Mume wangu ananifundisha kunywa pombe

Mume wangu ananifundisha kunywa pombe

Kuna vingi vya kufikiria haraka ila nadhan nimeshakwambia cha kufanya
 
Khofu yangu ni kwamba atakua anahitaji line ya Tigo Pesa.....Ni khofu binafsi jamani......Ulevi ni mama wa maasi...kwa hiyo una haki ya kukataa kunywa...tafuta sababu yoyote.....unaweza kwenda hospitali na kumwambia Dokta akupe cheti cha kukuzuia kutumia pombe....Jifanye una maradhi makali(Najua wanawake ni wazuri wa kuigiza) halafu utakwenda hospitali na utapata cheti chako mwenyewe.....
 
huyo mumeo anatengeneza bomu la nyuklia kumfundisha mkewe kuwa mlevi
 
Toa ushirikiano wa kutosha ktk (*) only ndio sol'n,sasa wewe unakuwa mzito~mzito ktk** hivi vyombo +,= lazima tuvitumie haswaaa! Bila choyo,pia tabia ya kulala na nguo ni ya kukomesha!
 
Unatunga wewe

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Hata kama sijawahi kunywa pombe hapa naona nadanganywaaaa...

Eti wazoefu wa maji ya Ilala mukuje museme, eti bia moja mutu inalewa? inakata network?
Uzi wa mtoa mada una ukweli ndani yake, japo wengi mmecomment negatively. Wako wanawake ambao ni wagumu kulainika mpaka aonje kidogo. Lakini pia wako wanawake wanaenjoy wakigegedwa na wanaume waliolewa, maana inakuwa full kujiachia. Kila ufundi unatumika kumfurahisha mwanzako bila aibu wala woga. Kwani unafikiri wanaume tunatoka nje kwa sababu gani? Wengi ni kwa sababu wake zetu hawabadilishi mipasho tunapokuwa kwa 6x6. Inakuwa ni rootine. Wanawake wengi hata kuanzisha hawawezi kisa aibu. Sasa kama nikikupa bia moja unanifuata mwenyewe, na mimi napenda kufuatwa, kwa nini nisikupe. Tena inatoka kwa mumeo wa halali. Mi naona poa tu
 
Jamani nisaidieni mana ndoa yangu ipo mbioni kuvunjika. Kila siku mume wangu akitoka kazini anakuja na bia tatu. Mbili anakunywa yeye moja ananforce ninywe mimi.

Nkilewa usiku wote anani do. Mi nachukia sana mana simwelewi anania gani na mimi.

Naomba ushauri mana ananilazmisha mpaka naingia line.

Kuwa mkweli tu binti,tukusaidie...Sidhani kama mumeo anaweza kukufanya hivyo....ina maana bila kukulewesha humpi utamu?HUYO SIO MUMEO, Nimeshtuka!
 
Evz ni kweli ume rip?kuna uzi niliuona humu.
 
Last edited by a moderator:
huyu mtu ni msanii hata haeleweki yupo wapi kuna uzi mmoja alichangia akasema ana mke na wtto wawili kwenye jukwaa la biashara sijaweza kuhamisha ningeweka hapa !!!

Wanazinguaga sana watu wa dizaini hizi afu wanasahau ule msemo"Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu"
 
jitahidi sana usikubali kunywa pombe itakuharibia maisha jamaa anakufundisha itafikia wewe ndio utakuwa kronic. arafu atakutosa kwa sababu ya ulevi.
 
Jamani nisaidieni mana ndoa yangu ipo mbioni kuvunjika. Kila siku mume wangu akitoka kazini anakuja na bia tatu. Mbili anakunywa yeye moja ananforce ninywe mimi.

Nkilewa usiku wote anani do. Mi nachukia sana mana simwelewi anania gani na mimi.

Naomba ushauri mana ananilazmisha mpaka naingia line.

Shida ipo kwenye kudo usiku kucha,bt ishu ya pombe sio dhambi,pole…!!!!
 
Usiku wote!?, btw amegundua njia ya kukupata kwa sababu ulikuwa unambania. Cha kufanya usikubali kulewa kwa bia moja, we lewa hata kwa cret tatu atashndwa kukununulia ataacha mwenyewe
 
Back
Top Bottom