stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,765
jamani nisaidieni mana ndoa yangu ipo mbioni kuvunjika. Kila siku mume wangu akitoka kazini anakuja na bia3. Mbili anakunywa yeye moja ananfoc ninywe mm. Nkilewa usiku wote anani do. Mi nachkia sana mana cmwelew anania gan na mimi. Naomba ushaur mana ananilazmisha mpaka naingia line.
Utalazimishwajena wewe ukubali kwani atakupiga au atakufukuza?