Amina kubwa mkuu, ni kweli kabisaa mtoto anweza kuwa mkubwa. Anyway, yote kwa yote sijui kama wewe ndo monica mtoa ujumbe au vinginevyo
1. Jina lako linaweza kuwa linashabihiana sana na tabia na akili yako.
2. Tatizo la kutokuwa na hamu ya kufanya mapenzi sina uhakika sana kama ndiyo tatizo la kutodinda.
3. Unapaswa ufahamu physiological differences kati ya mwanamke na mwanaume - mwanamke hata kama hana hamu ya kufanya mapenzi, bado anaweza kushiriki ngono kwasababu sexual parts ni intrinsic, then only difference you will notice ni fluid content. Kwa mwanaume hali ni tofauti kwasababu yuko extrinsic, so ni lazima erection ifanyike. Kufanya erection kunahusisha sana ubongo, so kama hana mawazo, ana stress, ana matatizo ya kifamilia, hana fedha, n.k bado inaweza kumsababishia kushindwa kudinda, na kama itadinda will be not very firm, and for a while
Mwisho ni kushukuru kwa kuchukua muda wako kujibu bila kutafakari nilichoandika, na Mungu wangu akubariki sana