Mume wangu ananinyima unyumba

Mume wangu ananinyima unyumba

Hapo umetangaza ajira, wale mabazaz nina uhakika mpaka mda huu umepokea pm zaid ya 13
 
ndoa inahitaji kujitoa na sacrifices wait sisi wanaume kuna wakati kama mambo hayaend tunakua so dipressed . huyo ni baba watt wako tengeneza mazngira rafiki mazuri ongea nae ujue tatzo umpe nafas ya kujiexpress utapata jibu
 
Super human nimejishusha sana, nimekua kama mtumwa kwake kila anachosema nafuata ili kumridhisha, najitahidi kujipendekeza lakini naambulia machozi tu.
 
Fanya hivi muambie naomba tutoke out siku moja kama anapga kilevi nunua kidogo kwanza mwambie how you feel, mpe counselling kua haya maisha ni kufight na kumwachia Mungu, mwambie unavyomjal na kumpenda kama hio nayo inashindikana chunguza kdogo labda yuppo mwenziio
 
Super human nimejishusha sana, nimekua kama mtumwa kwake kila anachosema nafuata ili kumridhisha, najitahidi kujipendekeza lakini naambulia machozi tu.
Yan we usijipendekeze,we ndo anza kukataa akikwambia af usimpe sifa ajisikie kuwa ye ndo anatafutwa kiivyo unampunguzia steem.sikuzote binadam wanapenda vilivyo vigum kuvipata mumie
 
hiyo ya outing hataki kusikia jamani, pombe hanywi,hilo la kufight naona uongo tu labda kama ana familia nyingine huko.
 
Yan we usijipendekeze,we ndo anza kukataa akikwambia af usimpe sifa ajisikie kuwa ye ndo anatafutwa kiivyo unampunguzia steem.sikuzote binadam wanapenda vilivyo vigum kuvipata mumie
hapo nimejikaza niombwe ila naambulia patupu,
 
habari zenu,
mimi ni mwanamke mwenye watoto wawili na nipo kwenye ndoa kwa miaka nane sasa,
tumekua tukiishi maisha ya ugomvi kwa muda na mume wangu, ila nikaona ni vyema nijishushe na nisihoji chochote,
mimi ndiye ninahangaika na familia na mambo yote
hakai kujadili jambo lolote la maana na mimi.
binafsi niliona nijishushe na nisihoji chochote ila tatizo limekua ni kwenye unyumba,
kwa kweli navumilia sana tunalala pamoja najitahidi kujiweka safi, kubadili mazingira ya chumba, manukato na hata mavazi lakini wapi!
naweza nikamfanyia vikorombwezo vyote ila atageukia upande wa pili na kukoroma,
nimemsihi sana yeye anasema anawaza maisha hawezi kuendekeza ngono,
tunaweza kukaa mpaka miezi mitatu hatujakutana,
hili swala linanikondesha jamani naombeni njia ya kujinasua katika hili janga.

pole sana ila inakubidi uwe nauvumilivu wa hali ya juu.katika haya maisha kuna wakati mtu huwa anakwenda astray, huwa anapotea njia inaweza kuwa kwa kukamatwa huko nje au bado akili ilikuwa haijakomaa kusettle katika ndoa.Hivyo inafika wakati anafanya mambo ya ajabu ajabu kweli.sasa upepo huo umemnasa mumeo,nashauri uwe mvumilivu sana kwani upepo utapita tu na kila kitu kitakuwa normal.sishauri uchepukw but ukitokea hakikisha asijue chochote wala asiwe na mashaka na wewe kwani upepo utakapopita kwani atakapojirudi akikuta na wewe ulikuwa kama yeye basi ndoa kwishney but akikuta uko poa atakupenda na kikuheshimu daima.
Huu ni muda ambao ndoa nyingi huishia hapa,uvumilivu mmoja utaokoa kila kitu kwa manufaa ya watoto
 
nimejitahidi sana nisiweke hili jambo wazi ili kuistiri ndoa yetu,
mpaka nimeandika hapa naona uvumilivu unanishinda,
ahsante sana kwa ushauri wako.

Unaposema kwamba wewe unasitiri ndoa yako manaake ni kwamba wewe umeshajikubalishe ''Ufe na utamu wako'', Haya mambo ambayo nakueleza ni katika ushauri wa kidini ili wewe usijekufanya maasi kwa vile mumeo hataki.

Lakini pia ni changamoto huenda huyu mumeo akiona sasa una mpango wa kutafuta mume mwengine na unamdai talaka anaweza akajiskia wivu akakupatia haja zako kisawasawa vyenginevyo ataendelea kukutesa. Asikudanganye mtu dadang mume ulienaye ndani miezi 3 hajakupiga kazi lazima atakuwa anapata haja zake kwa murua njee.
 
Super human nimejishusha sana, nimekua kama mtumwa kwake kila anachosema nafuata ili kumridhisha, najitahidi kujipendekeza lakini naambulia machozi tu.
Mkuu wewe Ke shupavu na jasiri hebu sema "sasa basi" itoke moyoni kwako, hapana kumuuliza hapana kumgusa jihesabu kwamba wewe ni mjane anza maisha yako na wanao ujipange hutoshindwa na hutojilaumu siku akikuambia geukia huku kataa hadi mkapime hata kama atakupiga, usikubali maana kuna dalili zote za kuacha watoto yatima kwa upuuzi ati unampenda, ujipange uondoke, Ke hatuko hivyo siku hizi
 
Last edited:
ndoa inahitaji kujitoa na sacrifices wait sisi wanaume kuna wakati kama mambo hayaend tunakua so dipressed . huyo ni baba watt wako tengeneza mazngira rafiki mazuri ongea nae ujue tatzo umpe nafas ya kujiexpress utapata jibu
Mkuu hii sio ndoa ni ndoano ikishafikia me hajali hata watoto wake,bado atasema ana ndoa, hakuna ndoa hapo
 
Back
Top Bottom