Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,195
Nauliza tuMumuwache jamani.![]()
Nauliza tuMumuwache jamani.![]()
Habari zenu,
Mimi ni mwanamke mwenye watoto wawili na nipo kwenye ndoa kwa miaka nane sasa.Tumekuwa tukiishi maisha ya ugomvi kwa muda na mume wangu, ila nikaona ni vyema nijishushe na nisihoji chochote.Mimi ndiye ninahangaika na familia na mambo yote hakai kujadili jambo lolote la maana na mimi.
Binafsi niliona nijishushe na nisihoji chochote ila tatizo limekua ni kwenye unyumba. Kwa kweli navumilia sana tunalala pamoja najitahidi kujiweka safi, kubadili mazingira ya chumba, manukato na hata mavazi lakini wapi!
Naweza nikamfanyia vikorombwezo vyote ila atageukia upande wa pili na kukoroma nimemsihi sana yeye anasema anawaza maisha hawezi kuendekeza ngono.Tunaweza kukaa mpaka miezi mitatu hatujakutana,hili swala linanikondesha jamani.
Naombeni njia ya kujinasua katika hili janga.
Pole sana.. Jalibu kumuhamasisha chukua dyu dyu nyonya akiendelea kukataa mshitaki kwa wazazi.. Asije kuponza mdada wa watu ukawa unacheka cheka hovyo.. Maana tendo muhimu hilo.
Mmh pengine shemeji alikuwa anamridhisha sana..Kha! akishtaki ndo atakua anampa?
bwana mapenzi hana na mkewe kamchoka kilichobaki ni kila mtu aende kivyake tatizo shoga kangangania anajitia upofu haoni
Is this realistic or mere dramma? Tujaribu kuwa halisia sio kuigiza. Kama mtu yupo bize na maisha kwani lazima aoe? Si aishi peke yake atafute kwanza maisha?tatizo ni we kuwaza ngono, mpe muda mwenzio apumuwe.
he is a human being and not a sex machine, and the first sexual organ is the mind - mwenye masikio na asikie kile Roho ayaambia makanisa
Dai talakaHabari zenu,
Mimi ni mwanamke mwenye watoto wawili na nipo kwenye ndoa kwa miaka nane sasa.Tumekuwa tukiishi maisha ya ugomvi kwa muda na mume wangu, ila nikaona ni vyema nijishushe na nisihoji chochote.Mimi ndiye ninahangaika na familia na mambo yote hakai kujadili jambo lolote la maana na mimi.
Binafsi niliona nijishushe na nisihoji chochote ila tatizo limekua ni kwenye unyumba. Kwa kweli navumilia sana tunalala pamoja najitahidi kujiweka safi, kubadili mazingira ya chumba, manukato na hata mavazi lakini wapi!
Naweza nikamfanyia vikorombwezo vyote ila atageukia upande wa pili na kukoroma nimemsihi sana yeye anasema anawaza maisha hawezi kuendekeza ngono.Tunaweza kukaa mpaka miezi mitatu hatujakutana,hili swala linanikondesha jamani.
Naombeni njia ya kujinasua katika hili janga.
Tafuta ka kijana kawe kanakusugua vzr huyo kwisha habari yake mambo hawezi tenaHabari zenu,
Mimi ni mwanamke mwenye watoto wawili na nipo kwenye ndoa kwa miaka nane sasa.Tumekuwa tukiishi maisha ya ugomvi kwa muda na mume wangu, ila nikaona ni vyema nijishushe na nisihoji chochote.Mimi ndiye ninahangaika na familia na mambo yote hakai kujadili jambo lolote la maana na mimi.
Binafsi niliona nijishushe na nisihoji chochote ila tatizo limekua ni kwenye unyumba. Kwa kweli navumilia sana tunalala pamoja najitahidi kujiweka safi, kubadili mazingira ya chumba, manukato na hata mavazi lakini wapi!
Naweza nikamfanyia vikorombwezo vyote ila atageukia upande wa pili na kukoroma nimemsihi sana yeye anasema anawaza maisha hawezi kuendekeza ngono.Tunaweza kukaa mpaka miezi mitatu hatujakutana,hili swala linanikondesha jamani.
Naombeni njia ya kujinasua katika hili janga.
Sipati picha lohasa akiwa anagegeda
Mmh pengine shemeji alikuwa anamridhisha sana..