msamehe mumeo dada yangu na katu usifikirie kutoka nje ya ndoa yako, tamaa ndio huwa inatusumbua wanaume sometime lakini huko nje ya ndoa zetu hakuna laziada tunalolipata.Naomba msaada wenu mume wangu anacheat nifanyeje?
Mbaya zaidi na watu ambao wengine kawatambulisha kwangu,na ilifikia hatua nilipokwenda jifungua alileta mpaka ndani. Nikiuliza tatizo nini hasemi, SMS kila siku goodnight bby love u ukiuliza sina mana ya mapenzi nisaidieni wana jf nianye nini ?nami nianze cheat kama yeye au nifanye nini?
Punguza mapungufu yako kwenye mapenzi mumeo atarudi! Jaribu pia ule mtandao wanaume wanaoupenda kwa sasa kwa mumeo
wasisahau kuna hili gonjwa unazikw na kilo 8 na nepi umevishwa
msamehe mumeo dada yangu na katu usifikirie kutoka nje ya ndoa yako, tamaa ndio huwa inatusumbua wanaume sometime lakini huko nje ya ndoa zetu hakuna laziada tunalolipata.
Huwa unampa mashine anapohitaji? Wengine mnalalamika humu na kuomba ushauri kumbe mume akitaka vitu usiku unampiga vipepsi kila siku. Toa papuchi, ongeza mautundu halafu uone kama atakwenda nje.
Huwa unampa mashine anapohitaji? Wengine mnalalamika humu na kuomba ushauri kumbe mume akitaka vitu usiku unampiga vipepsi kila siku. Toa papuchi, ongeza mautundu halafu uone kama atakwenda nje.
Kaunga yuko sahihi. Hatuwezi kuanza kubwabwaja mambo ya kitaani humu.My bad; l am sorry to you na niliowakwaza lkn sio aliye shauri hiyo kitu. maana kautoa as if it is a normal thing kama vile KUSALI au kuongea naye au kushirikisha wazee.
Naomba msaada wenu mume wangu anacheat nifanyeje?