Mume wangu anacheat nifanyeje?

Mume wangu anacheat nifanyeje?

I wish kama wanaume wangetambua changamoto ambazo akina mama wanapitia ktk ujauzito hadi kujifungua.

Badala yake baadhi ya wanaume wamekuwa ni watu wa kulalamika sana kipindi hiki pamoja na kutoka nje ya ndoa.. Inaudhi sana pale unaposhindwa kumtia moyo na kumsaidia mwenzio ktk safari hyo na jukumu zito badala yake oo mke wangu ana mauziiii ya ujauzito na blaaa blaaa nying.

Unakaa unasubiri mtoto azaliwe uanze kujishaua.. Wanaume wenye tabia hii badilikeni. Hamjui tu vidonda mnavyowasababishia wenzi wenu..


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Dada yangu ni kweli kabisa, na tunawaonea huruma sana, lakini ndugu jukumu Mungu aliwapa jamani,na alisema HUTAZAA TU, BALI UTAZAA KWA UCHUNGU, kumbuka dhambi ile ya kula TUNDA LA KATIKATI (Tena mwanamke ndie aliesababisha). Kujiweka vizuri nalo ni muhimu sana dada yangu kwani mme ni binadamu alikupenda kabla hujawa na mimba...La msingi zaidi Mungu ndie awatangulie zaidi....MALALAMIKO NA KUCHUKIA KUTAWAPELEKA KWENYE DHAMBI NYINGI kama za Hawa
 
pole mamii, nakushauri kusanya vithibitisho vyote kuwa anacheat then ongea nae ukimpa hatua utakazochukuaa.
1) kama anakuhitaji kama mke aache.
2) mwambie utamshtaki kwa mtu ambe anamuheshimu mfano kaka ake, ustadhi au askofu aliyewafungisha ndoa.n.k.
3) ila ckushauri kuondoka huyo ni mume wako komaa nae hao wa nje wezi tu.
4) pia jichunguze kujua chanzo cha kuchet, ongeza mahanjumati, mtt jipambe, yaan zidisha mambo kunako 6*6.


Nikwambie cri...mm wangu alicheat ckuhizi nimejipanga vibaya..yaan nikimkamata kwa kitanda mpaka analia wakati hakuwahi b4.

Deepa, hayo mambo ya kushtaki kwa watu mmhhhh! unaweza kuta huyo kaka mtu unayemshtakia ni cheater hujasikia!l
 
Ahsante mpendwa,vithibitisho vyote ninavyo na sikupenda kukisia hata kidogo mana mwenyezi mungu hapeki kukisia,baada ya hapo nilimuweka chini na akakiri hatorudia,nikaona nibadilike kidogo labda kunatatizo mahalstill tatizo liko palepale,mdodo wangu nimefikia hatua hata mapenzi kunako 6*6 sitamani tena,kiufupi nina 20 years katika ndoa yangu,na nina wtt wanne kiume 2 na kike 2, nimevumilia mengi sn na nadhani unajua hatutakiwi kuyasema haya katika halaik imeshindikana ndo mana nimeomba msaada kwenu angalau kichwa kianze maisha upya.
 
Punguza mapungufu yako kwenye mapenzi mumeo atarudi! Jaribu pia ule mtandao wanaume wanaoupenda kwa sasa kwa mumeo
we mzee mzima unataka atumie mtandao gani, huo mtandao ukiutumia mbingu huwa zinatikisika, malaika wanaficha nyuso zao hadi shetani mwenyewe anajificha, hapo ujue ni jinsi gani unavyo muuliza Muumba,
ushauri: muombe MUNGU akutie nguvu na uvumilivu pia ambadilishe mumeo aokoke aachane na dunia
 
ah wapi? Anakuzuga tu huyo. Nani kakwambia ni rahisi kuvunja mahusiano ya nje. Cha msingi ndani amani itawale kama mtu anapiga nje, hiyo ni starehe yake mwenyewe wewe isikupe pressure wala nini! Kama unataka mume wako mwenyewe basi muweke mfukoni.
Midume kibao mihuni na wake zao ni very good wives maskini.

