Mume wangu ananinyima unyumba

Mume wangu ananinyima unyumba

Badilisheni mazingira, badili namna unavotandika kitanda chenu, mpangilio wa chumba, wakati mwingine shusheni godoro chini, au hata kulala chini ikiwezekana, kuweni wabunifu wa kubadili mandhari ya nyumba(nyumbani hasa ndani)
 
"Mume na ampe mkewe haki yake,na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake. Mke hana amri juu ya mwili wake bali mumewe,vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake bali mkewe(2 korintho 7:3-4)

Mwambie mumeo tumeagizwa tusinyimane
 
ndoa inahitaji kujitoa na sacrifices wait sisi wanaume kuna wakati kama mambo hayaend tunakua so dipressed . huyo ni baba watt wako tengeneza mazngira rafiki mazuri ongea nae ujue tatzo umpe nafas ya kujiexpress utapata jibu
Inawezekana kabisa mmoja wenu anasumbuliwa na mume au mke jini. Hii hufanya wanandoa kushindwa kukutana kwa sababu hao mume /mke jini anakuwa anazuia tendo la ndoa ili amfaidi anayemtaka. Huyu anakuja kupitia ndoto au mafarakano au mawazo mabaya. Akiingia ni lazima ndoa ipate mtikisiko. Magomvi yasiyoisha, makelele,kumuona mwenzako hafai na mwenye kasoro nyingi. Kikubwa ni kuomba MUNGU aondoe hayo majini. Ukiweza funga na kuomba
 
Duh! Miezi mi3, wengine siku 2 zikipita tunaanza kuhisi tunanyimwa makusudi
 
Pole sana mdada. Usikate tamaa na ndoa yako hayo ni majaribu tu piga goti kila siku muombee mumeo na mungu atamrudisha kwenye njia sahihi. Yawezekana ana stress za kazi au kuna jambo ambalo linamtatiza hapo nyumban. JAribu kumuomba muda wa faragha muongee umuulize nini kimachomsibu.
 
Monica kuna vitu kadhaa.

1. Inawezekana anaumwa magonjwa ya huko chini. Kwa sababu hamna utaratibu wa kutumia condom na anakupenda anapotezea. Lini mlienda kupima wote?

2. Inawezekana ana UTI sugu ambayo Mara nyingi ili mwanaume afahamu anaumwa pumbu moja huvimba na kuuma. Mara nyingi hii hukata kabisa steam ya kusex.

3. Inawezekana anawazia maisha. Lakini hii kama ni kweli na mna good communication inatakiwa akuambie.

4. Muulize tatizo ni nini? Muulize kwa sababu wewe una hamu anataka uende wapi kama sio yeye. Kwa hili atajiongeza.
UMEONGEA YOTE, Dada kumuuliza ndio njia pekee itakayokusaidia, kujishusha haimainishi ukae kimya bali uulize kwa upole tena msubiri siku ambayo unamuhisi leo amefurahi au yuko kwenye mood nzuri ndo uanze kumueleza jinsi unavyojisikia na akuambie sabab ni nini? na pia usiogope kumuuliza au ni mgonjwa labda unaogopa kuniambukiza chochote, mana mwengine anaogopa pakuanzia atakuanzaje pengien ukimuanzishia anaweza akamalizia, kama atakujibu kuwa yuko swa hana chochote basi anza kumchunguza. mana kwa tabia anazofanya kiukweli hayuko sawa hata kidogo.
 
Kingine nakushauri kama kweli unajitahidi na usafi wa chumba, nyumba na wewe mwenyewe jitahidi unapoenda kulala uvae vinguo vya hasara hasara ikiwezekana lala na khanga moja tu, na sahau kuomba hiyo ngono kama unaomba kiberiti juu ya meza, jaribu kukaa nae kimahaba mahaba kila wakati mnaokuwa wenyewe hata kama labda ni mpenzi wa kuangalia mpira angalia nae huku umemlalia na kumshika shika (kuwa kama mwanamke Malaya kwa mumeo, usikae nae kama uko na kaka au jirani yako) tuone labda anaweza akahamasika, pili tuwe wabunifu kidogo na kubadilika katika style za mapenzi, kila siku ujitahidi kuwa mpya, mana wanakuwa wanamzoea mtu mpaka anatamani ladha ya kingine.
 
