Haki sawa kwa wote, tunapeana na kunyimanaWanaume tujichunguze kwa hili, naona wanawake wamekuwa frustrated sana na mambo ya unyumba, seems we don't fulfil our obligations well.
Mtu ameacha wazazi na kuambatana na wewe for reasons, moja na kubwa sana ni hiyo, ni LAZIMA umfurahishe mkeo kwa kumpa unyumba vya kutosha.
Zamani nilikuwa nasoma kuwa wake huwanyima waume zao unyumba...naona sasa kibao kimegeuka, sad..sad!!!
Monica2 Lazima Mzee anatatizo si BURE ama amepigwa kipapai au jogoo hataki, nenda pole poleHabari zenu,
Mimi ni mwanamke mwenye watoto wawili na nipo kwenye ndoa kwa miaka nane sasa.Tumekuwa tukiishi maisha ya ugomvi kwa muda na mume wangu, ila nikaona ni vyema nijishushe na nisihoji chochote.Mimi ndiye ninahangaika na familia na mambo yote hakai kujadili jambo lolote la maana na mimi.
Binafsi niliona nijishushe na nisihoji chochote ila tatizo limekua ni kwenye unyumba. Kwa kweli navumilia sana tunalala pamoja najitahidi kujiweka safi, kubadili mazingira ya chumba, manukato na hata mavazi lakini wapi!
Naweza nikamfanyia vikorombwezo vyote ila atageukia upande wa pili na kukoroma nimemsihi sana yeye anasema anawaza maisha hawezi kuendekeza ngono.Tunaweza kukaa mpaka miezi mitatu hatujakutana,hili swala linanikondesha jamani.
Naombeni njia ya kujinasua katika hili janga.
Si kweli Mimi ninamiaka 60+ na Mke wangu miaka 53 na tunapiga mechi kama kawa, nakubaliana la kiafya, mshikaji wake lazima anatatizo, alafu hata kama kaichoka lazima kungekua na dalili za uchepukaji!!Pole. Nadhani main problem ni communication. Lazima mkae chini na kulijadili suala hii. otherwise ndoa inakuwa ni ndoano. Kuna mtu aliniambia K moja inachosha kwa baadhi ya watu. Sasa miaka 8 ni mingi inawezekana keshaichoka hiyo K hivyo katafuta pembeni. Try to find out tatizo ni nini kabla ya kumake conclusion. Inawezekana ana matatizo ya kiafya.
Miaka 60?unatumia neno kama kawa mara mshkaji wake haya ndugu umezeeka mwili ila ubaharia upo kwenye damu.Si kweli Mimi ninamiaka 60+ na Mke wangu miaka 53 na tunapiga mechi kama kawa, nakubaliana la kiafya, mshikaji wake lazima anatatizo, alafu hata kama kaichoka lazima kungekua na dalili za uchepukaji!!
kama hajaki hata watt sasa ni shidah mm nkazan anakataa tu kutiana
Ni kweliUkute anakuepusha na ukimwi,
Habari zenu,