Kwa mwenye akili na kufikiri inawezekana, wapo wanao teleza na kujirudi hiyo ni imani yangu..kama ww huamini cwezi kukulazimisha. Nimempa last chance kwa faida yake mwenyewe duniani na mbele ya mungu wake. Mume ni wangu mwenyewe kama anataka mke wa pili afate taratibu cmkatazi. ila akichaet tena nikijua, next step inafuata kama tulivyokubaliana. Na daima ukimdhulumu mtu chini ya jua Mungu aliye hai atakulipa tu...belive me.
 
Kabaaaaaaaaang!Acha nae huyo.....atakukondesha.Mvumilie na kumuona mjimga,najua inauma lkn yana mwisho ila hakikisha unatumia zana.
 
Mimi nakushauri fanya research ndogo kama ya familia ishirini hivi ambazo waume zao wanacheat. Hapo utajua matokeo ya cheater na impact yake ktk familia. Nadhani itakusaidia kuchukua uamuzi wa busara. Sijui kwanini tz bado cheating sio big issue ktk familia anyway hicho kiatu mimi kinanibana siwezi kukivaa. Kumbuka familia nyingi zimebaki yatima na pengine wameambukizwa magonjwa yasiyo na tiba kwa hiii hii kusema unavumilia. Always maamuzi magumu huwa magumu kuyachukua
 
Naomba msaada wenu mume wangu anacheat nifanyeje? mbaya zaidi na watu ambao wengine kawatambulisha kwangu,na ilikia hatua nilipokwenda jifungua alileta mpaka ndani nikiuliza tatizo nini hasemi sms kila siku godnight bby love u ukiuliza sina mana ya mapenzi nisaidieni wana jf nianye nini ?nami nianze cheat kama yeye au nifanye nini?

Kuwa mvumilivu shemeji fikiria vitu ulivyo kuwa unafanyia enzi uchumba na sasa umeviacha.
 
Kabaaaaaaaaang!Acha nae huyo.....atakukondesha.Mvumilie na kumuona mjimga,najua inauma lkn yana mwisho ila hakikisha unatumia zana.

Ataacha wangapi? Siku mwanaume rijali lazima awe na spare tyre ya kufanyia mazoezi.
 
kama unao uthibitisho wa hilo waite wazazi na mkae chini mliongelee hilo jambo akiwacha ni poa akiendelea nalo iyo kitu itakua tayari imeshakua tabia yake hawezi kuacha na atakuhatarishia maisha kuna ukimwi na maradhi mingi ya zinaa lakini vile vile anaweza akasema amewacha na il hali anijificha na analala na hivyo videm vyake anakudhulumu mumeo na anacho fanya sio haki si kushauri uachane nae huyo ni baba wa watoto wako ila afya yako ni bora kwako kuliko yeye pole dada.
 
Kwa mwenye akili na kufikiri inawezekana, wapo wanao teleza na kujirudi hiyo ni imani yangu..kama ww huamini cwezi kukulazimisha. Nimempa last chance kwa faida yake mwenyewe duniani na mbele ya mungu wake. Mume ni wangu mwenyewe kama anataka mke wa pili afate taratibu cmkatazi. ila akichaet tena nikijua, next step inafuata kama tulivyokubaliana. Na daima ukimdhulumu mtu chini ya jua Mungu aliye hai atakulipa tu...belive me.

haya mama, kila la heri. mwenzio nimeshaisoma game nzima ya mapenzi kwahiyo hata nikichetiwa au nikicheat sioni tatizo. mapenzi ni very complicated, so dont be too serious with it utakufa mapema. angalia mambo ya msingi katika maisha kama watoto, maendeleo, pesa na afya pamoja na mahusiano na wanajamii wengine. PERIOD
 
Kaa naye umwambie unavyokwazika kwa tabia hiyo. Ukiona habadiliki mpeleke kwenye vikao vya wakubwa.
 
Back
Top Bottom