Apo ni kwamba hana mapenz na wew tena hata kidogo na uko nje kashapata mtu anampa mambo moto moto yan mpaka hana ham na wew kabsa cha kufanya mfanye kwanza aanze kukupenda then swala la unyumba litafuata mtreat vzur pika chakula kitam ongea nae vzur kimahaba na umuombee pia mpaka asahau uyo kimada wake
 
tatizo ni we kuwaza ngono, mpe muda mwenzio apumuwe.
he is a human being and not a sex machine, and the first sexual organ is the mind - mwenye masikio na asikie kile Roho ayaambia makanisa
daah mkuu ila miez mitatu mda mrefu aisee
 
Fanya maombi au nenda kwa mtaalamu, Kuna mtu ana jini mahaba hapo sio bure
 
MREJESHO,
yeye anasema hana tatizo ila basi tu hana hamu na anapitiwa,
nimemuuliza mengi akasema atajirekebisha na nikamuuliza kama kuna kitu nifanye kumvutia, akasema hakuna,
ila cha ajabu nimebembeleza mechi mpaka nikakwazika nikaondoka nimekaa mahali najipumzisha kidogo.
karibuni nitakuja na uzi mpya wa maamuzi yangu. Ahsanteni
Ongeza maombi dada Kuna nguvu ya giza hapo
Yashanikuta almost a year mwanaume hanihitaji kumbe Kuna mwanamke anamchezea
 
tatizo ni we kuwaza ngono, mpe muda mwenzio apumuwe.
he is a human being and not a sex machine, and the first sexual organ is the mind - mwenye masikio na asikie kile Roho ayaambia makanisa
Acha unafiki ni roho gani huyo anayaambiabmakanisa??? Achakutumia neno vibaya kumnyima mweza wako lile tendo ni dhambi kama dhambi zingine
 
Ongeza maombi dada Kuna nguvu ya giza hapo
Yashanikuta almost a year mwanaume hanihitaji kumbe Kuna mwanamke anamchezea
Usisahau kugegedana ni kwa ajili ya reproduction na c vinginevyo, kama una familia huna haja ya kurant khs gegedo
 
Kama si mgonjwa nenda kamshataki kwa kiongozi au viobgozi wa dini na wazazi maana ni kosa kuubwaaa
 
Habari zenu,

Mimi ni mwanamke mwenye watoto wawili na nipo kwenye ndoa kwa miaka nane sasa.Tumekuwa tukiishi maisha ya ugomvi kwa muda na mume wangu, ila nikaona ni vyema nijishushe na nisihoji chochote.Mimi ndiye ninahangaika na familia na mambo yote hakai kujadili jambo lolote la maana na mimi.

Binafsi niliona nijishushe na nisihoji chochote ila tatizo limekua ni kwenye unyumba. Kwa kweli navumilia sana tunalala pamoja najitahidi kujiweka safi, kubadili mazingira ya chumba, manukato na hata mavazi lakini wapi!

Naweza nikamfanyia vikorombwezo vyote ila atageukia upande wa pili na kukoroma nimemsihi sana yeye anasema anawaza maisha hawezi kuendekeza ngono.Tunaweza kukaa mpaka miezi mitatu hatujakutana,hili swala linanikondesha jamani.

Naombeni njia ya kujinasua katika hili janga.
Tafuta ka kijana pembeni kawe kanakusugua vizuri tena bila kwere kimya kimya! alaaa..!!!! anairingia kwani duniani yeye pekee yake ndo anayo?
 
Hata ukilala uchi na mitego jamaa hamu hana? Aiseee unasusaje papunch hata nichoke vip siwez kususa kwa miez3
 
Back
Top Bottom