua mrembo mmoja mwenye matako matako nikajaza picha zake, mume wangu si namjua ananisifiaga sana shape yangu. Mume wangu fell for the trick alini follow back na akani'dm.
Mumeo anakupenda, ila upendo wa mwanaume haupo hivyo wala haupimwi hivyo.
Mtego huo hata askofu au shekhe wako ananasa.
Utamuonea bure huyo mwamba!
 
Za asubuhi wana jamvi. Ngoja niende kwenye lengo la uzi.

I have been with this man for 8 years, tumefunga ndoa mwaka juzi kiufupi ndoa yetu ina miaka mitatu mahusiano miaka nane.

To be honest, Mr ananipenda sana. Ananijali ananisapoti, nashukuru Mungu kwa hilo.

Sasa miezi miwili iliyopita nikafikiria jambo, nikataka nimjaribu mume wangu niupime upendo wake. Je, ananipenda kweli nje ndani au ndo maigizo ya wanaume.

Nikatengeneza akaunti feki instagram nikam'follow. Nilichagua mrembo mmoja mwenye matako matako nikajaza picha zake, mume wangu si namjua ananisifiaga sana shape yangu. Mume wangu fell for the trick alini follow back na akani'dm.

Utata ukaanza hapo, niliumia ila ndo maji nishayavulia nguo sharti kuyaoga.

Tulichart kule for weeks mpaka alipokuja kuniomba namba ya simu. Sikuwa na namba nyengine tofauti na anayoijua yeye, so sikumpa mpaka niliposajili namba nyengine kwa majina mengine.

Tukaanza chart whatsapp.

Akanitongoza tena akaniambia hana mke, mke wake alishakufa kwa ajali. Jamani nyie wanaume ni mbwa [emoji706][emoji706]

Cha ajabu sasa, nikimuomba hela kama mchepuko kule HANIPI ananipiga viswahili vingi. Ila nyumbani ana provide kama kawaida na pesa ananipa.

Nishindwa kumuelewa, kule kwenye identity fake anafosi sana tukutane, pesa hataki kutoa. Huku kwenye uhalisia wangu ananipa pesa kama kawaida na hajapunguza hata chembe ya upendo wake kwangu.

Je, amenistukia niachane na huo mchezo? Au niendelee nitakachokitafuta nitakipata?
Endelea utakipata unachokitafuta
 
Back
Top Bottom