Mume wangu ananinyima unyumba

Mume wangu ananinyima unyumba

Kuna kuna mtu kaanzisha thread yeye kanyimwa unyumba na mkewe. What a coincidence? kwanini msikutane maana nyinyi wote ni wanyimwa....
 
Kwanza Karibu JF. Na hongera kwa kutimiza miaka 46. Mumeo nadhani Ana miaka hiyo hiyo au zaidi yako. Labda muda wenu umepitiliza sasa angalieni jinsi ya kukuza vijana na wajukuu Kama wapo. Kuwa mpole IPO siku inashtukaga, Utapewa haki yako.
 
pole sana ila inakubidi uwe nauvumilivu wa hali ya juu.katika haya maisha kuna wakati mtu huwa anakwenda astray, huwa anapotea njia inaweza kuwa kwa kukamatwa huko nje au bado akili ilikuwa haijakomaa kusettle katika ndoa.Hivyo inafika wakati anafanya mambo ya ajabu ajabu kweli.sasa upepo huo umemnasa mumeo,nashauri uwe mvumilivu sana kwani upepo utapita tu na kila kitu kitakuwa normal.sishauri uchepukw but ukitokea hakikisha asijue chochote wala asiwe na mashaka na wewe kwani upepo utakapopita kwani atakapojirudi akikuta na wewe ulikuwa kama yeye basi ndoa kwishney but akikuta uko poa atakupenda na kikuheshimu daima.
Huu ni muda ambao ndoa nyingi huishia hapa,uvumilivu mmoja utaokoa kila kitu kwa manufaa ya watoto
Ushauri bora kabisa mtoa Mada fuata hii ni muhimu (UVUMILIVU)
 
Kwanza Karibu JF. Na hongera kwa kutimiza miaka 46. Mumeo nadhani Ana miaka hiyo hiyo au zaidi yako. Labda muda wenu umepitiliza sasa angalieni jinsi ya kukuza vijana na wajukuu Kama wapo. Kuwa mpole IPO siku inashtukaga, Utapewa haki yako.
Ningekua na huo umri ningeshukuru kwa kuwa pengine nisingekua na hisia za mapenzi tena.siamini kama tendo la dakika 5-20 linaweza kuathiri ukuaji wa watoto.
 
Habari zenu,
Mimi ni mwanamke mwenye watoto wawili na nipo kwenye ndoa kwa miaka nane sasa.

Tumekuwa tukiishi maisha ya ugomvi kwa muda na mume wangu, ila nikaona ni vyema nijishushe na nisihoji chochote.

Mimi ndiye ninahangaika na familia na mambo yote
hakai kujadili jambo lolote la maana na mimi.

Binafsi niliona nijishushe na nisihoji chochote ila tatizo limekua ni kwenye unyumba.

Kwa kweli navumilia sana tunalala pamoja najitahidi kujiweka safi, kubadili mazingira ya chumba, manukato na hata mavazi lakini wapi!

Naweza nikamfanyia vikorombwezo vyote ila atageukia upande wa pili na kukoroma nimemsihi sana yeye anasema anawaza maisha hawezi kuendekeza ngono.

Tunaweza kukaa mpaka miezi mitatu hatujakutana,
hili swala linanikondesha jamani naombeni njia ya kujinasua katika hili janga.
WEWE UPO WAPI ILI TUKUTANE NIKUSHAURI
 
Kuna vitu vya kususa lkn siyo hicho, atakuwa na matatizo hyo.. Ni pm kwa ushauri zaid
 
Pole mwaya.... Sasa ndoa ni tendo la ndoa kama unalikosa inakuwaje hapo? Kamsemehe kwa baba paroko.
 
Nakuomba Monica mtoto mzuri ni PM tuyamalize mamah. Kwanini uteseke wakati mimi nipo mamah.... Tafadhari ni PM mpendwa.
 
Ningekua na huo umri ningeshukuru kwa kuwa pengine nisingekua na hisia za mapenzi tena.siamini kama tendo la dakika 5-20 linaweza kuathiri ukuaji wa watoto.
Monika2 mie sijakurupuka. Kuna mada mtu akituma inabidi upitie profile yake ili uweze kumshauri kulingana na unayoyasoma kwenye profile yake. Kwa mujibu wa profile yako umezaliwa Jan 1, 1970. Pumzika mama.
 
Back
Top Bottom