Kwa ajili ya starehe ya mwili,na kujenga mahusiano/ukaribu kati ya mume na mkeKumbe?? Sema basi hua ni kwa ajili ya nn pia?
Duh pole sana uliolewa na marioo ss ww fanya ku ni pm tuone tuna fanyenye kutatua iyo issueHabari zenu,
Mimi ni mwanamke mwenye watoto wawili na nipo kwenye ndoa kwa miaka nane sasa.Tumekuwa tukiishi maisha ya ugomvi kwa muda na mume wangu, ila nikaona ni vyema nijishushe na nisihoji chochote.Mimi ndiye ninahangaika na familia na mambo yote hakai kujadili jambo lolote la maana na mimi.
Binafsi niliona nijishushe na nisihoji chochote ila tatizo limekua ni kwenye unyumba. Kwa kweli navumilia sana tunalala pamoja najitahidi kujiweka safi, kubadili mazingira ya chumba, manukato na hata mavazi lakini wapi!
Naweza nikamfanyia vikorombwezo vyote ila atageukia upande wa pili na kukoroma nimemsihi sana yeye anasema anawaza maisha hawezi kuendekeza ngono.Tunaweza kukaa mpaka miezi mitatu hatujakutana,hili swala linanikondesha jamani.
Naombeni njia ya kujinasua katika hili janga.
Ana chepuka.Habari zenu,

Habari zenu,

haaa kumbe wewesasa moniqa kipenz ndo umeona uje kunisemea humu kweli??? sawa bana ila ntakutaftia mwenzituu maana naona heshima inashuka mno.sasa kama hatuongei unazan ntakua nahamu na naniluu yako kweli??
Watakuwaje wabunifu wakati mwenzie hampi ushirikiano je akishusha hilo godoro jamaa akasema anataka kumroga na kuanza kumpa kipigo yangefanyika haya kama kuna maelewano cha msingi ni kutafuta mahusiano au urafiki/upendo ndani ya ndoa then ndio hayo makorombwenzo yafanyike ila mm ninachokiona ninkuwa mwanaume anapata shida na kujistukia Kwasababu hafanyi kazi cha msingi dada mtafutie kazi au mpe hela afanye biashara mwanaume yeyote asiyefanya kazi anatabia ya kujistukia kila akifanyacho mwanamke anaona anadhaluliwa mm nawajua washkaji ambao wako kwenye hali hii na wengine wameachana kabisaBadilisheni mazingira, badili namna unavotandika kitanda chenu, mpangilio wa chumba, wakati mwingine shusheni godoro chini, au hata kulala chini ikiwezekana, kuweni wabunifu wa kubadili mandhari ya nyumba(nyumbani hasa ndani)
hahahaha yaani we jamaa umenichekesha sana, ndo umeamua kujivika uhusikaYaani umeshindwa kuvumilia mpaka umekuja kuyasema huku?
Ulidhani sitokuwepo?
sasa safari hii hutoniona nyumbani kabisa
Nimekwambia huu ni mwaka wa 'kazi tu' siyo sex mbona hunielewi wewe?
Imaginative comment
HIVI HUYU NI MUME KWELI HALEI FAMILIA WALA HAKUPI UNYUMBA SO SADHabari zenu,
Mimi ni mwanamke mwenye watoto wawili na nipo kwenye ndoa kwa miaka nane sasa.Tumekuwa tukiishi maisha ya ugomvi kwa muda na mume wangu, ila nikaona ni vyema nijishushe na nisihoji chochote.Mimi ndiye ninahangaika na familia na mambo yote hakai kujadili jambo lolote la maana na mimi.
Binafsi niliona nijishushe na nisihoji chochote ila tatizo limekua ni kwenye unyumba. Kwa kweli navumilia sana tunalala pamoja najitahidi kujiweka safi, kubadili mazingira ya chumba, manukato na hata mavazi lakini wapi!
Naweza nikamfanyia vikorombwezo vyote ila atageukia upande wa pili na kukoroma nimemsihi sana yeye anasema anawaza maisha hawezi kuendekeza ngono.Tunaweza kukaa mpaka miezi mitatu hatujakutana,hili swala linanikondesha jamani.
Naombeni njia ya kujinasua katika hili janga.
HAHAHA HUYU KASUSA YA MKEWE TU ZINGINE ANAKUNGUTA KAMA KAWAkuna vitu vyakususa lakini siyo papuchi
HUYU NI HATARI SANA KWAKOkuhusu kupima kwa kweli alikataa na huwa simlazimishi kitu, hata kipindi cha ujauzito aligoma kwenda kupima kabisa hivyo siwezi kufahamu.
kuwazia maisha sifahamu kwa kuwa mambo mengi ya familia nayakamilisha mimi.
nimemuuliza mara nyingi anasema hakuna tatizo, na atabadilika.
Kwa kukufumbua tu hakuna mwanaume especially ambae tayar alishaijua ndoa anaeweza kukaa miez mitatu without having sex so kwa hesabu za haraka haraka iyo shuhuli ilishapata msaidiz my dear hapo unachapiwaHabari zenu,