Mume wangu ananifundisha kunywa pombe

Mume wangu ananifundisha kunywa pombe

tehe tehe tehe tehe nisamehe kwa kucheka maana hii ndoa yako kila siku ina jipya,mmefunga ndoa au mnaishi pamoja,na kinachofanya uendelee kuwa nae ni nini hasa?alafu inaelekea kama mshipa mmoja kichwani kwako utakuwa loose samahani lakini
 
Mmh,kwel mumeo mpk akupe bia ndo ugawe utam?bc utakua unambania ndo mana kakutafutia dawa na amekupata kwelkwel km hyo bia1 uko hoi,hatariii..acha kubana usimnyime mwenzio!
 
Back
Top Bottom